Nimekwama kujaza fomu ya passport. Naomba msaada wakuu

Jiko Koa

JF-Expert Member
Jan 7, 2023
228
763
Baada ya kujaza fomu mtandaoni, nikalipia Nika download, Sasa hivi vipengele sijavielewa:

7. Wadhamini wa mwombaji: naomba kufahamu Kama wadhamini Ni lazima wawe Ndugu wa damu au hata marafiki tu.

9. Shuhuda kwa mwombaji:
Naomba kufahamu kama huyo shuhuda ni ndugu au Ni mwajiri au Ni hakimu au Ni afisa wa uhamiaji.

Je, siku ya kuwasilisha fomu Ofisi ya uhamiaji napaswa kwenda na shngapi?

Na je napaswa kuwasilisha fomu Ofisini siku ngapi baada ya ku download ( yaani isizidi siku ngapi)?
 
7. Wadhamini wa mwombaji: naomba kufahamu Kama wadhamini Ni lazima wawe Ndugu wa damu au hata marafiki tu...
Wanakuja kukupa muongozo
 
Baada ya kujaza fomu mtandaoni, nikalipia Nika download, Sasa hivi vipengele sijavielewa:

7. Wadhamini wa mwombaji: naomba kufahamu Kama wadhamini Ni lazima wawe Ndugu wa damu au hata marafiki tu.

9. Shuhuda kwa mwombaji:
Naomba kufahamu kama huyo shuhuda ni ndugu au Ni mwajiri au Ni hakimu au Ni afisa wa uhamiaji.

Je, siku ya kuwasilisha fomu Ofisi ya uhamiaji napaswa kwenda na shngapi?

Na je napaswa kuwasilisha fomu Ofisini siku ngapi baada ya ku download ( yaani isizidi siku ngapi)?
Kiazi Mbatata aka Zombi
anataka passport ya nini wakati maswali basic tu hawez?
 
Baada ya kujaza fomu mtandaoni, nikalipia Nika download, Sasa hivi vipengele sijavielewa:

7. Wadhamini wa mwombaji: naomba kufahamu Kama wadhamini Ni lazima wawe Ndugu wa damu au hata marafiki tu.

9. Shuhuda kwa mwombaji:
Naomba kufahamu kama huyo shuhuda ni ndugu au Ni mwajiri au Ni hakimu au Ni afisa wa uhamiaji.

Je, siku ya kuwasilisha fomu Ofisi ya uhamiaji napaswa kwenda na shngapi?

Na je napaswa kuwasilisha fomu Ofisini siku ngapi baada ya ku download ( yaani isizidi siku ngapi)?
Victoire pitia hapa....
 
7. Mdhamini anaweza kua mtu yeyote either ndugu au rafiki anayepatikana eneo jirani na ulipo.
8.Hii ni sawa na mdhamini anaweza kua ndugu rafiki au yeyote ulie na ukaribu nae
 
Kua mpole mkuu wanakuja kukujibu saivi wako bize na teuzi za ghafla
 
Baada ya kujaza fomu mtandaoni, nikalipia Nika download, Sasa hivi vipengele sijavielewa:

7. Wadhamini wa mwombaji: naomba kufahamu Kama wadhamini Ni lazima wawe Ndugu wa damu au hata marafiki tu.

9. Shuhuda kwa mwombaji:
Naomba kufahamu kama huyo shuhuda ni ndugu au Ni mwajiri au Ni hakimu au Ni afisa wa uhamiaji.

Je, siku ya kuwasilisha fomu Ofisi ya uhamiaji napaswa kwenda na shngapi?

Na je napaswa kuwasilisha fomu Ofisini siku ngapi baada ya ku download ( yaani isizidi siku ngapi)?
7. Mdhamini mtu yeyote
9. Shuhuda ni wakili au hakimu
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom