Zile pesa za mechi ya Simba na Yanga iliyoahirishwa ndiyo zimeliwa?

The Boss

JF-Expert Member
Aug 18, 2009
49,108
115,842
Wadau Ile mechi ambayo iliepekwa saa moja usiku halafu Yanga wakagoma wakaondoka.

Taarifa yake ya fedha ikoje!?Zile hela zilienda wapi?Au ndo zimeliwa?

Kuna anaekumbuka labda maelezo yeyote?

Nazungumzia mechi ya Simba na Yanga ilioshindikana kuchezwa huku watu walishaingia uwanjani
 
Zimeliwa zile za LUKU kipindi kile tumeshindwa kununua umeme baada ya bwana yule kuchomoa betri itakua hizo za uwanjani, watanzania wamezoea kupigwa sio kitu kigeni hiki
 
Kama ulikata tiketi na udhibitisho unao, basi una haki ya kuzipeleka mamlaka mahakamani.
Hata suala luku pia unaweza kulipeleka mahakamani.
 
Wadau Ile mechi ambayo iliepekwa saa moja usiku halafu Yanga wakagoma wakaondoka.

Taarifa yake ya fedha ikoje!?Zile hela zilienda wapi?Au ndo zimeliwa?

Kuna anaekumbuka labda maelezo yeyote?

Nazungumzia mechi ya Simba na Yanga ilioshindikana kuchezwa huku watu walishaingia uwanjani

Ile mechi ilichezwa siku za mbele na yanga ikashinda 1 -0 . Watu waliingia walitumia tiket zile zile za hela ile ile kuingilia uwanjani..
 
Tuulizie na hizi za juzi yanga vs simba ngapi zimepatikana hazijatangazwa kama kawa
 
Tulirudishiwa hela zetu kwenye kadi tukaingia tena
 
Wenye message ya muamala walitumia kuingia mechi iliyofuata pia waliotumia card walirudishiwa
 
Back
Top Bottom