ofisi

  1. matunduizi

    JamiiForums Tanzania Wakuu katika ofisi kama hii tunatumia mbinu gani kutoboa

    Mwanzoni nilikuwa naona napambana na watafutaji wenzagu hapa. Mpambano ulikuwa mkali maana inafika kipindi hupewi taarifa juu ya jambo ulilotakiwa kutekeleza alafu Baadae Boss anapigiwa kuwa jamaa kakukomea kufanya ulichoagiza. Mnakubaliana jambo ukianza kutekeleza tu, jamaa wanaibuka kusema...
  2. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania Hivi ni lazima kualika Ofisi ya Msajili wa Vyama vya Siasa kwenye mikutano yao?

    Nimemuona Sisty Nyahozya kwenye Mkutano Mkuu wa CHADEMA, lakini pia nimemuona kwenye Mkutano Mkuu wa ACT WAZALENDO , huku nimemuona akipewa na Airtime ya kuongea na Wajumbe . Kiukweli nimekwazika sana na uwepo wa mtu huyu kwenye mikutano ya vyama hivi , na wala sina kumbukumbu kama amewahi...
  3. Duduvwili

    JamiiForums Tanzania Makonda akabidhi ofisi kwa RC Kunenge, adai ofisi hiyo ina majungu mengi

    Wakuu Shalom naona mubashara hapa RC Matata Bwana Makonda akidai kua anafurahia sana kwenda kumtunza Mwanae na kwamba hajapoteza lolote na amedai70% ya wananchi wa Dar ni wambea uzi tayari ntazidi kuwajuza. ======= NISAMEHENI NILIPOENDA KINYUME NA MAPENZI YENU. MAADAMU YESU NINAYE, MUSIWE NA...
  4. J

    JamiiForums Tanzania GE2020 NEC: Ni marufuku Wasimamizi wa Uchaguzi kufunga ofisi siku za kurudisha fomu na siku za uteuzi

    Mwenyekiti wa Tume ya Uchaguzi amesema ni marufuku kwa Wasimamizi na Maafisa Uchaguzi kufunga ofisi muda wa kazi wakati wa kuchukua na kurejesha fomu kadhalika siku ya uteuzi wa wagombea. Mwenyekiti wa NEC amesisitiza kuwa ni kinyume cha Sheria wasimamizi kufunga ofisi muda wa kuhudumia...
  5. iparamasa

    JamiiForums Tanzania Nani aligharamia ukarabati wa kifahari wa ofisi ya Mkuu wa mkoa DSM?

    Picha zimekuwa zikisambaa kwenye mitandao kuonyesha ufahari wa hali ya juu wa ofisi ya Mkuu wa mkoa wa dar es salaam. Ofisi hiyo imekuwa tofauti kabisa na ile ya Mkuu wa mkoa aliyepita bwana Sadick, ofisi ya Makonda ina kompyuta kadhaa za apple,mapambo mengi ya kila aina yanayoashiria ufahari...
  6. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Uwanja wa Ndege Dar: Mapokezi ya Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA Tundu Lissu - Julai 27, 2020

    Salaam Wakuu, MAKAMU Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Tanzania Bara Tundu Lissu anatarajiwa kuwasili nchini leo saa saba na dakika ishirini saa za afrika Mashariki. Lissu amekaa nje ya nchi miaka mitatu sasa baada ya kuondoka kwa shambulio la risasi lililotokea mjini...
  7. dvj nasmiletz

    JamiiForums Tanzania Natafuta jina zuri kwa ajili ya ofisi yangu ya chakula

    Vyakula vinavopatikana ni chips.soda,juisi,mihogo rost, ukwaju, bites mbalimbali, kuku, pweza.. msaada wenu wakuu jiwe liwe simpo linalojumuisha vitu tajwa hapo mfano.. masapta sapta madikodiko
  8. mdudu

    JamiiForums Tanzania Spika Ndugai kumuomba Rais Magufuli ajenge Ofisi za TAKUKURU Kongwa ni sahihi?

    Ndugu wana bodi Leo kwenye uzinduzi wa Ofisi mpya za TAKUKURU Chamwino mkoani Dodoma, Sipika Ndugai amemwambia Raisi Magufuli kuwa Wilayani kwake hawana Ofisi za Takukuru . Kitu cha kushangaza ni kwamba ,Bajeti ya Bunge imepitishwa takribani mwezi mmoja sasa na yeye alikuwa ndiye msimamizi wa...
  9. J

    JamiiForums Tanzania Paul Makonda kukabidhi Ofisi kwa Mkuu mpya wa Mkoa wa Dar es Salaam, Aboubakar Kunenge

    Ndivyo ilivyo. Mkuu wa mkoa mstaafu wa DSM Paul Makonda atafanya makabidhiano rasmi na mrithi wake Aboubakar Kunenge katika sherehe fupi itakoyohudhuriwa na watumishi wote. Tumtakie kila la kheri anayeondoka na anayeingia. Maendeleo hayana vyama!
  10. P

    JamiiForums Tanzania Vibanda vilivyowekwa pembezoni mwa barabara ya Morogoro jirani na kituo cha Polisi Urafiki, mbele ya ofisi za Shabiby Line, vitakuja kusababisha ajali

    Ukiwa hapa urafiki karibu na kituo cha Polisi, mbele ya ofisi za mabasi ya SHABIBY line, Kuna vibanda vimepangwa barabarani na wafanyabiashara, Hali inayopelekea sisi madereva kukosa njia ya kupita kwa usalama na kunusurika Mara kadhaa kuvigonga vikiwa na wafanyabiashara ndani. Mwanzo sisi...
  11. G Sam

    JamiiForums Tanzania Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Njombe iko wazi, Ole Sendeka arudi Simanjiro kuwania ubunge

    Naona Ole Sendeka huyooo Simanjiro. Kesho naona kuna uteuzi tena yani tutaapisha mpaka tuchoke. Hakuna kuridhika wala nini kudadadadeki. Vyeo vyenyewe unatumbuliwa unatoka patupu kama kufanya kazi ya upupu.
  12. Suley2019

    JamiiForums Tanzania GE2020 Mtangazaji Jacob Tesha atinga Ofisi za CCM Wilaya ya Moshi kuchukua fomu za kuwania ubunge Jimbo la Moshi mjini

    Mgombea Jacob Tesha akipokea fomu za kugombea ubunge kutoka kwa Kaimu Katibu wa CCM, Wilaya ya Moshi Ndugu Nada Orry. Mtangazaji na Mwandishi wa Habari nguli nchini Ndugu Jacob Tesha leo ametinga Ofisi za CCM Wilaya ya Moshi kuchukua fomu za kuwania ubunge Jimbo la Moshi mjini. Mgombea...
  13. J

    JamiiForums Tanzania GE2020 Ofisi za CCM wilaya ya Kinondoni watu wamepanga foleni ndefu wakisubiri kuchukua fomu

    Kumekucha tena. Niko hapa Kinondoni Mkwajuni aisee watu wameamua maana siyo kwa umati huu. Naambiwa watia nia wamefika hapa tangu saa 10 Alfajili kuwahi nafasi ili ofisi zikifunguliwa wawe wa mwanzo. Ngoja nijaribu kupiga kapicha niwatupie hapa. Maendeleo hayana vyama!
  14. Wakulonga

    JamiiForums Tanzania Kuvaa barakoa kwenye Ofisi za Serikali lazima?

    Habari Wanajamvi, Ndugu zangu naomba kuuliza hivi kuvaa barakoa kwenye ofisi za serikali ni lazima? Maana jana mke wangu alimpeleka mtoto clinic walikataaa kumhudumia mtoto kisa mama mtu hakuvaa barokoa Sasa hawa watu Hawaendi kinyume na Mh. Rais maana Mh Rais ameshasema kuvaa barakoa isiwe...
  15. Victor Mlaki

    JamiiForums Tanzania Baadhi ya Wafanyakazi kwenye ofisi za TRA Kibo (Tegeta Branch) wana lugha chafu sana

    Jana nilikwenda kulipa kodi za biashara za Wazazi wangu ili kupata clearance na leseni kwenye ofisi niliyoitaja ila nilichokutana nacho kilinifedhehesha sana. Niweke wazi kuwa ofisi hiyo ina wahudumu wazuri sana na wanaosali wateja ila huyu Dada niliyekutana naye alinikera sana kwa lugha yake...
  16. J

    JamiiForums Tanzania RC Chalamila avunja mkataba wa Serikali na JWTZ wa ujenzi wa ofisi za halmashauri za Busokelo

    Mkuu wa mkoa wa Mbeya Albert Chalamila amevunja mkataba wa ujenzi wa jengo la halmashauri ya Busokelo mkoani Mbeya kati ya serikali na kampuni ya JWTZ Mzinga. Chalamila amesema ujenzi huo ulioanza mwaka 2018 umekuwa ukisuasua hivyo pamoja na kwamba wajenzi hao ni chombo cha dola hawezi...
  17. Mao Tanzania

    JamiiForums Tanzania Pongezi Rais Magufuli kuboresha Utumishi wa Umma, Watia nia kuachia ofisi: Mawaziri Igeni

    Wasalamu wana Jukwaa! Nianze kwanza kwa kumshukuru Mwenyezi Mungu kwa Rehma zake na kutuvusha katika janga zito. Sasa nijielekeze moja kwa moja kwenye hoja yangu. Hoja inahusu Moyo wa dhati wa Mh. Rais kuboresha Utumishi wa Umma kwa kuhimiza kutokuwa na TAMAA YA VYEO KWA WATUMISHI WA UMMA...
  18. Mzukulu

    JamiiForums Tanzania Wewe Kada Mwandamizi wa hapo CCM Ofisi Ndogo Lumumba uliyehoji kwanini simkubali Hussein Mwinyi haya ni Majibu yangu Kwako

    Kwanza nimefurahi kujua kumbe nawe ni mwana JamiiForums Mwandamizi na mkubwa kabisa lakini pia kumbe ni Mtu ambaye unapenda sana Kufuatilia Mada (Threads) zangu hapa hasa za Kisiasa. Sitaki Kukutaja Jina ila nashukuru tu ya kwamba Mtu ambaye umemuuliza Asubuhi ya Leo kwamba kwani Mzukulu...
  19. F

    JamiiForums Tanzania Steven Nyerere aibua kiroroja: Atinga ofisi za CCM kuchukua fomu ya Ubunge. Hakujua muda bado ila alipaswa kutangaza nia tu?

    Kuna video inatembea ikomuonesha Steve Nyerere akijinadi kufika ofisi ile kuchukua fomu ya Ubunge. Hivi hakumuelewa Dkt. Bashiru aliposema ni kuulizia tu utaratibu wa kugombea na kutangaza nia? Fomu zitatolewa kuanzia tarehe 14 hadi 17 July kupitia CCM.
  20. Miss Zomboko

    JamiiForums Tanzania Maofisa wa UN wasimamishwa kazi kwa kufanya ngono kwenye gari la ofisi

    Umoja wa Mataifa (UN) umewapeleka likizo bila malipo wafanyakazi wake wawili ambao wanakabiliwa na kashfa ya kufanya vitendo vya ngono katika gari ya kazini nchini Israel. Maafisa hao walipigwa picha ya video katika gari ambayo ilikuwa ina nembo ya UN- katika mji wa Tel Aviv katika mtaa wa...
Back
Top Bottom