original

  1. T

    JamiiForums Tanzania Duka gani hapa Dar wanauza pete original

    Kuna mtoto wa mtu amejaa, anataka nimvishe pete, nimeona isiwe tabu ngoja nikate kiu yake. Naomba kujua maduka yanayouza pete original za madini kama almasi, dhahabu, shaba ama tanzanite kwa hapa Dar es Salaam. Bajeti yangu ni kuanzia laki 5 hadi 2M. Lakini pia naomba ushauri wa aina nzuri ya...
  2. H

    JamiiForums Tanzania Amazon Firestick lite, tv box original kwa bei nafuu

    Umechoshwa na Tv box za kichina ambazo zipo slow, ngumu kutumia na hazina features nyingi? Karibu kwenye ulimwengu mpya wa Android kwenye Tv yako kwa kutumia Fire stick. Fire stick ni tv Box ambayo inaweza kubadili tv yoyote ambayo sio smart kuwa smart, pia wale wenye smart tv wanaweza kuitumia...
  3. M

    JamiiForums Tanzania DNA Proves that Black people are only Original Human beings

    For years, Black people have been seen and treated as less humans and in some cases were even called monkeys, but recent DNA study proves that Black people are actually the only ones with 100% human DNA. A Harvard researcher has declared that Africans are the only race that has 100 percent...
  4. osc michael

    JamiiForums Tanzania Unawezaje kupata HDD original?

    Salaam, Nimekuwa na changamoto, kila internal hdd unayonunua inakufa baada ya muda mfupi. Je, lipi linaweza kuwa suluhisho?
  5. Waziri wa Kaskazini

    JamiiForums Tanzania Hii ndiyo gari la mtoto mdogo Diamond Platnumz.. Rolly Royce

    Hii ndiyo gari la mnyama Platnumz, yaani gari itatua Uwanja wa ndege wa Mwl J.Nyerere terminal lll, likiwa ndani ya ndege ya kukodi ya mzingo.. So far, bei ya gari ni sawa budget nzima ya wizara ya Mwakyembe,
  6. pabro11

    JamiiForums Tanzania Wapi nitapata mafuta ya nywele ya Cantu original?

    Heshima kwenu wakuu, nasikia hayo mafuta ni mazuri kwa nywele. Je kuna yeyote aliyewahi yatumia humu? Yanapatikana wapi kwa Dar? Bei yake ikoje?
  7. Maybach 255

    JamiiForums Tanzania Riwaya: Mabastania

    WAHUSIKA, SEHEMU, MAJINA NA MATUKIO YALIYO KWENYE RIWAYA HII NI KAZI YA SANAA NA SIO HALISI. UFANANI WA AINA YOYOTE NA MAMBO HALISI NI NASIBU. ____________ 1 Kwenye Jumamosi tulivu; mawingu meusi ya masika yalitanda, mvua ilitishia kunyesha...na matope kwenye njia nyororo iliyopita kati ya...
  8. C

    JamiiForums Tanzania Suala la Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) na Vipengele kadhaa vya Kisheria

    Nafahamu kwamba watu wengi wameanzisha threads wakijaribu kuelezea suala la CAG Kisheria! Hata hivyo, wengi wao kama sio wote walichofanya ni kurundika vifungu vya kisheria bila kutoa ufafanuzi! Mbaya zaidi, hawatoi ufafanuzi wa matumizi ya neno SHALL kwa mujibu wa sheria zetu! Nimelazimika...
  9. Gudasta

    JamiiForums Tanzania Simu original za Nokia zinapatikana wapi?

    Samahani Wanajamvi, naomba kuuliza ni duka gani Dar linalouza simu Original za Nokia (Smartphone) ?
Back
Top Bottom