passport

  1. al-baajun

    JamiiForums Tanzania Ninaweza kwenda Nairobi bila passport?

    Habari wakuu? Nilikua nauliza ninaweza nikapenda Kenya bila passport?Nina kitambulisho Cha taifa je nikifika boda siwezi pata pass ya mda ya kuingia Kenya? Na je basi zinazoenda Nairobi kutokea Dar ni basi Gani? Natanguliza shukrani
  2. Mparee2

    JamiiForums Tanzania TANAPA & Passport details za Wageni: Hakuna njia mbadala na rafiki ya mgeni kulipa bila kujaza maelezo binafsi?

    Kwenye mfumo wa kufanya malipo TANAPA (kwenye mbuga za wanyama) kumekuwa na maelekezo ya kujaza maelezo yote ya mgeni yaliyopo kwenye passport (Tarehe ya Kuzaliwa, jina kamili na passport number na utaifa) Kutokana na mabadiliko ya tecknolojia, mtu akipata hayo maelezo, anao uwezo wa ku-temper...
  3. New ID l

    JamiiForums Tanzania Je, umewahi kujiuliza kwanini Passport za kusafiria hazitolewi bure nchini?

    Hello guys! Ebu imagine nini kitatokea iwapo passport au hati za kusafiria zitatolewa bure kwa wananchi bila malipo yoyote?!
  4. Lavan Island

    JamiiForums Tanzania Zijue nchi ambazo ukiwa na passport ya Tanzania unaweza kuingia bila viza

    Nchi ambazo Mtanzania Anakwenda bila ya Viza Baada ya Serekali ya Tanzania kuzindua mpango wake mpya wa kuanza kutoa Pasipoti za Kielektroniki, ili kuboresha usalama zaidi katika nyaraka zakusafiria, Pasipoti hizo hutumia chip ambayo huongeza usalama. Soma pia: Visa free countries for...
  5. Lavan Island

    JamiiForums Tanzania Nchi zipi ambazo kwa passport ya Tanzania unaingia bila viza?

    Wana Jf nilisikia taarifa kuwa kuna nchi 68 ambazo ukiwa na passport ya Tanzania unaingia bila viza ila sijapata orodha ni zipi? Mwenye orodha aweke hapa nataka niuze vi asset vyangu vyote niangalie ka nchi kenye afadhali nikaanze maisha mengine,maana nchi inamilikiwa na mtu mmoja tu na genge...
  6. mirindimo

    JamiiForums Tanzania Wiki sasa tunafatilia passport tunaambiwa kuna shida ya mtandao

    Hii nchi ngumu sana, ni sisi tu tusio toa hela ndio tuna suffer hivi au ni wote jameni? Masikini tue tunaoneana huruma basi 😂😂😄😁 yaani hakuna sehemu salama kwa maskini kote ni spana left and right centre and bottom.
  7. sky soldier

    JamiiForums Tanzania Siwezi kuyaona masikio yangu nikijipiga selfie au Passport size, nifanye nini?

    Kuanzia mwezi wa March nimekuja kugundua nikijipiga picha masikio siyaoni kabisa, ni mpaka nigeukie kamera upande wa sikio, kiukweli napata stress. Baadhi ya watu wanasema nmenenepa ila ni mara chache na mimi huwa najiona kawaida tu, kama ni hivyo nawezaje kutatua hilo tatizo la masikio
  8. J

    JamiiForums Tanzania Tundu Lissu apata passport mpya, amshukuru Rais Samia, kurudi Nchini

    Tundu Lissu amepewa passport mpya na Serikali ya Tanzania baada ya ile ya awali kupotea kwa kuibwa kule Ujerumani. Lissu amekabidhiwa passport yake leo na balozi wetu. Lissu amesema Rais Samia anafanya kazi kubwa na nzuri sana hivyo Watanzania wote tumuunge mkono ili tujenge Tanzania mpya...
  9. Mwanamaji

    JamiiForums Tanzania NIDA VS UHAMIAJI: Ukikamilisha taratibu zote, unapata passport baada ya wiki 2. NIDA wao unapata kitambulisho baada ya Mwaka au zaidi

    Habari zenu wakuu. Kwa kadri miaka inavyosogea, ndivyo mahitaji ya huduma za haraka na zenye ufanisi yanaongezeka. "Being Quick, Efficient and Consistent is being Good" Kasi ya maisha ya mwaka 1980 haiwezi kuwa sawa na ile ya 2020. Katika taratibu za kawaida za kazi, kuanzia siku ambayo...
  10. Iamhonest

    JamiiForums Tanzania Msaada wa tarehe za kuzaliwa za wazazi kwenye tovuti ya kuomba passport ya kusafiria

    habari zenu. samahani nahitaji msaada ninafanya maombi ya passport kubwa ya kusafiria lakini nilipofika kwenye page ya kuingiza taarifa za wazazi baba na mama ninapata error inayosema tarehe siyo sahihi na wakati tarehe hizo zipo sahihi naweza kufanya nini maana bila kurekebisha hapo siwezi...
  11. Nyani Ngabu

    JamiiForums Tanzania Passport ya Tundu Lissu iliibwaje akiwa Ujerumani?

    Sijaelewa kabisa! Tundu Lissu kasema kuwa amemuomba Rais Samia amsaidie kupata passport mpya kwa sababu aliyokuwa nayo iliibwa mwezi uliopita huko Ujerumani. Aliyeiiba hiyo passport ni nani? Na iliibwa au yeye aliipoteza na anachanganya kupoteza na kuibwa? Na kama iliibwa, kwa nini hilo liwe...
  12. mirindimo

    JamiiForums Tanzania Uhamiaji kagueni vibali, uraia na passport za wasanii na watu mashuhuri wote

    Nitoe rai kukagua uraia na passport za watu wote mashuhuri na wasanii kwenye list wasikosekane; 1. Petit Man wakuache 2. Wasanii wote wa bolingo 3. Dancers wote 4. Alistote 5. Wamiliki wote wa maduka ya nguo Kinondoni Mtanishukuru baadae lakini mnaweza kuamua kupuuza pia.
  13. CentDeveloper

    JamiiForums Tanzania Travelling Passport

    Habar. Nina swali kuhusu passport ya kisafiria. Niko katika harakati za kuomba scholarships tofauti tofatu. Lakini nimekutana na changamoto ya Kujaza namba ya passport na nakala yake na ni lazima kabla hujasubmiti ombi. Nikaona ni vyema nirudi katika utafutaji wa passport. nimeingia katika...
  14. Z

    JamiiForums Tanzania Kupata Passport haraka kabla ya Januari 2022

    Wadau nahitaji kupata Passport haraka kabla ya Januari 2022, mwenye uzoefu na hili anisaidie. Shukran wakubwa
  15. Sam Gidori

    JamiiForums Tanzania Ghana: Kitambulisho cha Taifa kitawawezesha wananchi kusafiri bila Visa

    Makamu wa Rais wa Ghana ametangaza kutambulika ramsi kwa Kitambulisho cha Taifa cha nchi hiyo kama hati ya kusafiria kuanzia robo ya pili ya mwaka 2022. Hatua hiyo ya Ghana inatokana na kutambuliwa kwake kama mwanachama wa Taasisi ya Kimataifa ya Usafiri wa Anga (ICAO), ambapo Kitambulisho...
  16. ABC ZA 2025

    JamiiForums Tanzania Passport ya Tanzania inaweza kukupeleka nchi 72 bila kulipia Visa. Iko nafasi ya 77 duniani kati ya nchi 195

    Tanzania passport imeongezewa nguvu duniani sasa mmiliki anaweza kudhuru Jumla ya nchi 72 duniani toka nchi 67 mwaka wa Jana bila kulipia " VISA " hakika hakuna kama Rais Samia. Ujio wa Rais Samia Suluhu umevileta karibu karibu kila kitu kuwa rahisi sana kuliko wakati wowote wa Uhai wa Taifa...
  17. beth

    JamiiForums Tanzania Afghanistan: Mamia wajitokeza ofisi ya kutoa passport baada ya Taliban kutangaza kurejesha huduma

    Siku moja baada ya kutangazwa kuwa Hati za Kusafiria (Passport) zitaanza kutolewa, mamia ya wananchi wamejitokeza katika Ofisi hiyo Huduma hiyo ilisitishwa baada ya Taliban kuchukua madaraka mwezi Agosti, hali ambayo ilipelekea wengi waliotaka kuondoka Nchini humo kushindwa Kwa mujibu wa UN...
  18. Diwani

    JamiiForums Tanzania Msaada: Namna ya kupata hati ya kusafiria (passport)

    Habari ya muda huu wa kuu, nina ugeni kidogo na hatua za kufuata kupata hati ya kusafiria. Naomba anayejua anisaidie mimi na wenzangu tusiojua ABC za namna ya kupata passport. NB; daraja lolote. Natanguliza shukrani.
  19. BAK

    JamiiForums Tanzania Kenya passport holders banned in 54 countries

    Summary Henley Passport Index report indicates the number of countries that Kenyans can visit without visa has also dropped from 79 in December, 64 in quarter two of this year to 59. The score measures the number of countries that a person holding Kenya’s passport can visit without having a...
  20. nusuhela

    JamiiForums Tanzania Gharama za hati ya kusafiria (passport) zipoje?

    Habari zenu wakuu Samahani, nilikuwa nataka kujua gharama za kupata hati ya kusafiria (passport) Na endapo taratibu zote zikakamilika, huchukua muda gani mpaka kutoka. Natanguliza shukrani zangu za dhati
Back
Top Bottom