passport

  1. Genius Man

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Jonh Heche, Tangu niachiliwe sijapewa passport yangu ya kusafiri bila sababu zozote za kisheria

    Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Jonh Heche, amedai kuwa tangu aachiwe huru na Jeshi la Polisi amekuwa akifuatilia pasipoti yake ya kusafiria bila mafanikio. Kupitia ukurasa wake wa Mtandao wa X (zamani Twitter), Heche amesema pasipoti hiyo ni muhimu kwa ajili...
  2. Huihui2

    JamiiForums Tanzania Heche usipotoshe; Wanaosema Polepole katekwa ndiyo wanaopaswa kuthibitisha Passport inaonyesha aliingia lini nchini

    Officially Humphrey Polepole alijiuzulu kazi akiwa Cuba na Serikali haikumpa mafao ya kusafirisha mizigo. Heche anaikosea Uhamiaji anapotaka iseme Polepole yuko wapi!! Utamtekaje mtu ambaye yuko Cuba He who alleges must prove
  3. Yoda

    JamiiForums Tanzania Passport ya Singapore ndio namba moja kwa nguvu duniani, ukiimiliki unaingia nchi zote duniani bila visa

    Kwa raia wa Singapore anachohitaji ni pesa tu ya kuzunguka duniani, huna haja ya kusumbuka na maswali au foleni za kuomba visa.
  4. C

    JamiiForums Tanzania Msaada wa kupata passport

    Wapendwa naomba mnisaidie mawazo ya Nini nifanye ili niweze kupewa passport yangu,inazaidi ya mwezi sasa yangu niombe,na uhamiaji wanataka nipeleke barua kutoka kazini kwangu,Jambo ambalo ni gumu maana I'm jobless at the moment,na Nina ihitaji before 25 this month.
  5. M

    JamiiForums Tanzania Serikali ya CCM na Uhamiaji miaka 60 ya Uhuru wanashindwa kutengeneza passport , bila shaka hatuwezi kupata maendeleo CCM ikiendelea kuwa madarakani

    Wadau, Ni msiba mzito kwa Tanzania kuwa CCM priority yake ni kupambana kuendelea kuwa madarakani kwa gharama yoyote ikiwemo kupokea pesa chafu kutoka kwa watu ambao wakati mwingine inawaita mafisadi, kuua, kuteka na kulawiti wale wanaopingana nayo kwa hoja , yote hayo inaweza kuyafanya...
  6. and 998 others

    JamiiForums Tanzania Polepole arudishe diplomatic passport

    Chap kwa haraka. Arudishe passport tajwa
  7. Burn the bridge _Tz

    JamiiForums Tanzania Napataje barua ya uthibitisho wa safari? Ili kupata passport?

    Hello Fellas Nataka kuchukua passport kwa ajili ya matumizi ya baadae Changamoto inakuja kwenye barua ya uthibitisho wa safari Sina invitation letter nataka kuwa na passport in case anything happen natembea ughaibuni Naombeni njia za kupata barua ya uthibitisho aiseee.
  8. fundi msati

    JamiiForums Tanzania Je utaratibu upoje ili upate passport ikiwa imekupoyea?

    Habari zenu wana jamvi, Kuna mtu wangu wa karibu amepotelewa na passport yake je utaratibu upi afuate ili kupata nyingine Msaada jamani kwa anae fahamu na gharama zake kama zipo. Natanguliza shukrani
  9. AY 5225

    JamiiForums Tanzania Kuna shida kwa mtu mwenye dreadlocks wakati wa kufanya biometrics kwaajili ya passport na mengine yahusianayo?

    Heshima yenu wakubwa. Naomba kuuliza kama kuna shida kwa mtu mwenye dreadlocks (kubwa/nyingi) kwenye kufanya biometrics wakati wa kushughulikia passport? Pia kwenye kujaza form online, kwa mtu ambae mzazi wake alizaliwa 1950s na hana cheti cha kuzaliwa ila ana kitambulisho cha uraia, kwenye...
  10. music mimi

    JamiiForums Tanzania Msaada: Natafuta digital camera na printer nzuri kwa ajili ya biashara ya passport size photos

    Wadau wa technology. Naomba msaada wa mawazo yenu, najua mpo wenye experience ya kutosha kwenye hivi vifaa. Nataka kununua digital camera na printer mahsusi kwa ajili ya kazi ya picha za passport. Nahitaji kwa ajili ya kutoa passport za haraka zile za dakika 3. Nachoitaji ni kusaidiwa jina...
  11. Yoda

    JamiiForums Tanzania Chawa mwandamizi wa Ibrah Traore apewa passport mpya ya Burkina Faso

    Ni kijana Wode Maya kutoka Ghana ambaye amekuwa mstari wa mbele kuimba nyimbo na mapambio ya sifa kwa Ibra Traore, mtawala wa Burkina Faso. Hivi kwa nini wanaompamba sana Traore wengi wao kama sio wote wanatoka nchi za nje na sio raia wa ndani ya Burkina Faso?
  12. Hyrax

    JamiiForums Tanzania Kama una kitambulisho cha NIDA na huna Passport ya Tanzania jua wewe ni mkaazi (Resident) wa Tanzania ila sio raia (Nationalist) wa Tanzania

    Wakati naahangaikia Passport ndio nimejua kuwa ukiwa na NIDA tu haitoshi kuwa raia wa Tanzania mpaka uwe na Passport ya Tanzania. Tafuteni passport aisee tunakosa mambo mengi sana yenye fursa.
  13. N

    JamiiForums Tanzania Msaada wa ku renew passport nje ya Tanzania

    Nipo nje ya nchi na pasipoti yangu imeisha muda. Nimesha jaza maombi ya pasipoti mpya na pia nimefanya malipo kwenye tovuti ya Uhamiaji. Pia nimetuma barua pepe na copi Ubalozi. Lakini bado hawajajibu. Naomba kama kuna mtu anajua taratibu zao nje nilichokifanya. Na inachukua muda gani?
  14. KateMiddleton

    JamiiForums Tanzania Naomba tafsiri ya ndoto ya kuachwa na ndege kisa kusahau passport

    Nahitaji msaada wa tafsir ya ndoto Nimeota usiku wa kuamkia leo tar 19 March 2025 Nimeachwa na ndege katika ndoto kwa sababu ya kusahau passport nyumbani, Sema hii issue inanipa mawazo kwa sababu kwa personality yangu mimi ni type A/planner/meticulous person kwa maana kwamba ni mtu ambaye...
  15. MoSantu

    JamiiForums Tanzania Msaada: Nahitaji passport ya kusafiria

    Habari wakuu nimepata mchongo wa kazi nje ya nchi, nimepewa taratibu za kupata passport na inachukua muda wa mwezi na week kutoka, naombeni msaada kama kuna njia naweza kutumia kuipata kwa siku 7. Kila kitu kinachohitajika ninacho. Natanguliza shukran🙏
  16. kajamaa kadogo

    JamiiForums Tanzania Kuna aina ngapi za passport za kusafiria hapa Tanzania?

  17. Liyambange

    JamiiForums Tanzania Msaada namna yakuweka passport size photo kwenye ajira portal

    Msaada wana JF kwa anaejua namna yaku upload passport size photo kwenye ajira portal
  18. W

    JamiiForums Tanzania Baada ya kupiga picha ya passport size nimestuka sana kuona sura ilivyozeeka, vioo huwa vinatudanganya ?

    sikuamini nachokiona, niliomba picha yangu irudiwe ni vile vile nikaenda kupiga sehemu nyingine lakini matokeo ni yale yale. kila siku nikijiangalia kwenye kioo sioni tatizo
  19. Dear_me_

    JamiiForums Tanzania Naweza kuendelea nilipo ishia kwenye kwenye ufuatiliaji wa passport ta kusafiria

    Habari za muda huu wana jF ningependa kuuliza na kujua Je kama nimeshalipia control number ya passport online nika downlaod na form na imepita miezi sita je nikitaka kwenda kwnye ofisi ya uhamiaji inanibidi nianze upya ufuatiliaji (kulipia 20,000 ) kwenye control number.? au nitaendelea nilipo...
  20. GoldDhahabu

    JamiiForums Tanzania Nini cha kufanya ukipoteza passport ugenini?

    Ukikutana na hiyo changamoto utapaswa kuchukua hatua gani? 1. Utaitaarifu kwanza ofisi ya ubalozi wako? 2. Utaripoti kituo cha Polisi cha nchi uliyopo?
Back
Top Bottom