onyo

  1. Suley2019

    JamiiForums Tanzania ONYO: Usinunue simu kwa mtu

    Kununua Simu kwa Mtu kumewaweka Watu wengi kwenye matatizo kutokana na Simu husika kuwa na historia ya kuhusika katika matukio ya Uhalifu. Hakikisha Simu unayonunua ni halali kutoka kwa Muuzaji unayeweza kuthibitisha kwa risiti kwamba alikuuzia Simu hiyo. Usishawishike na bei ndogo...
  2. N

    JamiiForums Tanzania Onyo la Shaffih Dauda kwa Haji Manara Mei 13, 2021

    MEI 13, 2021 Anaandika Mchambuzi, SHAFII DAUDA. Binafsi sio muumini sana wa Seasons wala movies za part One mpaka Three, by nature nina uvivu wa kusoma sana au kukaa kwenye mada moja kwa muda mrefu, kutokana na changamoto ya muda By the way niliwapa aina mbili za Haji Manara, nikawaelezea na...
  3. C

    JamiiForums Tanzania Hemed Kivuyo atoa waraka mzito kumpinga Manara:atoa onyo Yanga SC

    Sina la kusema sababu aliyeandika waraka ni jamaa lialia la utopolo hata likitangazaga kwenye tv huwa linalia kabisa utopolo wakiwa wamepigwa na kina kapumbu ***************** Haji Manara Bomu linalosubiri Kutupasukia Anaandika Hemed Kivuyo. Wananchi leo ni Siku yetu, tusherehekee tufurahi...
  4. Q

    JamiiForums Tanzania Mabalozi wapuuza onyo la Balozi Mulamula kutohudhuria kesi ya Mbowe

    Baadhi ya mabalozi nchini waliofika mahakamani leo kufatilia kesi inayomkabiri Mh. Mbowe.
  5. Sam Gidori

    JamiiForums Tanzania Taliban yatoa onyo kali kwa Marekani, Uingereza kutoendelea kukaa Afghanistan baada ya Agosti 31

    Wanagambo wa Taliban wametishia kuyachukulia hatua mataifa ya Marekani na Uingereza ikiwa watashindwa kuondoa wanajeshi wao kufikia Agosti 31 mwaka huu. Kauli ya Taliban inakuja siku moja baada ya Rais Joe Biden kusema kuwa kuna uwezekano wa kuongeza muda wa wanajeshi wao kuendelea kukaa nchini...
  6. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania Mabalozi wa kigeni wanaohudhuria kesi ya Mbowe waonywa

    Hii ndio Taarifa iliyotolewa na Waziri wa Mambo ya nje na Ushirikiano wa Africa Mashariki, Mulamula, ambaye amewataka mabalozi hao kufuata sheria na taratibu za kidiplomasia , hakufafanua taratibu hizo kama zinawakataza mabalozi kuhudhuria kesi mahakamani au la. ======== Waziri wa Mambo ya Nje...
  7. Determinantor

    JamiiForums Tanzania Onyo: CCM msijaribu kufanya vurugu Agosti 5, 2021

    Nawakumbusha kwa upole sana, CCM na wengine, tunazo taarifa zenu kuwa mnataka kupandikiza vijana wa UVCCM mkijifanya ni CHADEMA siku ya kesi ya kishenzi mliyompa FM. Mipango yenu yote tunayao, tunajua vijana mnaowatuma na pesa mnazowapa ili wafanye vurugu then mpate ajenda yenu. I warn you...
  8. Leak

    JamiiForums Tanzania Mwenyekiti wa CCM Mara asema Rais Samia ataongoza nchi hadi mwaka 2030, awaonya wanaompinga

    Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi mkoa wa Mara Samuel Kiboye maarufu kwa jina la Namba tatu amesema Rais Samia Suluhu Hassan ataongoza nchi hadi mwaka 2030 kwani wananchi wa Kanda ya Ziwa wanampenda na wanamkubali. Ameyasema hayo mbele ya Rais Samia ambaye yuko ziarani mkoani mwanza. Mwenyekiti...
  9. mngony

    JamiiForums Tanzania RC Hapi umepewa onyo la Mwisho, omba radhi kwa kutukana Wazee

    Sote tunakumbuka ulivyotukana Wazee wetu tena kwa kiburi majivuno ukifoka kama unawafokea watoto wadogo. Hilo halikuwahi kufanyika na kiongozi mwingine yeyote. Kitendo cha kuhamishiwa Mkoa kupelekwa Mara wakati 'mwenzako' anatumbuliwa unatakiwa kukitafakari na kuona ni onyo la mwisho, unatakiwa...
  10. Baraka Mina

    JamiiForums Tanzania Chongolo: Msisitizo wa chama cha mapinduzi(CCM) katika maeneo muhimu kwenye mpango wa maendeleo na bajeti za Serikali kwa mwaka wa fedha 2021/2022

    Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi Ndg. Daniel Chongolo anafanya mkutano na waandishi wa habari katika ukumbi wa Halmashauri Kuu (NEC) Makao Makuu ya Chama jijini Dodoma. ===== KATIBU MKUU CCM AWAONYA WENYE NIA OVU SUALA LA UMEME, ATOA MAAGIZO KWA WIZARA TATU CHAMA Cha Mapinduzi CCM...
  11. B

    JamiiForums Tanzania Mwalimu Mishael Muze alikataa uteuzi wa Rais ili aendelee na kazi ya Ualimu

    Wengi wamekuwa wakiuliza kama kuna Mtanzania mwenye ujasiri wa kukataa uteuzi wa Rais. Ukweli ni kwamba wapo na imepata kutokea kwa Mwalimu Mishael Muze ambaye alikataa uteuzi wa kuwa mkurugenzi wa maendeleo na kuendelea na kazi yake ya Mkuu wa Shule ya Sekondari Mwenge Mkoani Singida...
  12. J

    JamiiForums Tanzania RPC Muroto atoa onyo kwa BAWACHA, asema wanaotaka kuandamana watakipata wanachokitafuta wakasimulie wenzao huko Geita

    Kamanda wa Polisi mkoa wa Dodoma amesema ofisi yake haina taarifa rasmi za maandamano ya BAWACHA hivyo atakayeandamana atakutana na mkino wa dola. Kamanda Muroto amewataka akina mama hao waliopanga kuandamana waje na computer na madaftari ya kuchukulia notisi ili waandike kile watakachokutana...
  13. LIKUD

    JamiiForums Tanzania ONYO: Ukiweka agano la damu hakikisha unalitimiza, or else...

    Kuna watu wanapo pitia kwenye kipindi fulani kigumu au wanapo kuwa wanahitaji jambo fulani litokee katika maisha yao huwa wanaweka nadhiri ama kujiapiza kwamba endapo watafanikiwa kupita salama katika kipindi hicho kigumu au endapo jambo wanalo litaka litatokea...
  14. J

    JamiiForums Tanzania DC Ole Sabaya atoa onyo kwa taasisi ya United Mission, inayotapeli Wananchi Wilayani Hai

    Mkuu wa wilaya ya Hau mh Ole sabaya amewaonya matapeli wote waliojiingiza wilayani humo kwa lengo la kuwalaghai na kuwadhulumu wananchi wanyonge Ole sabaya amesema hayo wakati aliposikiliza malalamiko ya wanakijiji wa Machame waliotapeliwa na taasisi moja ya kijamii ambayo haijasajiliwa na...
  15. Cannabis

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wanafunzi wa Chuo Kikuu MOI wakumbushwa matumizi sahihi ya choo, waonywa kuachana na tabia ya kutumia barakoa kama 'toilet paper'

    Wanafunzi wa Chuo Kikuu Moi kilichopo nchini Kenya wakumbushwa matumizi sahihi ya choo, ambapo wameonywa kuachana na tabia ya kujisaidia kwenye sakafu za hosteli za chuo hicho na kutumia barakoa kama 'toilet paper'. Onyo hilo limetolewa tarehe 15/02/2021 na uongozi wa Hosteli za Chuo hicho.
  16. Miss Zomboko

    JamiiForums Tanzania Njombe: Shule 28 zapewa taulo za kike. Wasimamizi wapewa onyo kuhusu ubadhilifu

    Mkuu wa Wilaya ya Njombe, Ruth Msafiri ameonya na kuwatahadharisha wasimamizi wa wanafunzi watakaothubutu kuchepusha na kuingiza sokoni taulo za kike zilizokabidhiwa kwa shule 28 za sekondari Mjini Njombe kwa ajili ya matumizi ya wasichana waliopevuka. Msafiri ametoa onyo hilo leo Januari 7...
  17. B

    JamiiForums Tanzania GE2020 Je, ni sahihi kwa Tume ya Uchaguzi kutoa onyo tarehe hizi kwa watendaji kutojishirikisha na masuala ya uchaguzi?

    Toka kampeni imeanza hawakuzungumzia wala kufuatilia wanayo yafanya Mawaziri, Wakuu wa Wilaya na Wakuu wa Mikoa, hawa watendaji wamefanya mengi sana wengine wamejihusisha nakuwaagiza wananchi kutowachagua wapinzani kama Mkuu wa Wilaya ya Hai, Ole Sabaya alifanya kampeni kata hadi kata, alizuia...
  18. G Sam

    JamiiForums Tanzania GE2020 Dar: Jeshi la Polisi lasitisha wito wake kwa Tundu Lissu, lamtaka aendelee na Kampeni zake

    Mambosasa: Polisi tumesitisha kumuita Tundu Lissu, tunamtaka aendelee na Kampeni zake Baada ya mgombea wa urais kwa tiketi ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Tundu Lissu, kukataa kuitikia wito uliotolewa na Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini IGP Simon Sirro, uliotolewa jana ukimtaka...
  19. B

    JamiiForums Tanzania WAZEE WA CHAMA CHA CHADEMA WATOA ONYO KALI KWA SERIKALI YA MAGUFULI NA JESHI

    30 September 2020 WAZEE WA CHAMA CHA CHADEMA WATOA ONYO KALI KWA SERIKALI YA MAGUFULI NA JESHI Huu wa Uchaguzi Mkuu 2020 vyama vimeamua kusimama kidete na kusema basi dhidi ya chama-dola cha CCM Mpya kinachotumia Tume ya Uchaguzi, Wasimamizi wa Uchaguzi na vyombo vingine vya dola kujaribu...
  20. Cannabis

    JamiiForums Tanzania Bernard Membe ataka Msaidizi wake Jerome Luanda aliyetekwa arudishwe bila Mchubuko, vinginevyo watafikishana Mbali, hela za Kampeni zatajwa

    Kupitia ukurasa wake wa Twitter Bernard K. Membe amenena yafuatayo :"Tukio la kutekwa kwa Msaidizi wangu Jerome Luanda jana mara baada ya kutua kwenye kiwanja cha Kimataifa cha JK Nyerere international Airport nitalizungumzia kwa undani Saa 10 kamili leo. Nimewapa wahusika wanaodhani siwajui...
Back
Top Bottom