Nahitaji web au app,inayopokea sms online

Blogaboy

Member
Jun 21, 2020
13
9
Habari wanajamvi,.. Nahitaji web au app inayoruhusu nipokee SMS online kwa hapa Tanzania.., kuna registration nataka kubypass verification!

Thanks
 
Verification gani ninaweza kukupa mawazo
 
Okay,

Mfano,..nataka jiunga na Galsport betting na kuwa na acc kama 10 hivi,...,ila namba yangu,nishajiunga NAyo..., nataka virtual number ili niweze confirm maaa code wanatuka humo
 
kuna apps kibao zinatoa namba za bure za US mkuu kwanini usitumie hizo na msg utapokea
 
Habari wanajamvi,.. Nahitaji web au app inayoruhusu nipokee SMS online kwa hapa Tanzania.., kuna registration nataka kubypass verification!

Thanks
Unataka kupata namba nyingi ili ufanye madili? Msitake $$ rahisi vijana. Hakuna hela rahisi. Na ukiipata hela kirahisi, mwisho wake always unakuwa mbovu na mbaya kabisa. Fanye vitu legally tu. Mdogo mdogo.. utafika.
 
Back
Top Bottom