robbinhood
JF-Expert Member
- Apr 19, 2020
- 539
- 1,532
Practice tu mkuu[emoji28]safi sana, nikiri tu widgets kwa flutter zinanipiga chenga sana [emoji28] , labda kwakua sichezi nayo mara kwa mara
ila nikipata project, mpaka UI iishe nishagugo sana aisee
Sio mbaya mkuu, hapa tuna share tu ujuzihii ni kwa wote ? wengine tunafahamu html tu kwa kuibia ibia sana