ofisi

  1. B

    JamiiForums Tanzania Ubadhirifu na matumizi mabaya ya ofisi ya Hifadhi ya Ngorongoro

    Mheshimiwa Rais shikamoo, Awali ya yote nikupongeze sana kwa kazi nzuri unayoifanya ya kulijenge Taifa letu. Hongera sana na Mwenyezi Mungu aendelee kukupa nguvu na ujasiri kulifikisha taifa hili kwenye nchi ya Kaanan. Pamoja na juhudi kubwa unayoifanya ila bado kuna Watanzania wachache ambao...
  2. W

    JamiiForums Tanzania Ofisi za Halmashauri ya Wilaya ya Kisarawe nazo zingehamia kijijini

    Katika kutekeleza agizo la Mheshimiwa Rais wetu la kusogeza huduma karibu na Wananchi, mimi nashauri Halmashauri ya Kisarawe nayo ihamie kijijini maana ipo mbali sana na vijiji inavyovihudumia. Ofisi za halmashauri hii zingetumika kuunda Halmashauri mpya ya Pugu au Chanika iwe chini ya Jiji la...
  3. S

    JamiiForums Tanzania Hivi kuna ubalozi hata mmoja umeanza kujenga ofisi za ubalozi Dodoma?

    Tangu serikali itangaze kuhamia Dodoma na baadae kuwagawaia bure viwanja mabozi wanaowakilisha nchi zao hapa nchini,kuna nchi hata moja imeonyesha ni ya kujenga ubalozi kue mkoani Dodoma? Ni kweli kila nchi ina taratibu zake za kutekeleza jambo kama hili, ila kwa muda wote huu, nilitarajia...
  4. Jmwasele

    JamiiForums Tanzania Je, Mfanyakazi akiumwa mwenzi mzima mshahara wake utakuwepo pale pale au inakuaje?

    Habari zenu wakuu. Nilikuwa nauliza kama mfanyakazi wa tanesco akiwa anaumwa mwezi mzima kiasi cha kushindwa kufanya kazi na huku akiwa na ruhusa ya ofisi, je mshahara wake utakuwepo pale pale au inakuaje?
Back
Top Bottom