pesa

  1. AA TANCH TRADING COMPANY

    JamiiForums Tanzania Agiza Mashine za kutengenezea mkaa wa taka kutoka China to Tanzania.Na uanze kuatengeneza pesa

    Mashine za kutengeneza mkaa wa taka zinarahisisha sana Maisha ya wajasiriamali mbali mbali. Piga 0756 591 943. Tukuletee mashine hadi nyumbani. Tukianza na taka zinazotumika kutengenezea mkaa kwenye izi mashine. Ni taka kama: Biomass shells: Coffee husk, olive shells, palm shells, bamboo...
  2. BAK

    JamiiForums Tanzania Hizi pesa ni za nani na zilikuwa ni kiasi gani?

    Arusha. Mahakama ya Hakimu Mkazi Arusha imeonyeshwa video ya matukio yanayodaiwa kutokea benki ya CRDB Arusha, tawi la Kwa Moromboo Januari 22 mwaka huu. Video hizo zimeonyeshwa leo Novemba Mosi, 2021 mbele ya Hakimu Mkazi, Patricia Kisinda anayesikiliza kesi ya uhujumu uchumi namba 27 ya mwaka...
  3. Superbug

    JamiiForums Tanzania Maisha Yana maajabu Sana limao Lina pesa kuliko chungwa.

    Bei ya limao moja kwasasa ni tsh 500 wakati chungwa moja ni tsh 100. Inamaana limao moja ni machungwa matano TAFAKARI.
  4. Ubungo Mataa

    JamiiForums Tanzania Mzigo mkononi, Pesa mfukoni

    WapambanaJi.. Nahitaji samaka wabichi aina ya Kambale (ukubwa wowote). Kiasi chochote nahitaji, kuanzia kilo 100, 200, 500 n.k kwa bei ya jumla, Nahitaji kutoka kwa wavuvi.. Bei maelewano (0783343629)
  5. Nafaka

    JamiiForums Tanzania Hamisha pesa directly toka payoneer mastercard kuja airtel money haraka

    Kwa wale ambao mlikuwa mnapata tabu ya makato pale mnapoenda kudraw pesa kwakutumia payoneer mastercard sasa airtel wamesolve hilo shida. Airtel wana huduma ya kuhamisha pesa kutoka mastercard au visa kuja airtel, hivyo unaweza tumia njia hiyo hamisha pesa toka payoneer account kuja airtel...
  6. Mdaiwa-Sugu

    JamiiForums Tanzania Je, Pesa za IMF zimeanza kupigwa? Wananchi wanasomba Mawe na Kokoto kwaajili ya ujenzi Madarasa

    Tuliambiwa tozo za miamala ya simu ni kwaajili ya ujenzi wa madarasa. Kadhalika, juzi kati serikali ya mama samia imekopa kiasi cha zaidi ya trioni moja kutoka IMF ambapo zaidi ya mabilioni ya pesa kwenye huo mkopo yametengwa kwaajili ya ujenzi wa vyumba vya madarasa kama sehemu ya maandalizi ya...
  7. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Tanzania Babu akasema: Pesa ina maadui wawili mjukuu wangu

    BABU AKASEMA; PESA INAMAADUI WAWILI, JE WAWAJUA? Anaandika , Robert Heriel. © Maandishi ya Robert Heriel Kwa lugha ya Kiswahili. TAIKON Anawasilisha. " Upepo unapotoka hatuuoni na wala unakoelekea hatupajui, ndivyo ninyi Vijana wa Zama hizi mlivyo, mmejigeuza upepo, hamtaki kujua wapi...
  8. Equation x

    JamiiForums Tanzania Tumia watu wakutengenezee pesa

    Tuanze na mtaji mdogo tu, labda una shilingi laki 5 na hujui ufanyie shughuli gani; fanya yafuatayo:- Nenda sokoni, na utafute wamama watu wazima watano wenye vibanda; ambao ni wapambanaji Tathmini utokaji wa biashara zao, kama unaridhisha nenda hatua inayofuata Hakikisha hawa wamama...
  9. C

    JamiiForums Tanzania Walibya wadai Biashara Utd walihongwa ili wasisafiri

    Laiti haya mambo yangekuwaga na uchunguzi wa kina tungegunduaga mambo ya ajabu sana , sasa the talk of the town huko libya ni kwamba Biashara utd ilihongwa pesa nyingi sana ili watafute kisingizio kwa namna yoyote ile wasifike libya na kupoteza mechi. KUANZIA MECHI YA SIMBA NA YA WALIBYA KUNA...
  10. MabatiBeiNafuu

    JamiiForums Tanzania Tamaa za pesa zimetuponza Simba, tumesajili kimhemko. Sijasikitika sana

    Wakuu hii Simba ukiangalia ni mbovu sana hairidhishi hata kuiangalia. Hata tuliposhinda kule Botswana wala sikufurahia jinsi timu ilivyocheza. Hii timu haionekani hata ikitafuta ushindi. Tulicheza vibaya sana na timu ilionekana kuelemewa basi tu bahati ilikuwa kwetu. Kocha ameshindwa hata...
  11. polokwane

    JamiiForums Tanzania TAMISEMI hili suala la vifaa vya ujenzi wa madarasa kununuliwa na Halmashauri wakati pesa zimeingizwa kwenye account za shule tupieni jicho

    Kuna Halmashauri nyingi hapa nchini zimetoa maelekezo kwamba vifaa vya ujenzi watanunua wao wakati huo pesa imeingizwa kwenye accounts za shule, TAMISEMI kama mmetoa maelekezo haya basi wekeni utaratibu mzuri kabisa ili wasije wakazidisha bei ya vifaa maana halmashaur zetu huko kuna shida sana...
  12. Action and Reaction

    JamiiForums Tanzania Pesa humaliza matatizo au matatizo humaliza pesa yako?

    Bandugu habari zenu, Umekuwa tukikimbisana kutafuta mapesa kila iitwapo leo... Sasa hapo msemo upi umekuwa ukikupekeka mchakamchaka Kati ya pesa zako kumalisa iyo matatiso unasopata AU tatiso ndosinasomalisiia pesa yako!
  13. sky soldier

    JamiiForums Tanzania TTB: Jinsi biashara ya ku burn CD ilivyowajaza pesa vijana hapo zamani

    Kuna biashara za misimu, na katika hizi biashara kuna biashara niliyoshuhudia kwa macho yangu iliyotajirisha mno vijana, biashara hii ilikuwa ni ku burn cd miaka ya 2000 hadi 2006 Mimi nitazungumzia scenario ya mkoa niliopo wa nyanda za juu kusini. Enzi hizo miaka ya 2000s bongo flava ilikuwa...
  14. sky soldier

    JamiiForums Tanzania TBT: Jinsi nilivyotumia maburungutu ya pesa ya kigeni isiyo na thamani kuzuzua mabinti

    Leo ni thursday (alhamisi) sio mbaya kukumbushia kidogo mambo kadhaa, tbt throwbak thursaday. 2011 nilikuwa nimemaliza form six nikiwa na miaka 20, Mitihani tumemaliza mwezi wa pili, vyuo tunaingia october, hapo nina miezi 8 yani. Warembo napishana nao mtaani, naishia tu kuwapa hi, nimefulia...
  15. sky soldier

    JamiiForums Tanzania Kuongeza bei za data, lengo ni kuibana internet isifikie wengi au ni kuota ndoto kwamba wananchi wana pesa za mchezo kununua mabando

    Miezi michahe iliyopita hili jambo lilipigiwa kelele sana pale mitandao yote kwa mpigo iliposhinikizwa kubadili bei zao kutokana na mabadiliko kadhaa ya sheria. Kiukweli kisu kiligonga mfupa na wananchi kelele zao zilikita kila kona na mpaka raisi akaingilia kati. kwa sasa ndani ya miezi...
  16. Sky Eclat

    JamiiForums Tanzania Mwanaume wa kwanza kutoa pesa kwa mke wake 1825. Pumzika kwa amani huko uliko

  17. OMOYOGWANE

    JamiiForums Tanzania Kati ya Mungu na binadamu, je ni nani ampe mwenzake pesa?

    Kati ya Mungu na binadamu ni yupi ampe mwenzake pesa? Lama ni Mungu ndio anatakiwa ampe binadamu pesa! Kwanini mnatuambia tumtolee Mungu pesa?
  18. Zero IQ

    JamiiForums Tanzania Usiangaike na mwanamke angaika kutafuta pesa

    Huo ndio ukweli Mchungu wanaume wenzangu, tuangaike kutafuta pesa sio kuangaikia mademu, Ukiwa na pesa hautaomba msamaha ata kama ulikuwa unakosa, Mwanamke anavumilia shida kwa muda mchache tu ila hawezi kudumu ndani yake. Atasema anakupenda kwa sababu unamchakata vizuri lakini akija mwenye...
  19. F

    JamiiForums Tanzania Kiingilio cha Gezaulole kilivyobadilika kutoka Jembe / Panga na kuwa PESA.

    Wakuu, Jana nilipata fursa kuitumia siku ya kumbukizi ya maisha ya Mwalimu kuzunguka zunguka vitongoji vya hapa Dar na mimi, nikapita mitaa ya Gezaulole - kigamboni aisee ni balaa - Mji umejengeka swafi, majumba makali makali nikawaza sana moyoni mwangu kwamba huku si ndiko watu walikuwa...
  20. T

    JamiiForums Tanzania Ngoja tuzisubiri hizo pesa IMF tuzipige kama kawa

    Nasikia serikali imepata fedha kutoka Imf kwa ajili ya ujenzi wa majengo madarasa ni vizuri lakini kwa mkoa wa Songwe najua wanafunzi wanaitaji kujiunga kidato cha kwanza mwakani ni wa chache sana kutokana jamiii ya watu wasivyothamini shule. Shuleina form one mpk 4 ina wanafunzi 78. Pia...
Back
Top Bottom