Kwa hili je mapenzi ni pesa

EL ELYON

JF-Expert Member
Jan 2, 2013
1,563
1,886
Wakuu mmebarikiwa Sana na Mungu WA mbinguni hakuna laana tena.

Leo napumzka na visa vya muha nawaletea kisa huko cha dogo na mchepuko wake.

Nina dogo langu mmoja ni Mzee WA PGO ( police ) dogo ana family mke na mtoto. SASA ana mchepuko wake huo unafanya biashara ya GENGE lenye mazaga kama yote ya misosi.
Hoja yangu ni kwamba HUyo mchepuko ndiye anatoa mahitaji mengi ya nyumbani Kwa dogo kasoro unga na Michele Tu Ila vingne vingi mchepuko anatoa dogo anapeleka home wanatumia na familia yake.
Mchepuko huo si Tu mazaga Bali mpaka na hela dogo akifulia anapewa na HUyo demu wengne wanaweza kusema pengne demu ni mchovu kaokota dodo Kwa taarifa Tu demu ni kisu tako like tamu ambalo si la manyamanyama kama la shishi ni tako Fulani limetulia na uwenda ni laini Sana 🤗🤗.

Kimsingi dogo kapata kitonga mpaka PGO wenzake nao wakifulia huenda kukopa Kwa mchepuko WA dogo kukopa mazaga si pesa.
Sa huwa najiulza je mapenzi ni pesa au ni moyo au dogo amemloga HUyo mchepuko au Kuna nini maana humu wakuu Kila ukizungumzia mapenzi unaambiwa tafuta pesa wakati Kuna raia wanapga papuchi za watoto wakali na hawalipii hata Mia zaidi ya lodge Tu na bado wanapewa bonuses kama zote.

Mchepuko anajua dogo ana mke wake msisahau Hilo.
NB: wanaume msiache kutafuta maisha na pesa.
 
Hakuna penzi pasi na pesa kat yenu nyote wawili. Laa sivyo mmoja wapo kati ya hao wawili lazima awe submissive
Mbaya zaidi mwanaume awe submissive atakoma
 
Usione amemganda kuna vitu anapewa adimu jamni
Dogo atakuwa AnaPiGa ukuNi sana Uwenda. Na hivi wadada wengi wao hawakojoleshwi uwenda dogo anamkojoza Sana huyo chepuko aisee.
 
Ukisikia Madhara ya kupenda kama kichaa ndio haya sasa! Mwanamke unamuhudumiaje mwanaume? Tena mwenye kazi na familia juuu!!! Jinga sana huyo binti
Mapenzi ya kweli ndivyo yalivyo ni upofu na ujinga Ila penzi la sababu ya haya huwezi yaona dadaa
 
Utoto raha saana...
MiseMo hii hata kanga huwa hazipendi Ila inapachikiwa Tu na wanadamu mashambenga kama wewe.

Je utoto ni upi hapo dogo kupata vya bure bila gharama toka Kwa demu wakati humu huwa mnasema mapenzi ni pesa Tu?
Saidia tujue utoto huo upo wapi mzee
 
Kuna michepuko mingine ni kero inapenda mpaka unajiuliza kabla sijaoa alikua wap hyu

Ila Wana akili usipo kua makini mkeo ndio atakua mchepuko.
 
MiseMo hii hata kanga huwa hazipendi Ila inapachikiwa Tu na wanadamu mashambenga kama wewe.

Je utoto ni upi hapo dogo kupata vya bure bila gharama toka Kwa demu wakati humu huwa mnasema mapenzi ni pesa Tu?
Saidia tujue utoto huo upo wapi mzee

Utakuta anasema “utoto raha sana” angali na yeye ni mtoto tena anakaa kwa shemej yake humu watu ni wajuaji mpk kero ukiwa unaroho ndogo unaeza ht mtusi mtu
 
Utakuta anasema “utoto raha sana” angali na yeye ni mtoto tena anakaa kwa shemej yake humu watu ni wajuaji mpk kero ukiwa unaroho ndogo unaeza ht mtusi mtu
HakiKa JF Kila mtu ni msomi kuanzia degree na kuendeleza, Kila mtu ana hela, Kila mtu anayajua mapenzi, Kila mtu humu anajua Kila kitu.
 
Back
Top Bottom