Naomba code za kuitest simu kama ni original au fake

Benjamin10

JF-Expert Member
Dec 31, 2016
389
553
Habari za usiku wakuu...
Naomba niende kwenye maada moja kwa moja..

Nimekuwa na changamoto ya kufahamu kama simu ni original au ni fake.. hususan kwenye makampuni ya samsung,oppo, iphone na baadhi ya simu..

Maana nasikiaga kuna code za kutest kujua ni org or copy.. naomba nizifahamu kwa anayezifaham naomba tushee kidogo..
 
Habari za usiku wakuu...
Naomba niende kwenye maada moja kwa moja..

Nimekua na changamoto ya kufahamu kama simu ni original au ni fake.. hususan kwenye makampuni ya samsung,oppo, iphone na baadhi ya simu..

Maana nasikiaga kuna code za kutest kujua ni org or copy.. naomba nizifahamu kwa anayezifaham naomba tushee kidogo..
Jaribu maelekezo ya Paco anthony for samsung.

And for OPPO jaribu hii *#06#.
 
Kwa Samsung ni nyota,reli sifuri nyota,reli #0# then itakuja vitu kibao ww cha kufanya tach sehemu iliyoandikwa senser then tach kipande furani hiv cha image utakaona kapicha cha mbwa ...hiyo picha ndo utambulisho wa original kwa samsung
Ngoja nitest kwa samsung maana ndo natumia
 
Kwa Samsung ni nyota, reli sifuri nyota, reli #0# then itakuja vitu kibao wewe cha kufanya tach sehemu iliyoandikwa senser then tach kipande furani hiv cha image utakaona kapicha cha mbwa ...hiyo picha ndo utambulisho wa original kwa samsung
Mimi nimejaribu kwenye tablet yangu ya Samsung na imekubali, Nimemuona huyo mbwa
 
Na kicheko kikakutoka mnapenda kuona watu wakifeli huyo hapo ,,, karibu ulingoni s22 ultra , 5 g ram 12 /256 ,,
Screenshot_20230403_010112_HwModuleTest.jpg
 
Habari za usiku wakuu...
Naomba niende kwenye maada moja kwa moja..

Nimekuwa na changamoto ya kufahamu kama simu ni original au ni fake.. hususan kwenye makampuni ya samsung,oppo, iphone na baadhi ya simu..

Maana nasikiaga kuna code za kutest kujua ni org or copy.. naomba nizifahamu kwa anayezifaham naomba tushee kidogo..
Ukitaka kujua kama simu unayotumia ni fake au original ingia kwenye tovuti ya info IMEI utaweza kuweka IMEI namba ya simu yako ukiona IMEI namba yako imekuja simu nyingine tofauti na simu yako jua umepigwa

Hakikisha una test IMEI namba zote mbili zilizopo kwenye simu yako maana ukiweka tu IMEI namba utapata details zote za simu yako kwenye iyo tovuti kuanzia jina la simu , uwezo wake , rangi nk
 
Back
Top Bottom