Suala la Mwanamke kuwa na Elimu/Pesa/Mafanikio kumzidi mwanaume wake!

Carlos The Jackal

JF-Expert Member
Feb 6, 2017
24,023
71,229
Leo nimeamua kuandika hili jambo baada kuona limekua Bomu linalochipuka na ambalo miaka 10 ijayo litakapolipuka, Wanaume wengi watakua waoga sana na wengine kuuacha uanaume wao na huenda neema ya wanawake kuanza kuoa wenyewe ikaja !!.

Mdau mmoja ananiambia " Carlos nina rafiki yangu huyo ana Pesa, ana elimu, ,yaan hadi mwanaume anapigwa makofi lakini anatulia".

Huenda ni Maisha ambayo Wanaume ambao wanazidiwa vipato au hata hawazidiwi lkn ni maisha wanayopitiwa sana.

Nadhan nitakua sahihi kusema " Sasa Tanzania ni kama Kenya , ambapo Wanaume wananyanyaswa kijinsia na wanawake wao"....

NIANZE HIVI ... Dunia ya Sasa ni Ukombozi yaan mwanamke hatakiwi kuachwa nyuma, kielimu, kiuchumi, kisiasa ,n.k

Ndio sababu unaona ,tunaanza darasa la kwanza tunao, tunaingia sekondari tunao pia tunasoma nao, tunaingia vyuo ,tunao piaa, tunarudi mtaani na makazin tunao pia.

Kwa hiyo ni wazi kabisa kusema kwamba ni haki ya mwanamke kusoma, kupata uchumi wake, kuheshimika kinafasi na kua na mafanikio yake .

Ndio sasa amefanikiwa, ana elimu kubwa alosoma kutimiza ndoto yake, ana pesa, anatambulika... JE AOLEWE AU APENDWE NA MWANAMKE MWENZAKE??.

Ninani wakumpenda na Kumuoa huyu mwanamke"?? JIBU NI MOJA NI MWANAUME.

sasa leo niwambie KATIKA UKAMILIFU WA MWANAMKE, WEWE MWANAUME ni zaidi ya Elimu/Pesa/Mafanikio alonayo mwanamke.

NISIKILIZENI JAMAA, MWANAMKE ALIUMBWA KUJENGA FAMILIA, MWANAMKE ALILETWA DUNIANI KWETU SISI WANAUME KUENDELEZA KIZAZI ....kwa hivo bila kujalisha Elimu /Kazi yake, Siku zote kuna umri wa mwanamke akishaona hatongozwi, ataanza kuombea Apate Ndoa tu, akiona ndoa haipo, atatamani angalau apate mtoto,... Unamuona mwanamke akikosa mtu sahihi wa kumpa mtoto , atabaki anataman basi apatikane tu mwanaume azae naye ,apate mtoto, alee mtoto wake yaaan Pesa zake azitumie sasa vizuri.

( NIMEANZA KUYASEMA HAYO, ILI WEWE MWANAUME UONE NAFASI YAKO KATIKA ULIMWENGU WA MWANAMKE)

Aaahh sikilizeni, namaanisha hivi hata kama ana Pesa, ana elimu ana mafanikio na na akapata watoto, lkn hana mume, BADO BADO BADO ATATEGEMEA KUA NA MTU " WAKUWEKANA NAYE SAWA"...huyu. mtu anaweza asiwepo masaa 24, ila kwakua yupo, anajua fika kwamba ,siku nikiwa na muwasho nitakwenda kwa CARLOS.

SHIDA INAANZA IVI ?
je wasiwe na wapenzi?? Je wapendwe na Watu weenye vipato zaidi yao?
Enyi wanaume, nawaambieni, MAPENZI NI HISIA , mapenzi hayapo katika Elimu, wala pesa.

Ndioo kuna wakati unamkuta mwanamke ana masters ya kitu fulan, ivo basi utasikia anakuambia, Nataka mwanaume mwenye Elimu fulani ,au mwenye uwezo fulani wa kiuchumi. .... LAKINI huyu huyu mwanamke, kuna wakati unafika anasema "Mungu niletee tu Mume mwema"....
Kwann hakutaka kuendelea na VIGEZO VYAKE ?? kwa sababu WAKATI WA KUA NA MWANAUME WAKE UMEFIKA ,HANA HANA CHAGUZI LINGINE NA HIVO BASI ANALAZIMIKA YEYE KUFANYA FIRST MOVE .
Rafiki yangu mmoja wa kike anamiaka karibu 36 , siku moja akaniambia "CAELOS nina kazi yangu ,nina pesa yangu, ila kazini siheshimiki, naonekana mdangaji, mabinti wadogo kazin wameolewa Lakini mimi bado, jambo hili linaniumiza sana sana nahata kazini siheshimiki..

Kwanini Anaumia ? KWA SABABU KUITWA KWA JINA LA MUME WAKE, NI JAMBO LINALOMUHESHIMISHA MWANAMKE KATIKA JAMII.
hamna cha U-FEMINISTS wala cha bibi yake , Ukweli nikwamba, HATA HAWA WANAOJIITA LEO MAFEMINISTS , WANA WATOTO KADHAAA, KISHA KWA SABABU TUSIZOZIJUA, WAKAACHIKA NDOANI...... Sasa anaamua kujisimamia mwenyewe sababu anajiweza, LKN NAWAAMBIENI, MCHANA NI MAFEMINISTS, USIKU KUNA WANAUME WANAWAKAZA VIZURI TU
( Nimelichomekea hilo kuona NAFASI YAKO WEWE MWANAUME KTK ULIMWENGU WA MWANAMKE)

TURUDI KWENYE MADA YETU SASA !!

Ndugu zangu, Sio dhambi kua na mwanamke mwenye kipato, au elimu kubwa....
HOFU yetu sisi ni juu ya kudhaurilika, kwamba mwanamke akishakuzidi elimu ,au kipato basi atakudharau, hatokuheshimu n.k
lakini kwann ayafanye hayo? Je wee sio mumewe tena? , je anataka sasa atafute Mume mwingine wa juu yake zaidi???. HAPANA.

Je huenda ni TABIA yake halisi sasa anaifichua kwamba huko nyuma alijifanya kondoo ila hakua anayekufaa?? JIBU NI NDIO , na mwanamke huyu sio mtu sahihi kwako. ( ACHANA NAYE KABLA HAJAUVUA UTU WAKO.).

Tatizo kubwa liko wapi? Ni pesa zake ? Elimu? Tabia ??....
TATIZO KUBWA NI SISI WANAUME
kuathirika na Imani yakwamba mke akifanikiwa, anabadilika, ivo mkeo anapofanikiwa, mwanaume unaanza kujinyenyekeza nakujipendekeza kwa mkeo, hata unajikuta ule wajibu wa kiume umeuacha , NA HIVO MKEO ANABADILIKA KUTOKANA NA MAZOEA MAPYA ULOAMUA KUMPA ...... Ulikua ukihoji sasa umeacha, ulikua ukikasirika na anajua sasa umeacha, ulikua akizengua unampa makofi sasa unaacha, ulikua unafokea sasa unaacha.....kirahisi tu, unaacha sababu Amefanikiwa kwahiyo unaogipa kuachwa, ivo hata afanye nn ,wee ni sawa tu

ilo la juuu, linakufanya upoteze DOMINANCE, LEADERSHIP, AUTHORITY JUU YA MKEO ...na ninawaaambia, Mwanamke hata aweje, kama utapoteza vitu hivi vitatu, nibora tu umwambie ongeza MUME WA PILI MKE WANGU.

NINI KIFANYIKE??

kama mwanaume, vijana

JIPE THAMANI
,Wewe ni kichwa cha familia na familia yako LAZIMA UILISHE KWA JASHO ,hivo basi pambana kwa kadiri ya uwezo wako na kwa kadiri ambavyo MUNGU AMEKUBARIKIA.
HAKIKISHA , TAFADHALI ,HAKIKISHA YAAN HAKIKISHA UNAKUA MAMLAKA, MTAWALA NA KIONGOZI KATIKA DUNIA YA MKEO BILA KUJALISHA KAFANIKIWA.

HAKIKISHA ANAJUA KUA UNAMPENDA NA UNAMJALI SAWA NA KIPATO CHAKO ILA BADO AKILETA UJINGA MBALI NA PESA ZAKE, UPO TAYARI KUMWACHA NA KUOA MWANAMKE MWENGINE, NAKUMUACHA YEYE AMBAPO NAYE BADO ATAENDA TUUU KUTAFUTA MWANAUME MWENGINE KWASABABH HAWEZI ISHI BILA MWANAUME.

KATIKA YOTE HAYO, TIMIZA WAJIBU WAKO KAMA BABA NAKAMA MUME

USISHOBOKEE PESA YAKE , WALA KUHOJI WALA NINI, INAPOBIDI MKONO WAKE MSHIRIKISHE, NA UMSHIRIKISHE KAMA MUME NASIO KINYONGEE NYONGEE

WATIENI , WATIE, WAPELEKEENI MOTO, SUGUAA, PIGAAA PIGAAAA,PIGA MPAKA AJIONE ANAISHI KWA SABABU YA KITOMBO UNACHOMPA NASIO MAFANIKIO YAKE...( atakua anakuita mwenyewe Baba ,pesa hii hapa).

Mwanamke ni mwanamke ,awe mjeshi. Awe CEO ,awe wa elimu gan, aweje, maadam alikukubalia ulipomtongoza, BASI JUA TU SHE IS JUST A WOMAN , ni mtoto tu mdogo anayehitaji malezi ya Baba yake WAKATI HUOHUO HATAKI AWE KAMA MAMA YAKO.

Mtaishi nao vizuri !!

Ila ndo mkiendekeza ubebi bebi bebi bebi ,bebi ,aaahhhh atakushinda tu alafu utarudi na uzi humu ukilia " Kabadilika baada ya kupata Pesa, KUUUUUMBE, KIRUSI NI WEWE MWENYEWE, ULIYEAMUA KUSAHAU MISINGI YA UANAUME WAKO.

MWISHO

Kuanza Upya sio ujinga, USIWE MZITO KUMUACHA MWANAMKE , WANAWAKE NI WENGI NA WAMEJAA, YES KABADILIKA KWA UZEMBE WAKO, BASI CHUKUA HATA HATUA YA KUACHANA NAYE MARA MOJA, KULIKO KUACHA UTU WAKO UCHEZEWE.

Maneno yangu sio sheria.
 
Maisha haya ya kazi hadi za uchawa, KE aogopwe kisa pesa zake !!!!!! Hapana aisee.
Kama masugar mami tu hawakosi viben 10 sembuse wife mwenye pesa zake !!

Yani demu kama hawezi kutulia na mwanaume jua anashida zingine tuu sio kwamba wanaume unamgwaya kisa pesa zake
 
Mkuu nimeruka sana hizo content lakini naona unaongelea sana elimu kama kitu ambacho kinaleta madhara kwa wanawake. Labda tu nikwambie kitu kimoja, mara nyingi jinsi unavyopata treatment kwa mtu ni kutokana na matendo yako mwenyewe. Nimeona watu wengi wake zao wameendelea zaidi yao, lakini maisha fresh kabisa. Kama ulikuwa unanitreat vibaya na nikakupita, ujiandae kisaikolojia 😆😆😆 Elimu, pesa nk sio sababu ya mume kudharaulika.
 
Leo nimeamua kuandika hili jambo baada kuona limekua Bomu linalochipuka na ambalo miaka 10 ijayo litakapolipuka, Wanaume wengi watakua waoga sana na wengine kuuacha uanaume wao na huenda neema ya wanawake kuanza kuoa wenyewe ikaja !!.


Mdau mmoja ananiambia " Carlos nina rafiki yangu huyo ana Pesa, ana elimu, ,yaan hadi mwanaume anapigwa makofi lakini anatulia".


Huenda ni Maisha ambayo Wanaume ambao wanazidiwa vipato au hata hawazidiwi lkn ni maisha wanayopitiwa sana.

Aaah hata na wanaume wakipata pesa hupenda sana kuwa na wanawake wengi tena wazuri hasa kumshinda mkewe asa shida iko wap wanawake wakipindua meza tulieni dawa iingie
 
J
Hahaha mkuuu, wahenga walisema, Ushauri utafute kwa mwenye uzoefu.



Je wewe unaweza msogelea mwanamke mwenye uchumi, ukamtongoza?


Au Unatafuta kwanza pesa, ukizipata ndo umrudie?.
Yaan tuendane tu na asili kuwa chukuwa wa size yako ambaye utammudu ...hao hao wenye pesa nao wachukuane ivo ivoo....kama umesikia takwm vzur ni kuwa watu wengi wanumwa ukichaa...hasa hasa wa hapo mjin daslam...hapa wengi wao wapo waliolazimisha mambo kwa kuchukuwa wasio wa level zao...mwsho wa siku n depreession na stress zisizo na maana...ukipenda mtelezo utakimbilia mwanamke mweny hela..ila mwsho wake ni mateso..mwanaume tafuta pesaa mwanamke azitumie
 
Embu tufanye ivi, Baada ya kumaliza elimu yako ya juu wewe na demu wako chuo.


Ktk utafutaji wa kazi, yeye akapata kazi yenye Mpunga mzuri..wewe ukapata ya kawaida tu .


Utamwacha kwa sababu sio wa saizi yako tena?.


Ukiwa nahayo mawazo, hautakaa uwe na amani hata ukioa wa saizi yako, maana siku hizi watu wanapiga D.L wanaboresha taaluma zao kila kukicha, akina dada bao saizi wanapambana kuzisaka kweli.

Huyo wa saizi yako huyo labda atokee kijijin Mkuu.
Huku case nying ni kuwa ukisamaliza chuo na ulikuwa na mahusiano na dem ...usitarajie ndo mnaendelea ..mkataba unaishia hapo hapo....sasa ukiona amejitahidi mkaendelea kidogo na kuanza kusaka kaz ya kufanyaa...yaan akipata kaz kabla yako hapo ndo mwsho wenuu...utadharauliwa na kuonekana c chochotee...yaan ndo hivyo wameumbwa hawa watu,ni wabinafsi haswaa na ndo maana unaweza msomesha kwa gharama zako akapata kaz ..dharau zinaanza hapo,na ukichunguza unakuta tu kapagawa na kanyanyua vyuma ambako akana mbele wala nyumaa
 
Ulichosema ni ukwel lakini Mwanaume ata umzidi mwanamke kipato,elim nk kama utashindwa kusimama kwenye nafasi yako basi jua utatawaliwa tu.

Ilipoandikwa tuishi nao kwa akili walimaanisha akili ya kutumia vizuri nafasi zetu tulizopewa kama vichwa ndan ya familia zetu
 
Hivo unaamini ukioa wa saizi yako, ndio hawezi pagawa na mnyanyua vyuma?



Wewe kama wee, mwanamke waaina gan kwako unamudu? Yaan awe umemzidi elimu, umemzidi na kipato ??

Nipate maoni yako weee... Ingetokea , Dem wako wakichuo mnaopendana ,mara baada ya kupata kazi zenu sasa ila yeye kakuzidi kile anachoingiza...Hatima ya Penzi lako ingekuaje? Yaaan ni UNGEMUACHA TU AU MNGEENDELEA AU UNGEENDELEA KWA KUJIEGESHA KITEGEMEA NA MWELEKEO WAKE?
Elewq kwamba mwanamke ambaye mko same level kwny elimu dharau hazikosi..mbaya zaid ndo apate kazi kabla yako..hapo mahusiano yanafika mwsho...mwanamke ambaye ni wa size yako..kwanza awe chin kwa kila kitu kuanziq pesa hadi elimu....lkn kubwa zaid awe na sifa ya kukusikilizaa maana we ndo utakuwa kichwa ..ila mke akiwa na pesa hapo ndo anakuwa kichwa maana baba anakuwa hana kauli ndan ya nyumba
 
Na
hahaha mkuu so unahitaji Mwanamke ambaye UTII NA HESHIMA YAKE kwako ni matokeo ya yeye kua chini kielim nakipesa yaaaan anakutegemea?

Lakini sio UTII NA HESHIMA vilivyotokana na Hisia alizonazo juu yako ????





Kumbe ndomaana naonaga humu utasikia " Ndoa nyingi za watu wa lasaba wanaume wanafuraha"

Kumbe ,mnakua mnapenda uboya wa mwanamke yaan ni rahisi kudanganya, hata akufume, masikin, hana pa kwenda ,atalia tuuu basi


( niamin Huo ni udhaifu mkuu ).
Ndo ukwel wenyew..Mungu alituletea hawa viumbe tuwatawale..ndo maana babu zetu wqmeishi na bibi zetu hadi kifo cz wazee walisimama kidete kuhakikisha mwanamke anakuwa chin kwa namna yoyte ile ikiwa hata kuwanyima haki zao baadhi..ss iv wamepata viela kidogo wanadai 50/50...hao sasa tunawatumia tu na kuwatemaa...ila wa kuoa ndo wao unaosema wana heshima ....mwamamke akiwa na hela na pesa huwa heshima haipati sehem ya kukaa
 
Mkuu nimeruka sana hizo content lakini naona unaongelea sana elimu kama kitu ambacho kinaleta madhara kwa wanawake. Labda tu nikwambie kitu kimoja, mara nyingi jinsi unavyopata treatment kwa mtu ni kutokana na matendo yako mwenyewe. Nimeona watu wengi wake zao wameendelea zaidi yao, lakini maisha fresh kabisa. Kama ulikuwa unanitreat vibaya na nikakupita, ujiandae kisaikolojia 😆😆😆 Elimu, pesa nk sio sababu ya mume kudharaulika.
The bad thing ni kuwa wanawake mko kwenye competition.Thats what going on in the background! Mungu alipotoa ujumbe tuishini nanyi kwa akili hakuutoa tu hivi hivi. Ukitaka kujua mwanamke yuko kwenye competition na wewe fulia uone.

Mwanamke sikuzote anapambana ili awe na uwezo sawa na mwanaume au amzidi! Ikitokea kwa namna yeyote mwanaume amechomoka kwenye line ya pesa basi kama mwanamke atakuwa vyema zaidi lazma atampita na kumuacha huwaga hamnaga subira. Ukishamuacha mume hatua kadhaa kwenye progress ya maisha ndipo anapopoteza control maana hutataka ku controliwa na mtu ambaye hana powers na uchumi ndio sauti yenyewe sikuhizi, huna hela utaongea nini usikilizwe kulipa bill huwezi chakula huna hela ya kununua. Wanawake wengi wanakuwa submissive mwanaume akiwa na power ya ku control mahusiano na uchumi ukiwa mzuri!

Ukizungumzia treatment i won’t agree with you sababu hata kama jamaa yako aliku treat vizuri kiasi gani when butters come to an end lazma utambadilikia tu! Wanawake wengi ndio mko hivyo hata kama jamaa alikuwa anakupeleka Dubai, ibiza, Bali, Hollywood siku nguvu ya kukupeleka kule akiwa hana utamchoka na kumdharau tu! Wengine huishia kuchanganyikiwa kabisa na kuona sasa dunia ni kizungumkuti mwanaume kazi hana tena ina maana mie ndio nitaanza kuchangia huduma za kifamilia. Gomvi linaanzia hapo!
 
Sio ukweli mkuu, hata maandiko yanasema uishike sana elimu..haikusema wanawake wasiwe nayo, ndio maana hata hao wanawake wapo Mungu aliwateua kua manabii , na watu wakubwa sana.


Wazee wetu inshu ilikua nikwamba Shule hazikuwepo, na ujinga wa kuona kumsomesha mtoto wakike nikero, matokeo yake wakabakiziwa wanawake mbumbumbu kichwan ambao kazi yao ni kupika ,kuchota maji, kutafuta kuni hukooo. Kulea watoto n.k


Saizi shule nyingi, wanasoma, wanafika mbali zaidi hata ya wanaume.


UTAWALA WA MWANAUME KWA MWANAMKE, HAUTAKIWI KUA SEHEM YA UKANDAMIZAJI AU KUMNYA FURSA .


Shida yenu, mwanamke anapokua chini sana, ndio mnamnyanyasa wee mpaka anajua unamnyanyasa sababu anakutegemea ,leo apate unadhan atakulipa nn???.




UTAWALA TUNAOUSEMEA HAPA, NI Wee kumfanya ajue wee ndio Baba, mume .
Walijua kuwa wanawake wako in Stealth Competition with us!

Mwanamke ukimdhoofisha kiuchumi na kiakili ndipo utaweza kum control vizuri ndio maana wali discourage kuwapeleka shule hata zilipoanza. Sisemei ilikuwa ni jambo zuri ila kwa yanayoendelea sasa ulimwenguni napata point kwanini wazee walikomaa wanawake wasiende shule zama zile za mawe!

Mwanamke akiwa na supreme powers au kiuchumi anakuwa hatawaliki sababu sheria zote zinamlinda yeye hivyo anakuwa yeye ana option ya kufuata takwa lako au asifuate na hamna kitu utafanya! Asili ya mwanamke anatakiwa awe submissive kwa mwanaume ila ikifikia hapa kuji submit pia inakuwa option mpaka ajiskie yeye. Matokeo yako ni divorce rate kupanda na rate ya ndoa kupungua.

Kuishinda vita hio lazma mwanaume uwe very strong upstairs na psychologically ili umtawale mwanamke kiakili sio kwa mabavu kama ilivyokuwa zama zile! On top of that ku exercise powers zako kama kidume lazma uwe na uchumi imara japo pia sio guarantee! Mwanamke anaweza amua tu kukupotezea akafungukia dume jingine (Umalaya).
 
Leo nimeamua kuandika hili jambo baada kuona limekua Bomu linalochipuka na ambalo miaka 10 ijayo litakapolipuka, Wanaume wengi watakua waoga sana na wengine kuuacha uanaume wao na huenda neema ya wanawake kuanza kuoa wenyewe ikaja !!.

Mdau mmoja ananiambia " Carlos nina rafiki yangu huyo ana Pesa, ana elimu, ,yaan hadi mwanaume anapigwa makofi lakini anatulia".
Oa mwanamke simple wa saiz yako na ubavu wako na aliyesahihi kwako, anayekusikiliza na kukuheshimu, unayeweza kumkontrol mkaishi nae kwa amani na ukawa kichwa na controller wa familia kama jinsi ambavyo MUNGU alivyoagiza mwanaume awe.

Hao wanawake wenye masters na kujiona kuwa wanapesa, wakaolewe na hiyo masters yao au pesa zao ziwaoe. Au wakaolewe mke wa saba na vile vijizee viprofesa vilivowafundisha hizo masters.
 
chunga sana, mwanamke asipindue meza .


Mwanamke ni kiumbe HATARI SANA ,mbaya mnoooooo anapoamua kubadilika.
Dawa ni kutafta mwanamke aliyetoka kwenye familia ambayo baba alikuwa anaheshimiwa na mkewe na ndo alikuwa kichwa na kidume wa familia na ndoa ilikuwa inaenda vzr.

Hapo hata mtoto wao wa kike anaweza kukueshimu, maana anajua jinsi mama yake na baba yake walivokuwa wakiishi.

Sasa wee unaoa mtoto wa single maza unategemea nini? hata ukijamwambia akupelekee maji ya kuoga bafuni lazma ataona unamwonea, maana hana experience yoyote ile kutoka kwa wazazi wake na ndo ugomvi unapoanzia.
 
Back
Top Bottom