original

  1. masai dada

    JamiiForums Tanzania Iphone 15 original

    Jamani, Ni duka lipi? lenye hii simu mpya original kabisa nalitafuta?
  2. Kun10

    JamiiForums Tanzania Mzani original wa vito na dhahabu ( 0.01g - 500g) kwa Tsh 35000/=

    Mzani original wa vito na dhahabu ( 0.01g - 500g) kwa Tsh 35000/= tu. Piga 0654669370 ukihitaji
  3. Afisa Mteule Drj 2

    JamiiForums Tanzania Msaada Nahitaji Display Original ya Samsung Galaxy A10

    Simu yangu ilitumbukia kwenye maji display ikaharibika niikaweka display nyingine kwa sh 70,000,display hii mpya haina ubora kama ile original iliyokuja na simu na napasuka kama kioo cha dirisha pia inastack ovyo nikitouch.Nauliza kuna anayejua wapi naweza kupata display nzuri na original ya...
  4. sky soldier

    JamiiForums Tanzania Naombeni ushauri kwa PS4: Niwe nacheza games original au nifanye kuichipu?

    Nina ps4 , Version yake ni 9.00, Binafsi kwenye games ni mpenzi wa mpira tu, mfano Fifa. Sasa Je, kibongo bongo A. Nicheze game original ? B. Niichipu niwe naenda kuingizza games kwenye vibanda vya ps ?
  5. sky soldier

    JamiiForums Tanzania Kwanini Wazanzibari wengi wanachukia asili yao ya asili ya Congo na Burundi wanaprefer kuonekana waarabu ilhali waarabu wanawakataa?

    Hivi kwanini wazanzibari wanaprefer kuwa part of waarabu….hivi kweli wakijiangalia kwenye kioo wanajiona ni waarabu? Wanzibar hukataa asili zao za Congo Mashariki, Burundi, Kigoma, n.k. wanaukataa Uafrika na kujiita waarabu wakati hata waarabu wenyewe huwabagua huko uarabuni na hata hapa kwetu...
  6. robbinhood

    JamiiForums Tanzania Flutter Programming: MpesaApp UI (Note: The UI will not be 100% identical to the original).

    Kwa wapenzi wa programing. Twende sawa kwa framework ya flutter. Any comments and suggestions is allowed, Day one Pic 1 Pic 2 Source code:
  7. N

    JamiiForums Tanzania Agiza nami Vioo vya samsung original kutoka China ndani ya siku 14 za kazi

    Habari wana JF, Nimepata chimbo la kupata vioo original vya simu za samsung kutoka China, nakuagizia ndani ya siku 14 za kazi unapokea mzigo wako kwa bei nzuri kabisa. Nicheki whatsapp 0657940974
  8. Mr Why

    JamiiForums Tanzania Phone4Sale Original Gold Iphone 7Plus inauzwa

    Original Gold Iphone 7plus inauzwa Storage 128GB Bei 300,000
  9. Frumence M Kyauke

    JamiiForums Tanzania INAUZWA Raba Original za Kiume

    Raba Original za Kiume zinauzwa. Fuatilia uzi huu mara kwa mara ili kuona bidhaa mpya. 80,000 Tsh Gusa 👇 WHATSAPP
  10. Benjamin10

    JamiiForums Tanzania Naomba code za kuitest simu kama ni original au fake

    Habari za usiku wakuu... Naomba niende kwenye maada moja kwa moja.. Nimekuwa na changamoto ya kufahamu kama simu ni original au ni fake.. hususan kwenye makampuni ya samsung,oppo, iphone na baadhi ya simu.. Maana nasikiaga kuna code za kutest kujua ni org or copy.. naomba nizifahamu kwa...
  11. Crocodiletooth

    JamiiForums Tanzania Ni engine gani naweza funga kwenye Nissan civilian nje ya engine yake? Original

    Naomba kujuzwa ni type gani ya engine inaweza kufit kwenye Nissan civilian. Kwa ku Forge alimradi gari ifanye kazi.
  12. EvilSpirit

    JamiiForums Tanzania Wapi naweza kupata kioo Original cha Samsung A10

    Simu yangu Samsung A10 imekufa kioo nataka kubadilisha sasa nahitaji kujua wapi naweza kupata kioo original maana nasikia kuna feki itakuwa vema nikikipata hapa nilipo sasa mbeya pia nahitaji kujua bei zake pamoja na kubadilisha.Msaada tafadhali wadau
  13. NetMaster

    JamiiForums Tanzania Epuka windows iliyochakachuliwa inayoweza kuwa na virusi au matatizo, piga windows original na kui activate kwa njia salama

    Kuna hizi windows za kudownload kutoka mitandaoni hususan kwenye torrents huwa zimekuwa cracked, pre activated na nyingine zipo modded Ndizo windows ambazo wengi hutumia hapa bongo sababu kuu ni kukwepa gharama ya window original, bei imechangamka inafikia takribani laki 3, hata baadhi ya ofisi...
  14. D

    JamiiForums Tanzania First year kusajiliwa chuoni ni lazima uwe na Cheti original cha form 4 au hata copy yake

    Habar Wana jf, Kwa wenye ufahamu zaidi kuhusu hili je unaweza kusajiliwa chuon Kama una copy ya Chet Cha form four kwa mtu aliyepotelewa na Chet original au haiwezekan mpk Chet chenyewe ndo unasajiliwa nasemmea kwa first year wakat wa kuliport chuon
  15. B

    JamiiForums Tanzania Wanajamvi nahitaji jagi la umeme kuchemshia maji ya lita na nusu

    Nashindwa kujua ni kampuni ipi naweza kupata jagi konki (original), naomba msaada wa mawazo tafadhali. Liwe automatic (maji yakichemka ufikia centigrade mia linajikata lenyewe), ila lisiwe lakukaliza kwenye kitako nataka liwe limeunganika.
  16. The Assassin

    JamiiForums Tanzania Hapa Dar ni maduka gani yanauza office shoes original?

    Kiukweli nimechoka kununua hivi viatu vya Kariakoo unanunua leo wiki ijayo kimeachia pembene unapeleka kwa fundi huku kiatu umenunua 100k+. Naomba kujua maduka ambayo yanauza viatu original, kiatu ambacho nikinunua hata kama ni 400k lakini kinadumu kwa muda flani angalau miezi sita na...
  17. A

    JamiiForums Tanzania INAUZWA Original earphone za iphone zinauzwa

    used from japan 100% origanal deep base and best high quality dont pay before test warranty 1 year retail price 33,000 from 3 peace 27,000 wholesale delivery is free across town area call 0652472486
  18. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Rais Samia akipokea Kombe la Dunia, Ikulu, Dar es Salaam Mei 31, 2022

    ======= Rais Samia akipokea Kombe Ndungu Waalikwa mabibi na mabwana, Jamhuri ya Muungano wa Tanzania , Kazi iendelee, Leo tunafurahi, sana na tunasherehekea kuliona kombe la Dunia, ambalo limepita hapa kwetu kabla ya kwenda Qatar, Pia tunafurahoi kuwaona wageni waliokuja nalo, pia kumuona...
  19. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Wazazi waonesha cheti cha kuzaliwa mtoto wao anaitwa FISTON MAYELE, wakutana na MAYELE original wapiga naye picha

    Familia moja Jijini Mwanza imeonesha jinsi ilivyo na mahaba na mshambuliaji Fiston Mayele wa Klabu ya Yanga, baada ya kumpa jina mtoto wao linaloendana na mchezaji huyo raia wa DR Congo. Kwa ufupi ni kuwa mtoto huyo naye anaitwa Fiston Mayele, siyo kwamba ni jina la utani, HAPANA, ni jina hali...
  20. M

    JamiiForums Tanzania INAUZWA RODE Mic for sale

    p
Back
Top Bottom