Hivi ni kweli ofisi za NIDA zimefungwa?

Deceiver

JF-Expert Member
Apr 19, 2018
9,449
16,950
Leo nilikwenda ofisi za NIDA Pwani pale Kibaha. Ili uingie NIDA inabidi kuanzia uhamiaji. Sasa ile nimefika uhamiaji wakaniambia NIDA hawafanyi kazi kisa KORONA. hebu wadau huko mliko NIDA wamefunga ofisi??
 
Ofisi hazifanyi kazi kutokana na janga la Corona, niliona hili tangazo kwenye moja ya halmashauri
 
Leo nilikwenda ofisi za NIDA Pwani pale Kibaha. Ili uingie NIDA inabidi kuanzia uhamiaji. Sasa ile nimefika uhamiaji wakaniambia NIDA hawafanyi kazi kisa KORONA. hebu wadau huko mliko NIDA wamefunga ofisi??
Waaache ujinga,wamenipa namba toka feb kitambulisho hawajanipa
 
Leo nilikwenda ofisi za NIDA Pwani pale Kibaha. Ili uingie NIDA inabidi kuanzia uhamiaji.

Sasa ile nimefika uhamiaji wakaniambia NIDA hawafanyi kazi kisa KORONA. hebu wadau huko mliko NIDA wamefunga ofisi??
Zile mashine zilikuwa zinatumiwa kwenye uboreshaji Wa tume ya kanda ya ziwa ya kura
 
Wakuu nilienda kujisajili nida toka mwezi wa 12 mwaka jana mpaka sasa sijapata hzo namba licha ya kuwafata mara kadhaa naambiwa bado,nifanyeje nipate namba hzo??..
 
Wakuu nilienda kujisajili nida toka mwezi wa 12 mwaka jana mpaka sasa sijapata hzo namba licha ya kuwafata mara kadhaa naambiwa bado, nifanyeje nipate namba hzo??..
Subiri Corona iishe... Utapata number
 
Wakuu nilienda kujisajili nida toka mwezi wa 12 mwaka jana mpaka sasa sijapata hzo namba licha ya kuwafata mara kadhaa naambiwa bado,nifanyeje nipate namba hzo??..
Hivi wananchi wakichanga pesa wanaweza kuanzisha NIDA yao? Hii ya serikali naona imeshindwa kazi kabisa
 
Leo nilikwenda ofisi za NIDA Pwani pale Kibaha. Ili uingie NIDA inabidi kuanzia uhamiaji. Sasa ile nimefika uhamiaji wakaniambia NIDA hawafanyi kazi kisa KORONA. hebu wadau huko mliko NIDA wamefunga ofisi??
Huku Moshi mjini watoto wameenda wiki iliyopita wakarudishwa na kuambiwa ofisi wamefunga. Sasa siju Kama wahusika wakuu wanajua?
 
Back
Top Bottom