ofisi

  1. J

    JamiiForums Tanzania Maendeleo hayana chama: Jengo la ofisi za CCM mwenge lavunjwa kupisha ujenzi wa stendi ya kisasa ya Daladala

    Jengo la ofisi za CCM pale mwenge ambalo linafanana kwa ukubwa na uzuri na makao makuu ya Chadema pale Ufipa limevunjwa ili kuruhusu ujenzi wa stendi ya kisasa ya Daladala itakayokuwa mbadala wa makumbusho. Stendi hiyo inayojengwa na Suma JKT ujenzi wake unaenda sambamba na ujenzi wa barabara...
  2. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania Balozi wa Uingereza, Sarah Cooke atembelea Makao Makuu ya JamiiForums

    Amekutana na maofisa, wafanyakazi pamoja na Mkurugenzi wao. Amefurahishwa sana na namna JF inavyowahudumia wateja wake. Mungu ibariki JF ====== BALOZI WA UINGEREZA ATEMBELEA MAKAO MAKUU YA JAMIIFORUMS Balozi wa Uingereza, Sarah Cooke leo Machi 06, 2020 ametembelea Makao Makuu ya JamiiForums...
  3. T

    JamiiForums Tanzania Nawezaje kuzuia wafanyakazi kuiba vifaa vya ofisi?

    Wakuu habari za muda huu, Kuna kaofisi nategemea kuanzisha hivi karibuni ambapo nategemea kuajiri vijana nitakaoweza kuwalipa cash kwa mwezi, sasa ninapokwama ni kwamba hiyo ofisi itakuwa na mashine za kazi ambazo hao vijana watakuwa wanatumia kuingia nazo mtaani kufanya mauzo na kisha jioni...
  4. Kurzweil

    JamiiForums Tanzania Radio ya Idhaa ya Kiswahili ya France International kufunga ofisi zake Wiki ijayo. Ushoga na Shirika la TBC vyatajwa kuwa visababishi

    Idhaa ya Kiswahili Ya Radio France International Wiki ijayo itafunga ofisi zake Tanzania na kuhamishia Nairobi Nchini Kenya. Sababu Ni kushindwa kukubaliana Kuhusu mkataba mpya Baina ya RFI Kiswahili na serikali kupitia Shirika la utangazaji TBC baada ya ule wa awali Wa miaka kumi kumalizika...
  5. M

    JamiiForums Tanzania Aliyewahi kuwa Katibu Mkuu Taifa wa CHADEMA, Dkt. Vincent Mashinji ajiunga na CCM

    Kupitia matangazo ya moja kwa moja yanayoendelea ya channel 10, imemuonesha aliyekuwa Katibu Kkuu wa CHADEMA, Dkt. Mashinji akiingia ofisi hizo akiwa akiwa amevalia nguo za CHADEMA tayari kwa kuijiunga na CCM. Anaeleza baada ya kutafakari kwa kina amebaini CHADEMA haina utayari wa kuleta...
  6. B

    JamiiForums Tanzania Matumizi mabaya ya Ofisi na ubadhilifu ndani ya Ngorongoro

    MATUMIZI MABOVU YA OFISI NDANI YA HFADHI YA NGORONGORO Mheshimiw Rais shikamoo. Napenda kukupa pole wewe na serikali yako yote kwa ujumla kwa majukumu mazito ya ujenzi wa Taifa letu. Mwenyezi Mungu aendelee kuwapa nguvu na hekima ili tuweze kufikia malengo tuliyojiwekea kama Taifa Watanzania...
  7. S

    JamiiForums Tanzania Maagizo ya Magufuli kwa Halmashauri ya Kigamboni; "Jengeni ofisi ya CCM". Hivi ni mimi nisiyemuelewa Rais au kuna wengine pia?

    Kuna wakati najaribu kumwelewa Raisi wangu Magufuli ili angalau niendane na kasi yake, lakini karibu kila ninapojaribu kufanya hivyo, ninashindwa kwa 85%. La hivi karibuni ni haya magizo aliyotoa wakati wa uzinduzi wa wilaya ya Kigamboni. Kulingana na taarifa za IPP Magufuli ametoa maelekezo...
  8. U

    JamiiForums Tanzania Kwanini Serikali isiwaambie wachungaji waponyaji wafungue ofisi hospitalini ili kusaidia Serikali matibabu

    Kama nilivyosema hapo juu, Manabii mitume na wachungaji wanaponya Sana wagonjwa Katika makungamano yao, Sasa kwanini serikali isiwape vibali ili wafungue ofisi Katika mahospitali yetu, ili waweze kufanya uponyaji kwakuwa ndo pahala penye uhitaji mkubwa. Hii itasaidia kufikisha huduma kwa...
  9. Bonde la Baraka

    JamiiForums Tanzania Ofisi zimehamishiwa Dodoma pamoja na watumishi ila Mawaziri na Wakuu wa taasisi wapo Dar es Salaam

    Hapa siwashitaki mawaziri na wakuu wa taasisi mbalimbali za serikali kwa Rais Magufuli, maana yeye mwenyewe yupo kote kote. Ukweli ni kwamba Dodoma wapo watumishi na maafisa wa kawaida tu, wakuu zao huenda Dodoma kuchungulia na kufanya kazi zenye ulazima wa kufanyia huko tu. Kila wiki tupo nao...
  10. Deus Jovin

    JamiiForums Tanzania Mafuriko Msimbazi Dar: Mwarobaini watua Ofisi ya Rais

    Usuli Kwa mujibu wa Kanzidata ya Kimataifa kuhusu Majanga Asilia yaliyotokea tangu mwaka 1990, Tanzania inakabiliwa na hatari ya majanga asilia yafuatayo, frikwensi zake zikiwa zimeonyeshwa katika mabano: mafuriko (62.2%), ukame (13.3%), tetemeko la ardhi (11.1%), kimbunga (8.9%), moto wa...
  11. BASIASI

    JamiiForums Tanzania Yanayoendelea hapa Kawe Ofisi za NIDA, Mh. Rais tupe tu mpaka March tupambanie kitambulisho

    Nimewahi kulalamika kuna watu wanatakiwa wajiondoe wenyewe maofisini kama wameshindwakwenda na kasi ya Mh. Rais. Hapa Kawe ofisi za NIDA kumekuwa na udhalimu, rushwa kila aina; watu wanawahi, wengine wanakuja wanapelekwa mbele na walinzi wanaondoka munabaki. Hilo siyo shida; utaratibu wa...
  12. B

    JamiiForums Tanzania Wizi na matumizi mabaya ya ofisi Hifadhi ya Ngorongoro

    Mheshimiwa Rais, Makamu na Waziri Mkuu shikamooni. Poleni na majukumu magumu ya ujenzi wa Taifa letu la Tanzania. Ninawatakia mwaka mpya mwema mkiwa na afya njema. Watanzania wenzangu habari za leo na poleni na majukumu ya kupambana na maisha. Katika kumalizia mwaka naomba leo naomba...
  13. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania Netanyahu aachia mamlaka ofisi za wizara

    Waziri Mkuu wa Israel Benjami Netanyahu ataachia mamlaka ya wizara kadhaa ambazo awali zilikuwa chini yake, huku akiwa anakabiliwa na mashtaka ya ufisadi. Ofisi yake imethibitisha leo kwamba Netanyahu atabaki kuwa waziri mkuu, lakini wizara za afya, maswala ya kijamii, kilimo na...
  14. Suley2019

    JamiiForums Tanzania Mbeya: Jeshi la Polisi lamkamata wakala wa bima ya GTM baada ya kukumta mihuri 56 ya kughushi ya idara za serikali na ofisi binafsi

    Jeshi la Polisi Mkoa wa Mbeya linamshikilia ABRAHAM OBEDI [55] wakala wa bima ya GTM na Mkazi wa Isanga Jijini Mbeya akiwa na mihuri hamsini na sita [56] ya idara mbalimbali za serikali na ofisi binafsi ambayo imeghushiwa na kuhifadhiwa katika ofisi yake ya Stationaries. Mtuhumiwa alikamatwa...
  15. Bonde la Baraka

    JamiiForums Tanzania Kwa hili la wananchi kufurika ofisi za NIDA ili kuokoa line zao zisifungwe linaonyesha kuwa ufahamu wa wananchi bado ni duni

    Habari ndugu wananchi! Mafuriko ya wananchi kwenye ofisi za NIDA hasa kipindi hiki kuelekea tarehe za kufungwa line ambazo hazijasajiliwa kwa alama za vidole linatupa ukakasi juu ya ufahamu na uelewa wa wananchi. Kitambulisho cha taifa si kwa ajili ya kusajilia line, suala la kitambulisho cha...
  16. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania Dr Mashinji ambaye ni Katibu Mkuu mstaafu wa CHADEMA amkabidhi ofisi Katibu Mkuu mpya John Mnyika

    Huu ni utaratibu wa kawaida kwa chama cha siasa kikubwa na kilichokomaa kama Chadema Mungu ibariki Chadema
  17. S

    JamiiForums Tanzania Majengo ya ofisi za mizani ya kupimia uzito wa magari(Weigh Bridge), yawe ya rangi moja nchi nzima na ikiwezekana hata ramani ya majengo iwe ni moja

    Kila naposafiri kutoka mkoa mmoja kwenda mkoa mwingine kwa njia ya barabara, huwa nashangazwa kuona majengo ya ofisi katika vituo vya kupimia uzito wa magari (weigh bridge) hapa nchini yakitofautiana kwa rangi na hata style ya ujenzi ingawa yote yako chini ya serikali moja na yanafanya kazi ile...
  18. J

    JamiiForums Tanzania Bakhresa alijenga ofisi ya CCM tawi la Masaki RC Makonda anajenga ofisi za wilaya ya Kinondoni, CCM haikumbatii umaskini

    Kiukweli ukiziangalia ofisi za CCM tawi la Masaki halafu ukayapitia makao makuu ya chama kikuu cha upinzani pale Ufipa lazima utajifunza kitu. Ofisi za CCM masaki zimejengwa na billionea Bakhresa. Najiuliza tu kuna wakati bilionea Sabodo alitangaza kuwajengea Chadema jengo la makao yao...
  19. Jidu La Mabambasi

    JamiiForums Tanzania Waziri Mkuchika: Ukihisi umeonewa kwa kuwekwa ndani bila makosa fungua mashtaka

    Mzee George Huruma , Waziri wa Nchi , Ofisi ya Rais inayoshughulikia Uawala Bora kwa kweli umetufungua macho. Nimeona hii clip mahali. Kuna figisu figisu nyingi za kuchomeana na kubambikiwa kesi zinazoendelea nchini. Kuna maRC, maDC wanaona raha kumweka mtu ndani ili tu kujimwambafy. Kumbe...
  20. pantheraleo

    JamiiForums Tanzania Makonda awapa Ofisi CHADEMA. Awataka walipie pango la ofisi ya Makao Makuu kwani mwenye nyumba analalamika

    Habari wakuu, Ofisi ambayo CHADEMA Makao Makuu wamezawaidiwa Leo Mkuu wa Mkoa wa Dar Es Salaam, amewagawia nyumba ambayo ni Ofisi ya CCM Wilaya ya Kinondoni. Amesema ameamua kuwagawia CHADEMA kwa sababu Makao Makuu ya CHADEMA Wamepanga na hawalipi Kodi hivyo, Mwenye nyumba kila siku anashinda...
Back
Top Bottom