Wanafunzi wa Chuo Kikuu MOI wakumbushwa matumizi sahihi ya choo, waonywa kuachana na tabia ya kutumia barakoa kama 'toilet paper'

Cannabis

JF-Expert Member
Jan 20, 2014
8,943
25,283
Wanafunzi wa Chuo Kikuu Moi kilichopo nchini Kenya wakumbushwa matumizi sahihi ya choo, ambapo wameonywa kuachana na tabia ya kujisaidia kwenye sakafu za hosteli za chuo hicho na kutumia barakoa kama 'toilet paper'. Onyo hilo limetolewa tarehe 15/02/2021 na uongozi wa Hosteli za Chuo hicho.

2021_02_19 15_47 Office Lens.jpg
 
Wanafunzi wa Chuo Kikuu Moi kilichopo nchini Kenya wakumbushwa matumizi sahihi ya choo, ambapo wameonywa kuachana na tabia ya kujisaidia kwenye sakafu za hosteli za chuo hicho na kutumia barakoa kama 'toilet paper'. Onyo hilo limetolewa tarehe 15/02/2021 na uongozi wa Hosteli za Chuo hicho.

View attachment 1706342
Majamaa primitives hawa, sasa imagine hapo ni chuoni kwa wasomi, huko mashinani kuko aje.
 
Back
Top Bottom