Je, Rais Samia huyu Waziri wako Mwandamizi aliye nyuma ya hii Timu ya DTB ya Championship hizi Pesa anazoweka huko siyo kwamba huwa anakuibia?

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Jul 13, 2013
56,465
108,620
Mama ni Waziri aliye na tabia ya kupenda Kukurupuka na Kuanzisha au Kuzinunua Timu, anawekeza huko na akishazitumia kwa Maslahi yake huja Kuzitelekeza mbele ya Safari kisha anabakia na Timu yake moja Kubwa ambayo hudiriki hata Kunyofoa Wachezaji wazuri huko na Kuwapeleka bure katika hiyo Klabu.

Rais Samia wala GENTAMYCINE sina tatizo na Yeye Kuifadhili hiyo ( hii ) Timu ya DTB ( ambayo inajificha nyuma ya Umiliki wa Benki ) ila Watu wa Mpira Tanzania tumeshajua Waziri wako Mwandamizi ndiyo yuko nyuma yake ila tunataka tu kujua je, hizi Pesa hakuibii kweli huko Hazina? Je, huyu Waziri wako kule katika Kiapo cha Mali za Viongozi na huu Utajiri wake wa Kuimiliki hii Klabu ya DTB ameuweka pia?

Na wamepania kupanda Ligi Kuu ( NBC Tanzania Premiership ) kwa Gharama yoyote ile na tayari wameshaanza hata Kuhonga katika Mechi zao za awali ili tu wapande Ligi Kuu na ndiyo Timu inayoogopwa na TFF kutokana na huyu Waziri wako Mwandamizi aliye nyuma.

Rais mchunguze upesi sana huyu Waziri.
 
Huyu waziri mwenye PhD ya makaratasi vitendo zero
Hii timu kwani imeandikwa mwigulu fc au ni ya benki ya dtb chini ya wizara yake. Sasa ukilaumu hilo mbona kuna KMC inayomilikiwa na Halmashauri ya kinondoni iliyo chini ya Tamisemi ina maana na dada Ummy nae atumbuliwe au asemwe ni mmiliki wa KMC. Mwigulu tumwandame kwa tozo lakini hizi timu za taasisi huwa zipo maeneo mengi tu duniani
 
Porojo
 
Fitina bin manyatu at work!!! Hakuna jipya hapa,Kama angekuwa na Nia, kwanini asiwekeze kwenye timu yake binafsi,au hata kwenye timu ya nyumbani kwake,kwanini awekeze kwenye timu ya taasisi ? Faida yake nini?

Acha uchuro kwa waziri wetu!!
Sikufich GENTAMYCINE kaongea utumbo sana kwenye hoja zake. Utakuwa unamchukia mwigulu sababu ni yanga. Kwani inakatazwa mtu kuwa mpenzi wa soka? Sio kila mtu atakuwa shabiki wa simba kaka. Mbona issue ya morrison kuna viongozi wakubwa waliharalisha usajili wake haram lakini hawakupigiwa uchuro kama unaoufanya hapA? Yeye kuhamisha Feitoto imekuwa nongwa. Mwigulu katukwazwa kwenye tozo hili nakuunga mkono lakin kumsimanga kwa tuhoja twako sio uungwana, na ukae ukijua haya ni maisha tu, uspende kushuhudia mtu uongo utapatwa na laana kaka. Mwigulu hawez chukua hela ya serikali kwa matakwa yake akanunua timu, sio mbovu wa akili wa kiwango hicho hata kama phd yake ni ya kubebwa kama mnavyodai. Tuwe na woga kwa Mungu na mara nyngne tupende kuwa na uhakika pale tunapotuhumu watu humu jf. Nikueleze tu usimba na uyanga isifikie muda vikatutengeneza hadi kuzushiana uongo, simba na yanga tutaziacha duniani lakin tuwe na ubinadamu kwenye kusimangana aisee
 
Hii timu kwani imeandikwa mwigulu fc au ni ya benki ya dtb chini ya wizara yake. Sasa ukilaumu hilo mbona kuna KMC inayomilikiwa na Halmashauri ya kinondoni iliyo chini ya Tamisemi ina maana na dada Ummy nae atumbuliwe au asemwe ni mmiliki wa KMC. Mwigulu tumwandame kwa tozo lakini hizi timu za taasisi huwa zipo maeneo mengi tu duniani
Hoja kama umeielewa ni mashaka ya mwandishi juu ya fedha anazotoa kuihudumia hiyo team. Mtoa mada ana mashaka kuwa huenda anajichotea fedha hazina na kuzimwaga huko DTB.
Siku nyingine usijitie upofu.

Kwa maoni yangu: Mh atakuwa anatoa msaada ulio ndani ya uwezo wake. Team kuwa na uwezo kifedha isiwe issue ya kushangaza kwani inamilikiwa na taasisi inayofanya biashara ya hela.
 
Kama katoa msaada wa kifedha kautoa lini huo msaada na hata kama katoa je ni kiasi gani hicho?
 
Mama ni Waziri aliye na tabia ya kupenda Kukurupuka na Kuanzisha au Kuzinunua Timu, anawekeza huko na akishazitumia kwa Maslahi yake huja Kuzitelekeza mbele ya Safari kisha anabakia na Timu yake moja Kubwa ambayo hudiriki hata Kunyofoa Wachezaji wazuri huko na Kuwapeleka bure katika hiyo Klabu.

Rais Samia wala GENTAMYCINE sina tatizo na Yeye Kuifadhili hiyo ( hii ) Timu ya DTB ( ambayo inajificha nyuma ya Umiliki wa Benki ) ila Watu wa Mpira Tanzania tumeshajua Waziri wako Mwandamizi ndiyo yuko nyuma yake ila tunataka tu kujua je, hizi Pesa hakuibii kweli huko Hazina? Je, huyu Waziri wako kule katika Kiapo cha Mali za Viongozi na huu Utajiri wake wa Kuimiliki hii Klabu ya DTB ameuweka pia?

Na wamepania kupanda Ligi Kuu ( NBC Tanzania Premiership ) kwa Gharama yoyote ile na tayari wameshaanza hata Kuhonga katika Mechi zao za awali ili tu wapande Ligi Kuu na ndiyo Timu inayoogopwa na TFF kutokana na huyu Waziri wako Mwandamizi aliye nyuma.

Rais mchunguze upesi sana huyu Waziri.
Kama suala ni kumiliki timu ya DTB ndiyo ufisadi basi na yule Katelefone naye awachie madaraka mara moja .

Anamiliki timu kwao huko kusini na hiyo timu inamiliki vitu vyenye thamani kubwa kuliko hata timu kubwa.

Ukiwa unaishi kwenye nyumba ya vioo basi ogopa kuanzisha vita ya kurushiana mawe.
 
Hii timu kwani imeandikwa mwigulu fc au ni ya benki ya dtb chini ya wizara yake. Sasa ukilaumu hilo mbona kuna KMC inayomilikiwa na Halmashauri ya kinondoni iliyo chini ya Tamisemi ina maana na dada Ummy nae atumbuliwe au asemwe ni mmiliki wa KMC. Mwigulu tumwandame kwa tozo lakini hizi timu za taasisi huwa zipo maeneo mengi tu duniani
Majaliwa anayo Namungo mbona watu hawasemi?
 
Mama ni Waziri aliye na tabia ya kupenda Kukurupuka na Kuanzisha au Kuzinunua Timu, anawekeza huko na akishazitumia kwa Maslahi yake huja Kuzitelekeza mbele ya Safari kisha anabakia na Timu yake moja Kubwa ambayo hudiriki hata Kunyofoa Wachezaji wazuri huko na Kuwapeleka bure katika hiyo Klabu.

Rais Samia wala GENTAMYCINE sina tatizo na Yeye Kuifadhili hiyo ( hii ) Timu ya DTB ( ambayo inajificha nyuma ya Umiliki wa Benki ) ila Watu wa Mpira Tanzania tumeshajua Waziri wako Mwandamizi ndiyo yuko nyuma yake ila tunataka tu kujua je, hizi Pesa hakuibii kweli huko Hazina? Je, huyu Waziri wako kule katika Kiapo cha Mali za Viongozi na huu Utajiri wake wa Kuimiliki hii Klabu ya DTB ameuweka pia?

Na wamepania kupanda Ligi Kuu ( NBC Tanzania Premiership ) kwa Gharama yoyote ile na tayari wameshaanza hata Kuhonga katika Mechi zao za awali ili tu wapande Ligi Kuu na ndiyo Timu inayoogopwa na TFF kutokana na huyu Waziri wako Mwandamizi aliye nyuma.

Rais mchunguze upesi sana huyu Waziri.
Mwigulu Nchemba njoo huku kuna kamati ya roho mbaya inakuchafulia koti
 
Siku nyingine soma vizuri kabla ya kurukia mada.
Comment yangu ya kwanza ilibase kwenye kujibu hoja na sio kuanzisha hoja nyingine.
Na chini yake nikaijibu hoja ya mwandishi.
Wewe unakurupuka huko na matusi juu.. Ustaarabu utaliokoa Taifa.
 
Mama ni Waziri aliye na tabia ya kupenda Kukurupuka na Kuanzisha au Kuzinunua Timu, anawekeza huko na akishazitumia kwa Maslahi yake huja Kuzitelekeza mbele ya Safari kisha anabakia na Timu yake moja Kubwa ambayo hudiriki hata Kunyofoa Wachezaji wazuri huko na Kuwapeleka bure katika hiyo Klabu.

Rais Samia wala GENTAMYCINE sina tatizo na Yeye Kuifadhili hiyo ( hii ) Timu ya DTB ( ambayo inajificha nyuma ya Umiliki wa Benki ) ila Watu wa Mpira Tanzania tumeshajua Waziri wako Mwandamizi ndiyo yuko nyuma yake ila tunataka tu kujua je, hizi Pesa hakuibii kweli huko Hazina? Je, huyu Waziri wako kule katika Kiapo cha Mali za Viongozi na huu Utajiri wake wa Kuimiliki hii Klabu ya DTB ameuweka pia?

Na wamepania kupanda Ligi Kuu ( NBC Tanzania Premiership ) kwa Gharama yoyote ile na tayari wameshaanza hata Kuhonga katika Mechi zao za awali ili tu wapande Ligi Kuu na ndiyo Timu inayoogopwa na TFF kutokana na huyu Waziri wako Mwandamizi aliye nyuma.

Rais mchunguze upesi sana huyu Waziri.
HII NDIO UKISIKIA UZANDIKI CHUKI BINAFSI HAKUNA JAMBO KAMA HILO PUUZENI
 
Hii timu kwani imeandikwa mwigulu fc au ni ya benki ya dtb chini ya wizara yake. Sasa ukilaumu hilo mbona kuna KMC inayomilikiwa na Halmashauri ya kinondoni iliyo chini ya Tamisemi ina maana na dada Ummy nae atumbuliwe au asemwe ni mmiliki wa KMC. Mwigulu tumwandame kwa tozo lakini hizi timu za taasisi huwa zipo maeneo mengi tu duniani

Siasa imejaa wazushi, watu wenye wivu, watu waliojipa mamlaka ya kuona kila kitu kwao ni nongwa hata kama ni uongo, na wengine wachache wakweli.
Ila ukweli ndio utatuweka huru
 
Back
Top Bottom