kasulavenance
JF-Expert Member
- Jan 23, 2020
- 759
- 905
Ofisi ya Msajiri wa NGOs Makao makuu Dodoma kufuatana na Janga la Corona na vilevile kurahisisha kupatikana kwa huduma zao kwa urahisi wameanzisha mfumo wa kwa kusajiri NGOS kwa mtandao yaani E-REGISTRATION.
Unatakiwa utume documents zako zote kwa mtandao na kama kutakuwa marekebusho yatafanyika kupitia mfumo wao.Kitu cha ajabu na kusikitisha ni kwamba email address waliyotoa kwa mawasiliano hazifanyi kazi, simu hazipokelewi na hazijibiwi.
Mawasiliano yao yote waliyoweka kwenye Tovuti yao ya WWW.NIS-JAMII.GO.TZ hayajibiwi, simu hazipokelewi na email zote hazifanyi kazi. Hii ni Aibu au mnataka mpaka Mkuu wa Nchi mpaka na hili awakumbushe!Fanyeni kazi zenu