Kiboko ya Jiwe
JF-Expert Member
- Apr 7, 2020
- 12,702
- 36,124
Kuna mbaba kazini kwetu dereva kastaafu mwezi June. Cha ajabu bado anaendelea kuja kazini. Kwakuwa kuna uhitaji wa dereva basi ofisi haiwezi kumfukuza. Nimemchana leo kuwa akubali matokeo atulie home asubiri stahiki zake.
Watumishi wa umma tujipange, huyu mzee amestaafu hajajenga nyumba, kumbe hata documents zake muhimu alikuwa anazitunza hapa kazini kimyakimya. Juzi ndipo tuligundua, ningeziona mapema ningezificha ahangaike kwanza mpaka alie ndipo ningempa.
Mtumishi wa serikali unaishi nyumba ya kusitiriwa. Mtu kajenga nyumba anakuambia nilindie nyumba yangu!!
Huyu mzee ukimwambia Jpili nakutembelea lazima akupe udhuru.