Vyuo vinavyotoa Online Masters degree

MR.NOMA

JF-Expert Member
Feb 1, 2014
338
502
Wana JF habari za Weekend?

Naomba kufaham orodha ya vyuo vya Ulaya, Marekani, Asia etc. vinavyotoa online masters courses hasa kwenye masuala ya social science na kozi zingine za management. Vyuo hivyo viwe vinatambulika na TCU.
 
Afrika vipo hv, Open University of Tanzania na University of South Africa (UNISA)
 
 
Back
Top Bottom