ofisi

  1. beth

    JamiiForums Tanzania Wezi wavunja na kuiba laptop na sukari kilo 25 Ofisi za Mahakama ya Wilaya Njombe

    Jeshi la Polisi Mkoa wa Njombe linawashikilia watu wawili kwa tuhuma za wizi baada ya kuvunja Mahakama ya Wilaya ya Njombe na kuiba vitu mbalimbali vya ofisi hiyo ikiwemo Laptop tatu (3) na Sukari kiasi cha Kg 25, waliokamatwa yupo aliyeiba na mwingine aliyeenda kuuziwa Laptop hizo. Taarifa...
  2. Influenza

    JamiiForums Tanzania Arusha: Watu watatu, wakiwemo wawili wafuasi wa CHADEMA wamekamatwa wakihusishwa na Uchomaji wa Ofisi za CHADEMA

    Polisi Mkoa wa Arusha limewakamata watatu ambapo wawili wakiwa dereva na ofisa uhamasishaji wote wa CHADEMA wanaotuhumiwa kuhusika na tukio la kuchoma moto Ofisi za Chadema Arusha 14 Agosti 2020.
  3. B

    JamiiForums Tanzania GE2020 Wagombea Ubunge wa CHADEMA walioenguliwa wapo zaidi ya wiki moja Dodoma Ofisi za Tume ya Uchaguzi

    1 September 2020 Dodoma, Tanzania Bila Uwoga SUGU ailipua TUME ya UCHAGUZI, Amtaja Katibu wa CCM, - "Amani ya nchi Ipo mikinoni Mwao" Wabunge Wa CHADEMA Walioenguliwa na Wasimamizi wa Uchaguzi Katika Majimbo Mbalimbali Wamekutana Na Waandishi Wa habari jijini Dodoma Kuiomba Tume Ya Uchaguzi...
  4. MAHANJU

    JamiiForums Tanzania GE2020 Mabomu ya machozi yarindima Iramba Magharibi

    Mabomu ya machozi yanarindima wakati huu jimbo La Iramba Magharibi mkoani Singida ambapo Mgombea ubunge jimbo hilo kupitia CHADEMA Bi Jesca Kishoa inasemekana amekamatwa na kufungiwa ofisi za msimamizi wa uchaguzi. Chanzo cha mabomu hayo kinadaiwa kuwa ni vurugu zilizotokea baada ya kutokea...
  5. BAVICHA Taifa

    JamiiForums Tanzania GE2020 Tundu Lissu awawekea pingamizi wagombea wawili wa nafasi ya Urais wa Tanzania. John Magufuli (CCM) na Prof. Ibrahim Lipumba (CUF)

    Taarifa kwa Vyombo vya Habari na Umma Mgombea wa Kiti cha Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa tiketi ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) Mhe. Tundu Lissu, akiwa pamoja na Mgombea wa Kiti cha Makamu wa Rais, Mhe. Salum Mwalim Juma Mwalim, muda huu wanaelekea Ofisi za Tume ya...
  6. Madish Installers

    JamiiForums Tanzania Msaada: Naomba kujuzwa zilipo Ofisi za TAKUKURU

    Habari wanajamii, Msaada mwenye kujua Ofisi za TAKUKURU ama namba ya simu kwa Dar, muhitaji anaishi mbezi ya kimara hivyo kama zipo za karibu na yeye itakuwa vizuri zaidi! Kwa niaba yake natanguliza shukrani!
  7. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania GE2020 Lazaro Nyalandu atumia usafiri wa bodaboda kuchukua fomu ofisi ya Mkurugenzi

    Ametumia usafiri huo wa umma ili kwenda sawa na wapiga kura. Huyu hapa
  8. S

    JamiiForums Tanzania Ofisi ya CHADEMA Mbeya yachomwa moto usiku wa kuamkia leo

    Habari hii ni kwa mujibu wa tweet ya kiongozi wa CHADEMA, Parick Ole Sosopi aliyoi-post dakika chache zilizopita asubuhi ya hii.
  9. B

    JamiiForums Tanzania GE2020 Vurugu zatawala ofisi za CCM Dodoma baada ya walioshinda kura za maoni Udiwani kukatwa

    18 Aug 2020 Dodoma, Tanzania WanaCCM waandamana kupinga maamuzi Vurugu zinaendelea leo 18 agosti 2020 katika ofisi za CCM Wilaya ya Dodoma mjini baada ya kupokea majina ya wagombea udiwani ambao wamekatwa licha ya kuongoza. Jana halmashauri ya CCM mkoa wa Dodoma walirudisha majina ya...
  10. R

    JamiiForums Tanzania Ofisi za TAKUKURU wilaya ya Kinondoni ziko sehemu gani?

    Poleni na majukumu wakuu. Tafadhali naomba kujua sehemu ambayo TAKUKURU wilaya ya Kinondoni Ina ofisi zake kwani ningependa kuzitembelea wanisaidie matatizo yangu.
  11. Leslie Mbena

    JamiiForums Tanzania Vurugu za Hai, kuchomwa moto ofisi za CHADEMA Arusha na uasi uliobalehe na kukomaa ndani ya CHADEMA

    VURUGU ZA HAI, KUCHOMWA MOTO OFISI ZA CHADEMA ARUSHA NA UASI ULIOBALEHE NA KUKOMAA NDANI YA CHADEMA Leo 12:15hrs 15/08/2020 Mwaka 2015 Lissu alisoma mashtaka ya kumfukuza CHADEMA aliyekuwa Naibu Katibu Mkuu, ndugu Zitto, mashtaka hayo yalikuwa ndio hitimisho la shutuma za muda mrefu toka 2012...
  12. funaku

    JamiiForums Tanzania KUMBUKUMBU: Ofisi za CCM Kengeja zilichomwa moto na Nyumba za wanaCCM kuwekwa X

    Cha Mapinduzi (CCM) kimelaani vikali kitendo cha kuwekwa alama ya X nyumba kadhaa za wafuasi wake Kisiwani Pemba hivi karibuni. Aidha, kimesikitishwa na kulaani vikali kitendo cha kuchoma moto Tawi la CCM la Kengeja, kilichofanywa na watu wasiojulikana usiku wa kumkia leo. Hayo yamesema na...
  13. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania CHADEMA Mbeya yaandaa usafiri wa Mabasi kwenda Dodoma kumsindikiza Tundu Lissu kurejesha fomu NEC

    Taarifa zinadokeza kwamba hii ndio sababu halisi ya Mamluki wa ccm ambao ni polisi Mkoani Mbeya kumkamata Mbunge wa Mbeya Mjini Mh Joseph Mbilinyi mithili ya Jambazi Sugu na kumzuia kuchukua fomu
  14. S

    JamiiForums Tanzania Baada ya Ofisi za CHADEMA kuchomwa moto, tusubiri kuona kama media za nchi hii zitatangaza tukio hili

    Kwa tukio kama hili,natarajia media za Tanzania ziwe zimeripoti tukio hili kama breaking news, ila mpaka sasa sijui kama kuna media imefanya hivi; hata hivyo, naomba tuendelee kufuatilia coverage ya hili tukio kwa media za hapa nchini. Media za nje bila shaka zitaripoti, ila za hapa ndani...
  15. Libya

    JamiiForums Tanzania Ofisi za CHADEMA Kanda ya Kaskazini zimechomwa moto usiku wa kuamkia leo ikiwa katika maandalizi ya kumpokea Tundu Lissu

    #Sasa basi === Taarifa ya awali inasema Watu ambao hawajajulikana, usiku wa kuamkia leo wamevamia na kumwagia petroli kisha kuchoma moto Ofisi za CHADEMA Kaskazini na ofisi za Mkoa na Wilaya Uchunguzi wa tukio hilo bado unaendelea kubaini wahusika na madhara yaliyojitokeza ZAIDI: Ofisi za...
  16. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania GE2020 Ushauri: Ili kuepuka hujuma Fomu zote za wagombea ubunge na udiwani wa CHADEMA zipitie ofisi za kanda kuhakikiwa

    Huu ni ushauri ninaoupeleka kwenye ofisi ya Katibu Mkuu wa CHADEMA, Mh John Mnyika kwamba wagombea watakapozichukua fomu hizo kutoka kwenye ofisi za Tume ama kwa Wakurugenzi baada ya kuzijaza basi ni vema zikahakikiwa na ofisi kubwa kabisa za kanda ili kuondoa uwezekano wowote wa kukataliwa na...
  17. Influenza

    JamiiForums Tanzania GE2020 SPECIAL THREAD: Taarifa za Kampeni na Sera za Mgombea Urais kupitia CHAUMMA, Hashim Rungwe Sipunda

    SEPTEMBA 5: CHAUMA KUFUNGUA RASMI KAMPENI MANZESE, DAR Mgombea Urais kupitia CHAUMMA, Hashim Rungwe ametangaza kufungua rasmi kampeni za chama chake viwanja vya Bakhresa vilivyopo Manzese Dar es Salaam, Septemba 5 Awali chama hiko kilipanga kufungua kampeni zake mkoani Mara, zoezi ambalo...
  18. PAZIA 3

    JamiiForums Tanzania GE2020 Mgombea kupitia CHADEMA, Tundu Lissu achukua fomu za Kugombea Urais wa Tanzania ofisi za NEC Dodoma

    Kutoka maeneo mbalimbali kwenye viunga vya mji wa Dodoma, Tundu Lissu leo anachukua Fomu ya Urais. === Tundu Lissu leo kwa Mara ya kwanza anarejea katika mji wa Dodoma akienda kwa ajili ya kuchukua fomu ya kugombea Urais. Ikumbukwe Tundu Lissu mara ya mwisho kuondoka katika mkoa huu ni baada...
  19. S

    JamiiForums Tanzania Viongozi wa CHADEMA Taifa mna uhakika kesho ofisi za Tume ya Uchaguzi zitafunguliwa?

    Kwakuwa kesho ni sikuku ya Nanenane (Public holiday), ofisi za serikali/ umma huwa hazifunguliwa isipokuwa kwa baadhi tu ya ofisi au Taasisi ambazo kulingana na nature ya kazi zao,ofisi zao huwa hazifungwi. Kwa msingi huo, NEC kesho watafungua ofisi zao? Au katika ratiba waliyotoa ya...
  20. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania RPC Muroto ni wajibu wako kumlinda Mgombea Urais Lissu atakapokuja Dodoma kuchukua fomu ofisi za Tume ya uchaguzi

    Nimeona nikukumbushe mapema kuhusu jambo hili kutokana na umuhimu wake . Lissu alishambuliwa mchana Dodoma , hatuna haja ya kukumbusha yaliyojili , bali itoshe tu kusema kwamba hakuna juhudi zozote zilizofanyika ili kuwabaini washambuliaji , bali sarakasi na danadana tu ndio zilizotamba , TUKIO...
Back
Top Bottom