Mpaka sasa hakuna mwanaCCM aliyeeleza pesa alizokuwa anagawa Magufuli majukwaani alizitoa katika mfuko gani

Kiboko ya Jiwe

JF-Expert Member
Apr 7, 2020
12,702
36,131
Ni vyema CCM ikalinda heshima yake kwa kutuambia sisi wananchi kuhusu fedha alizokuwa anazigawa Magufuli majukwaani

Je, zile fedha zilikuwa zikitoka mfuko gani?

1. Zilitoka katika mshahara na posho za Rais?
2. Zilitoka CCM makao makuu?
3. Zilitoka katika mfuko au akaunti ya Ikulu?
4. Zilitoka B.O.T, kama zilitoka benki kuu zilitoka kwa kanuni ipi?

Je, kwa miaka 5 na miezi kadhaa ya uongozi wa Magufuli jumla ya shilingi ngapi za Kitanzania Magufuli alizigawa majukwaani?
 
Bora Magufuli alizigawa kwa watu wenye dhiki na shida mbali mbali. Lkn kuna huyu mwenyekiti wetu pichani, yeye alichukua michango waliochanga wabunge wake miaka 5, jumlisha na michango tuliochanga katika kipindi cha kampeni za uchaguzi mkuu akaenda kutumia na familia yake Dubai huku akiacha chama hakina akiba ya ndani. Na wengi wamezibwa midomo wasihoji, maana ukihoji ataku Chacha Wangwe haraka iwezekanavyo.

2528007_20200919_173148.jpg
 
Ni vyema CCM ikalinda heshima yake kwa kutuambia sisi wananchi kuhusu fedha alizokuwa anazigawa Magufuli majukwaani.
Je, zile fedha zilikuwa zikitoka mfuko gani?
1.Zilitoka katika mshahara na posho za Rais?
2.Zilitoka CCM makao makuu?
3.Zilitoka katika mfuko au akaunti ya Ikulu?
4. Zilitoka B.O.T, Kama zilitoka benki kuu zilitoka kwa kanuni ipi?.
Je, kwa miaka 5 na miezi kadhaa ya uongozi wa Magufuli jumla ya shilingi ngapi za Kitanzania Magufuli alizigawa majukwaani?
Mfuko wa Rais
 
Kuna hela nje ya hazina hiyo hata cag haruhusiwi kuuliza yaani ni mfuko maalumu na Rais tuu ndie mwenye mamlaka ya kuichukua.
Naomba niishie hapo tafadhali

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom