passport

  1. GoldDhahabu

    JamiiForums Tanzania Inachukua muda gani kubadilisha jina kwenye passport?

    Msaada wa haraka tafadhali! Kuna mtu anahitaji kubadilisha majina kwenye nyaraka zake za muhimu: PASSPORT, DRIVING LICENSE, NIDA, KITAMBULISHO CHA MPIGA KURA, n.k. Majina yanayobadilishwa ni mawili: la kwanza na la kati. La mwisho (la ukoo) litabaki kama lilivyokuwa. Utaratibu ukoje? 1...
  2. Mike Moe

    JamiiForums Tanzania Passport ya kusafiria

    Habari za mchana wana jamii naomba kutahamu utaratibu upoje kwa mtu anaehitaji kupata passport ya kusafiria vitu anavyotakiwa kuwa navyo pamoja na gharama ni kiasi gani na inachukua muda gani mpaka kupata passport yako baada ya kukamilisha maombi
  3. benn daniel

    JamiiForums Tanzania Ifahamu Diplomatic Passport (Pasipoti ya Kidiplomasia)

    Kumekuwa na mijadala iliyoibuka hivi karibuni juu ya uwepo wa baadhi ya watu kupewa pasipoti ya kidiplomasia hapa nchini. Swali kubwa likiwa, je, watu hao wanazosifa za kupewa pasipoti hizo? Swala sio ni akina nani na Wala sina nia ya kuwajua, lengo la Uzi huu ni kutaka tuweze kujua ni akina...
  4. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Paul Mselle: Wenye changamoto ya kucheleweshewa “Passport” wafike ofisini watapata majibu

    Msemaji Mkuu wa Idara ya Uhamiaji na Mkuu wa Kitengo cha Uhusiano, Mrakibu wa Uhamiaji, Paul John Mselle amesema Watu ambao wamekuwa na changamoto ya kudai kucheleweshewa kupata Pasi ya Kusafiria (Passport) wanatakiwa kufika Ofisi za Uhamiaji waelezee changamoto zao. Amesema hayo wakati akijibu...
  5. Mwanongwa

    JamiiForums Tanzania KERO Miezi mitatu nafuatilia Passport mpya, napigwa kalenda tu, ni kweli UHAMIAJI mmeishiwa material ya kuprinti Passport mpya?

    Nilianza kufanya mchakato wa maombi ya kupata Pasi ya Kusafiria kwa kufuata njia halali, awali nilienda Kibaha Mkoani Pwani, kuna staff mmoja wa pale akanishauri kuwa kama nina haraka nifanye mambi yangu mtandaoni kisha nielekeze nikachukue Passport yangu hiyo Dar es Salaam Nikafanya hivyo...
  6. Sky Eclat

    JamiiForums Tanzania British Indian Passport

    Picha hii ilichukuliwa mwaka 1930, hii passport walitumia raia wa India na Pakistan. Eneo lote Hilo liliitwa Indian Empire. India na Pakistan zilipata uhuru kutoka Uingereza mwaka 1947, baada ya hapo watu walichagua passport ya kubeba, iwe India, Pakistan au British.
  7. Yoda

    JamiiForums Tanzania Kipi kikubwa au kikuu kati ya kitambulisho cha Taifa(NIDA) na passport?

    Wakati mtu unaomba passport katika idara ya uhamiaji unahitajika kuwa na kitambulisho cha taifa(NIDA) lakini pia unapaswa tena kufuata mchakato ule ule uliotumia kupata kitambulisho cha NIDA, sasa nini maana kuwa na kitambulisho cha Taifa! Kipi ni kikubwa, kikuu au cha muhimu zaidi kati ya...
  8. M

    JamiiForums Tanzania KERO Upatikanaji wa Passport kwenye ofisi ya Uhamiaji pale Kibaha Mjini bado ni changamoto

    Ni muda sasa tangu watu wafanye maombi ya passport lakini hadi sasa hawajapata hizo passport. Raia kila wakienda wanaambiwa changamoto ni mtandao. Ni miezi 6 sasa na wengine wanaambiwa wafanye maombi upya. Je ni haki? Uhamiaji wana matawi tofauti nchini. Kwanini wasiwape transfer waende...
  9. Meneja Wa Makampuni

    JamiiForums Tanzania Njoo Tukusaidie Kujaza Form ya Kuomba VISA na Passport ya kusafiria

    Njoo Tukusaidie Kujaza Form ya Kuomba VISA na Passport Wasiliana nasi kupitia WhatsApp: 0612607426. Kazi zote zitafanyika remotely. Huduma za ujenzi Vituo vya Mafuta Kwa wale wanaotegemea kujenga vituo vya mafuta, njoo tukuandalie mpango wa biashara na mchoro wa kituo cha mafuta kwa gharama ya...
  10. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Waziri Jafo: Tanzania Bara kuingia Zanzibar kwa pasipoti ni kujirudisha nyuma

    Bunge limepitisha bajeti ya Ofisi ya Makamu wa Rais Muungano na Mazingira, Waziri mwenye dhamana, Dkt Selemani Jafo akisema hoja ya kutaka kurejesha utaratibu wa watu wa Tanzania Bara kuingia Zanzibar kwa pasipoti ni kujirudisha nyuma. Jafo amesema hayo jana Jumanne Aprili 23, 2024 akitoa...
  11. Mpatuka

    JamiiForums Tanzania Msaada Passport ya kusafiria

    Kuna yeyote hapa ambaye amekutana na tofauti kati ya taarifa zilizopo kwenye cheti cha kuzaliwa na zile za kwenye NIDA? Hasa sehemu ya kuzaliwa zinatofautiana? Ninauliza kwa sababu nataka kufuatilia upatikanaji wa pasipoti na nina wasiwasi juu ya taarifa sahihi zinazohitajika na uhamiaji."
  12. Pdidy

    JamiiForums Tanzania Anayesimamia utoaji wa Pasi za kusafiria (Passport) embu alegeze, watu wanateseka sana

    Kwako Ndugu Kamishna wa Uhamiaji Mamayetu Pls kitengo cha uhamiaji upande wa passport embassy fanya marekebishooo Leo niliamua kuadhimisha miaka 3 ya mama samia kwa aunt yangu Nimepata muda wa kuangalia sifa na baadhi ya malalmiko yaliyotolewa na wananchi Katika tv mbili tofauti wananchi...
  13. Emery Paper

    JamiiForums Tanzania Msaada kujaza fomu ya passport online

    Habari zenu wakuu ? Niko hapa najaza fomu ya kuomba Passport online. Nimefika hii hatua natakiwa nijaze dhumuni la safari na maelekezo yanasema ni lazima kujaza. Sina safari yoyote bali nahitaji tu kuwa na passport. Kwa wenye uzoefu natokaje hii hatua ? Nashukuruni sana kwa msaada wenu.
  14. matunduizi

    JamiiForums Tanzania Nashauri kuwa na Passport iwe ni sharti la lazima mtu kuanza chuo au kufungua biashara. Hili ni dogo sana kwa Rais wetu

    Passport ni kitu muhimu sana. Lakini ukisikiliza ni malalamiko ya watu wengi kuwa upatikanaji wake ni mgumu. Kutokuwa na passport ni moja ya sababu watanzania wengi kukoswa grobal mentality. Wengi mambo yakiwa magumu wanafikilia kurudi vijijini badala ya kutafuta fursa nje ya nchi. Kigezo eti...
  15. Zekoddo

    JamiiForums Tanzania App ambayo inaweza kunisaidia kubadilisha picha ya kawaida kuwa passport size yenye Blue color background

    Naomba kujuzwa Application inayoweza kuniwezeaha kubadili picha ya kawaida na kuwa passport size
  16. Masai wa Town

    JamiiForums Tanzania Nimekwama kujaza fomu ya passport. Naomba msaada wakuu

    Baada ya kujaza fomu mtandaoni, nikalipia Nika download, Sasa hivi vipengele sijavielewa: 7. Wadhamini wa mwombaji: naomba kufahamu Kama wadhamini Ni lazima wawe Ndugu wa damu au hata marafiki tu. 9. Shuhuda kwa mwombaji: Naomba kufahamu kama huyo shuhuda ni ndugu au Ni mwajiri au Ni hakimu au...
  17. Ricky Blair

    JamiiForums Tanzania Utaratibu wa kuwa na Passport uondolewe, tutumie vitambulisho vya uraia badala yake

    Nadhani muda muafaka sasa umefika kwa nchi zote duniani kuaga passport na mambo ya kustamp stamp na tuwe na kakadi tu kama national ID and info ukiingia nchini za watu zinarekodiwa digitali rather than hivi vitabu vya kurenew kila baada ya muda fulani, ambavyo kama unasafiri safiri sana in a...
  18. Mparee2

    JamiiForums Tanzania Taratibu za kurenew passport ziangaliwe upya

    Napendekeza passport ikiisha muda wake au kujaa; mtu apewe nyingine kwa taratibu rahisi kwa sababu anafahamika na sio kuanza mlolongo wa maombi mapya kama mtu ambaye hajawahi kumiliki passport Nafikiri mtu angetakiwa tu awakilishe copy ya NIDA na pengine kuwepo na fomu rahisi ya kujaza vile...
  19. Meneja Wa Makampuni

    JamiiForums Tanzania Graduate wa chuo, tafuta documents zifuatazo omba passport ya kusafiria nenda Ulaya ukapate ramani ya maisha yako

    Mchanganuo wa Nyaraka za zinazohitajika kwa anayetafuta Pasipoti ya Kusafiria Kwa Safari ya Ulaya na Kuweka Mipango ya Maisha. Kabla ya kuanza safari yako ya Ulaya na kuanza hatua mpya ya maisha yako, unahitaji kuwa na nyaraka sahihi zinazohitajika wakati wa kuomba pasipoti ya kusafiria. Hizi...
  20. Namora

    JamiiForums Tanzania Msaada wa kupata Pasi ya kusafiria

    Wakuu naombeni mwongozo wenu tafadhali, nilikua nafatilia pasi ya kusafiria (International Passport) kidogo nimekumbsna na vikwazo. Mimi niko mkoani huku (Chuganian) Nimejaribu kuulizia uhamiaji wa hapa nimeelezwa niwe na: Cheti cha kuzaliwa (Ninacho) Namba za Nida (ninazo) Cheti cha kuzaliwa...
Back
Top Bottom