passport

  1. Jicholamwewe

    JamiiForums Tanzania Nifanye nini nipate hati ya kusafiria baada ya haya mazingira kujitokeza?

    Nahitaji msaada wakuu nisaidieni yeyote anayefanya kazi uhamiaji kurani au anamfaham MTU yuko pale naomba msaada wenu kuna MTU anataka kuzima ndoto zangu. Nilipata mishe nje hivyo nikaenda kuomba passport. Lakini mzazi hakupenda jambo hili.nilipoenda nikaambiwa niwape namba ya mzazi wamhoji bas...
  2. Kitchener

    JamiiForums Tanzania Hii video ndiyo iliyomfanya Askofu Kakobe anyang'anywe passport?

    Jamaa ameumizwa sana kwasababu tu alitaja Tanganyika. Imagine, tangu enzi Wazanzibar wapo huru kujivunia Zanzibar na kupigania Zanzibar, wana serikali yao, bunge lao, lakini mtu wa Bara akitaja Tanganyika anachokutana nacho ni hatari tupu. Hutakiwi kujiita mtanganyika, ila wengine wajiite tu...
  3. LeBoss

    JamiiForums Tanzania Nimepata pasi ya kusafiria (Electronic passport)

    .
  4. R

    JamiiForums Tanzania Kadi ya NIDA inakitu gani special hadi iwe ngumu kuprint kiasi hiki? Passport na NIDA kipi kigumu kuchapisha?

    Passport ya Tanzania unapata ndani ya siku moja baada data kuingizwa kwenye mtambo. Benki kadi unapata ndani ya masaa kadhaa, najiuliza hii kadi ya NIDA ina teknolojia gani ngumu hadi ukae mwaka bila kuprint kitambulisho? Lakini kama wenye namba ya NIDA wanapata huduma zote kwanini tunaamini...
  5. P

    JamiiForums Tanzania Napaswa kurudisha Passport kwa kuwa nimeshindwa kusafiri?

    Kuna wakati nilipata nafasi ya masomo nje. Nikatafuta passport. Mwishowe nikashindwa kwenda masomoni kwa sababu Fulani. Kama utaratibu kuwa na sababu ya kusafiri ndo upewe, hainibidi kuwarudishia? Maana sikusafiri. Just thinking loudly.
  6. GoldDhahabu

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wakenya Tupeni Uzoefu Wenu Kuhusu Passport

    Kwa Tanzania, sharti uwe na safari ndiyo utapewa pasi ya kusafiria(passport). Utaratibu ukoje Kenya?
  7. GoldDhahabu

    JamiiForums Tanzania Serikali inafahamu kuwa kwa kuwapatia watu wake passport kunaweza kuwahamasisha kutafuta fursa nchi zingine?

    Mwanzoni mwa mwaka huu, nilienda Mutukula kufanya manunuzi ya vitu fulani. Niliamua kuvifuata huko kwa sababu niliamini bei ni nafuu zaidi kuliko nilikokuwa. Kuna wafanyabiashara wanaofuata mizigo yao huko. Ikiwa wao wanafuata huko na kuja kutuuzia tuliko, nilijua, kwa vyo vyote, bei ingekuwa ni...
  8. Katkit

    JamiiForums Tanzania MWAMPOSA: Kama huna Passport wewe ni mtu usiyejielewa

    Bwana asifiwe, Buldozer kaamua kuwachamba waumini wake wasio na passport, anawaambia kila siku wanakaa Manzese wakienda mbali KKOO. Hivi mtu aache kuwaza mlo wa mchana aje awaze passport kweli?
  9. Mona_tz

    JamiiForums Tanzania Msaada: Huwa inachukua muda gani kupata passport baada ya kukamilisha taratibu zote za maombi?

    Naomba msaada. Mimi niliomba passport ya kusafiria trh 30/03/2023 pale ofisi kuu ya Uhamiaji Kurasini. Nilimaliza taratibu zote za malipo, kupiga picha, Fingerprint na yule ofisa wa Uhamiaji akanambia niende kuchukua passport yangu trh 13/04/2023 cha ajabu nimeenda nimeambiwa tena bado haijatoka...
  10. ryaniza

    JamiiForums Tanzania Ni kazi gani mtu anaweza kwenda kufanya ughaibuni akalazimika kupokonywa passport na kuzuiliwa kutumia WhatsApp?

    Kuna jirani yangu mmoja mwanae hakufanikiwa sana kimasomo kama wa kwangu Mimi nimepambana amefika mpaka chuo amepata degree ajira ndo Hana mpaka anatia huzuni Sasa mtoto wa jirani yangu aliishia form four alifeli akawa haeleweki tu sasa juzi kati kwenye story mbili tatu na jirani yangu...
  11. Hemedy Jr Junior

    JamiiForums Tanzania kupata passport mbona longolongo kibao nini tatizo

    Hapa naomba nifahamu mbona kuna ugumu wa kupata passport ya kusafiria na kuna mzunguko mwingi sana .
  12. K

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kenya Passport Holders = 3.5 Million.., Tanzania Passport Holders = 1.1 million

    There seems to be a huge shortage of people with disposable income in Tanzania. Vast majority of Tanzanians have never left their country, cannot afford to and don't even own a passport. Ata $1000 ya kutembea Dubai hamna jameni. Sad situation. Mjikakamue kidogo.
  13. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Ripoti Henley Passport Index 2023: Hati 10 za Kusafiria zenye nguvu zaidi Barani Afrika

    Tanzania imeshika nafasi ya 10 katika nchi za Afrika zenye Passport zenye nguvu zaidi huku ikiwa nafasi ya 74 duniani na uwezo wa kuingia katika maeneo 72 kwa Viza au bila Viza. Kwa mujibu wa utafiti uliofanywa na Henley Passport Index, kupitia Mamlaka ya Kimataifa ya Usafiri wa Anga (IATA)...
  14. R

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Ni kweli hawa wote ni raia wa Tanzania au wamejipatia pasipoti za Tanzania kimakosa?

    Tanzania hakuna uraia wa nchi mbili lakini naona kama wageni wanaomiliki Pasipoti za Tanzania na za mataifa mengine wamekuwa wengi Sana. Sikukuu za mwisho wa mwaka nilikuwa South kwa mwaliko wa familia Kula bata kidogo, katika moja ya hafla mwenyeji wangu alinikutanisha na rafiki zake ambao...
  15. Lycaon pictus

    JamiiForums Tanzania Mkitaka uraia pacha basi rahisisheni taratibu za watu kupata passport na kutoka nje ya nchi

    Matajiri na wanasiasa wanataka uraia pacha utakao wafaidisha wao na watoto wao tu. Toka uhuru, wao ndiyo wenye uwezo wa kupata passport na kwenda nje kwa urahisi. Watoto wa masikini wamejazwa vikwazo kibao juu ya kutoka nje ya nchi. Yaani vikwazo vilivyopo ni ngumu watoto wa kimasikini...
  16. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Rais wa zamani wa Comoro afungwa maisha kwa kuuza 'Passport' kwa wasio raia

    Mahakama imetoa adhabu hiyo kwa Ahmed Abdallah Sambi aliyekuwa Rais mwaka 2006 - 2011 baada ya kumkuta na hatia ya Uhaini dhidi ya Serikali na Nchi. Kwa mujibu wa Mashtaka, Kiongozi huyo amekutwa na makosa ya kuuza Hati za Kusafiria kwa watu wasio na Uraia pamoja na Ubadhirifu wa Tsh. Trilioni...
  17. imhotep

    JamiiForums Tanzania KWELI Passport ya Tanzania haikubaliki kutumika kama Kitambulisho cha taifa (National ID)

    Kuna mijadala mingi inayosema kuwa Passport yetu ya Tanzania haikubaliki kama proof of ID je ni kweli?
  18. chiembe

    JamiiForums Tanzania Uhamiaji ianze uchunguzi jinsi watoto wa Lissu, ambao ni raia wa Marekani walipata passport za Tanzania, kama Lissu alidanganya, ashughulikiwe

    Watoto wa Tundu Antipas Mughway Lissu ni raia wa Marekani, lakini baba yao aliwachukulia passport za Tanzania, bila shaka aliwasilisha taarifa za uongo kwa Afisa wa serikali, jambo ambalo ni kinyume cha sheria, na ni moja ya tabia za kifisadi. Natoa rai idara ya uhamiaji imwage moto kwa...
  19. Lycaon pictus

    JamiiForums Tanzania CHADEMA naombeni mulichukue hili suala la urasimu kwenye uhamiaji na Passport

    Wakati wa ukomunisti, nchi za kikomunisti zilibana sana mipaka yake ili watu wasitoke. Ndiyo moja ya sababu ya ukuta wa Berlin. Ndiyo sababu hadi leo kutoka Korea kaskazini ni ngumu mno na hatari. Tanzania nayo kupindi cha ujamaa wetu ilikuwa hivyo. Leo hii dunia ni kijiji, watu wanasambaa...
  20. Meneja Wa Makampuni

    JamiiForums Tanzania Uhamiaji tusaidieni kwanini passport haitumiki kama National Identification card katika baadhi ya ofisi nchini

    Nimekwenda ofisi kama tatu za watu binafsi nimeshindwa kupata huduma kwa kutumia kitambulisho cha passport eti hakitambuliki. Yaani kitabu hakitambuliki? Ni kweli karne ya 22 kuna baadhi ya ofisi hazitambui kama passport ya kusafiria ni kitambulisho. Wananiambia hicho hakitambuliki sisi hapa...
Back
Top Bottom