original

  1. Zekoddo

    JamiiForums Tanzania Nahitaji Fast charger original

    Wakuu,,, Sasa nimechoshwa na haya machaja Uchwara, Simu unachaji masaa masaa 6 bado haijai. Nisaidie Original &Fast charger kwa brand yoyote kikubwa Iwe genuine and fast na alama muhimu kuwa ni Original.. my Maximum budget ni 50,000/=
  2. Holden Homes

    JamiiForums Tanzania Ijue tv ya hisense original na fake

    Tv brand ya hisense ni moja ya TV inayopendwa sana na inafanya vizuri, ila baada ya watu wasio waaminifu wakitaka kutembelea huu upepo na kutaka faida kubwa wameamua kufyatua tv za hisense fake Swali wewe kama mteja utajuaje hii ni TV ya hisense fake au original???? TV original ya hisense...
  3. Adolph Jr

    JamiiForums Tanzania Wachina mitano tena, Natafuta spear Original za pikipiki kutoka machimbo ya wachina nimesikia wametufikia

    Hapo vipi? Ni baada ya kuvumilia kwa muda mrefu kutokana na kuuziwa spare(vipuri) vya pikipiki yangu (TVS) msaada wa kwenda kazini kwangu fake kwa bei ya juu sana, baada ya mwezi kimekufa. Naomba kuulizia tafadhari, enyi wakazi wa dar (mimi nipo mkoani) ni eneo gani nikifika hapo dar es salaam...
  4. Mashamba Makubwa Nalima

    JamiiForums Tanzania Dexter: Original Sin: Season 1 Episode 8 tayari

  5. W

    JamiiForums Tanzania Nitajuaje NVIDIA graphics card ni feki au original

    Ugeni wa mambo bila maarifa umeliza wengi naombeni mnisaidie kupunguza hasara, Nawezaje kukagua graphivs card ya NVIDIA ni feki au original
  6. K

    JamiiForums Tanzania INAUZWA Cheni original Genosos Necklace

    Cheni Original Haipauki | Original Genosos necklace Bidhaa hii ni kutoka Japan, Original Genosos Necklace haipauki kwa gharama ya Elfu hansini tu. Free delivery in Dar es salaam. Mikoani utachangia 5,000/= ya nauli. Piga: +255759448927 Whatsapp: +255620523897
  7. Mad Max

    JamiiForums Tanzania Kuna Tesla Model 3 imefikisha kilometa 500,000 na bado iko na original battery inayosoma Battery Health 85%

    Kuna mwamba ameshare Model 3 yake likiwa na odometer ya miles 316,270 ambazo ni sawa na kilometa zaidi ya laki 5. Gari bado ipo kwenye original battery, na imepungua battery kwa asilimia 15 tu tokea iwe mpya. Kwa izo kilometa, kama angekua na gari la engine, linalomtaka afanye oil change...
  8. E

    JamiiForums Tanzania Nawezaje kupata cheti kingine original cha Form 4?

    Habari, Wanajukwaa mm ni mwanachuo mwaka wa tatu mnamo Tarh 29 Nov lilitok tangazo la ajira migration kwa bahati nimefanikiwa kupeleka maombi na kutokana na tetesi wiki ijayo tunaweza kuitwa kwenye interview ila changamoto yangu kubwa mpk sasa ni kwamba nimepoteza cheti original cha form 4...
  9. G

    JamiiForums Tanzania Kwenu waislam wenye majina ya kiarabu, Haya ndiyo majina yenu original yenye asili ya kiyahudi

    Majina haya ya kiarabu asili yake original ni ya wayahudi yenye lugha ya kihebrania, Kama una majina haya basi tambua kwamba asili ya jina lako ni kwa wayahudi Shlomoh - Suleyman (Sulemani) Mosheh - Musa Amram - Imran Chanokh - Idris Dawid - Dawud Yishmaʿel - Yahya (Yahaya) HaSatan - Shaytan...
  10. Mr. Purpose

    JamiiForums Tanzania Tunauza Ringlight Original Na Zenye Ubora Wa Hali Ya Juu

    Boresha Video na Picha zako kwa kutumia Ringlight zenye Ubora wa hali ya juu. Zinafaa kwa wafanyabiashara na watu binafsi. 1. Saluni za kike 2. Saluni za kiume 3. Watu wa urembo na makeup 4. Wafanyabiashara mtandaoni 6. Watengeneza maudhui mtandaoni (Content Creators) 7. Watu wa YouTube 8...
  11. S

    JamiiForums Tanzania Jipatie vioo vya Samsung na chaja original kwa bei nafuu

    Habari wana Jf Je unateseka na simu yako sababu ya kioo? usikate tamaaa suluhisho limepatikana. Je bado unateseka na chaja yako kuharibika mara kwa mara. Sasa agiza na mi china kifaa original kwa bei nafuu hutojutia. Napatikana Goba-Dar es Salaam, Tanzania Nicheki whatsap no +255 622818217
  12. Edsger wybe Dijkstra

    JamiiForums Tanzania Nimepoteza cheti original, nimebakiwa na nakala zilizothibitishwa na Wanasheria. Je, nitakwama kazini?

    Wakuu, nilipoteza cheti original cha chuo, nna copy tu ambayo iko certified. Nimetuma maombi ya kazi nmb na kcb bank nafasi zilizotangazwa hivi karibuni.je kutokua na cheti og kunaweza kunikwamisha? Certified copies hazitoshii?
  13. eli -DEFIANT- cohen

    JamiiForums Tanzania Jamani ni duka gani ambalo ni maarufu lina hadhi ya kuuza simu original za Samsung? maana vishoka ni wengi

    Refurbished zimekuwa nyingi mtaani na kwa watu wengi ni ngumu kutambua. Tusaidiane duka lenye sifa ya kuuza simu original za samsung. Karibuni;;;;;;;
  14. kikoozi

    JamiiForums Tanzania ANAYE UZA JBL FLIP 6 SPIKER ORIGINAL (USED-IN GOOD CONDITION)

    Hi
  15. R

    JamiiForums Tanzania Wapi naweza napata original boot za Salomon?

    Habari wakuu, ni wapi Tanzania hii naweza kupata viatu / boots za Salomon original, kuna vya mtumba madukani, ni original kabisa lakini shida vinakuwa vimechakaa. Nataka kiatu kipya.
  16. biznes_dealz

    JamiiForums Tanzania INAUZWA SEIKO 5 Original 100% ya Japan imeingia

    New Arrival, Seiko 5 Original ya Japan. Saa ni mpya, original 100% ikiwa na box lake Original. Saa ni Automatic haitumii betri, inatembea muda wote wakati wote Saa haiingii maji hata uzame nayo chini ya bahari Seiko 5 utaikuta inatembea. Saa ni zaidi ya roho ya paka unatumia mpaka unazeeka...
  17. Lycaon pictus

    JamiiForums Tanzania Nyimbo maarufu kuliko original zake

    1. Changes ya Tupac https://youtu.be/eXvBjCO19QY?si=Fwtyece1Ac7kPCkH Origina yake https://youtu.be/GlRQjzltaMQ?si=ZwPSmhk-4Vx8__Ku 2. Forever Young ya Jay Z https://youtu.be/Kzq15y2J4UM?si=JQi1v7F_i7B7gYTF Original yake https://youtu.be/t1TcDHrkQYg?si=bwgTEt655tTKDUq0 3. Toy Soildiers Eminem...
  18. R

    JamiiForums Tanzania Hati ya kiwanja ikipotea au kuungua kuna uwezekano wa kupata nyingine original?

    Habari. Miaka michache iliyopita nilipata mkasa wa kuungua nyumba niliyokuwa naishi na moja ya vitu vilivyoungua ni hati ya kiwanja. Je kuna uwezekano wa kuomba nyingine idara ya ardhi? Kwa sasa nimebaki na photocopy tu. Naomba kama kuna mwenye uelewa au aliyewahi kupatwa na mkasa kama wangu...
  19. ndege JOHN

    JamiiForums Tanzania Chapati mbili na supu original ya pweza kamili

    Pweza ni biashara yenye faida hebu Ona huyo pweza nimemnunua 5000 ukimkata vipande vidogo vinatoka vipande zaidi ya 20 unapata 10000 pweza mmoja tu ukimtengenezea utratibu wa mpango wa mradi wenye maendeleo.
  20. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Ni matumaini yangu kuwa Watanzania wote mmeshajiandaa Kuzipokea hizi CHADEMA mbili zijazo Moja Original na nyingine Academia

    CHADEMA ORIGINAL Freeman Mbowe Godbless Lema Joseph Mbilinyi CHADEMA ACADEMIA Tundu Lissu Peter Msigwa John Heche Ni suala la muda tu na nawaombeni kama hamtojali wekeni Kumbukumbu ya huu Uzi kwani tayati Moto unawaka.
Back
Top Bottom