Ukiangalia mpango mzima wa Serikali kuhamia Dodoma mpaka mwaka huu wa 2020 ukiwa unaenda ukingoni kuna taasisi nyingi za Umma bado zinaendesha shughuli zake zikiwa nje ya makao ya serikali wengi wao wakiwa Dar es Salaam wakati mkuu wa nchi tayari yeye alishafuta makazi yake ya Dar es Salaam ...
Waziri wa zamani wa Maliasili na Utalii Mh Hamisi Kigwangalla amekamilisha mchakato wa kukabidhi ofisi kwa Waziri mpya Dkt. Damas Ndumbaro.
Mchango wa wadau
Habari za wakati huu kaka na dada zangu wote wa humu jamiiforums.
Ndugu zangu watanzania;
Ninaomba sasa iwe desturi kwa Waziri wa Maliasili na Utalii kuakisi shughuli za ofisi yake kwa mavazi ya asili anapokuwa anakula kiapo cha utii kwa Jamuhuri.
Waziri wa zamani wa utalii (Dr. Khamis...
1. Kutoonyesha anampenda sana fulani
2. Kutopenda Makundi baina ya wale aliowateua
3. Kutopenda Kutabirika na Wanaomzunguka
4. Kutopenda Kusomeka kwa haraka na Wateule wake
5. Kufuatilia Nyendo za Wateule wake ili kama ni mbaya anawaonda upesi
6. Kumchana Mtu waziwazi hata kama ni Rafiki yako /...
Hii ndio Taarifa mpya inayozunguka huko Makambako, hii ni baada ya shughuli za kilichoitwa Uchaguzi mkuu kumalizika, ambapo wanachama na viongozi wa CHADEMA wa Jimbo hilo wameanza rasmi kuimarisha chama chao.
Shikamooni wakubwa zangu wote wa hapa jamiiforums.
Ndugu zangu watanzania;
Hata kama mteja ni mfalme (Customer Caring), watanzania ni lazima tujifunze kuwa wastaarabu pindi tuendapo kupata huduma katika ofisi za watu wengine.
Hata kama wewe ni mfalme na una stress zako za kifamilia ndio...
Ndio nataka kufungua ofisi ila nahitaji ushauri na kunielekeza pa kuanzia, usajili brela nina fahamu pa kuanzia ila sasa taratibu zingine mfano nini cha kufanya kama kuwa certified na TRA na process zingine.
Msaada tafadhali.
Vikosi vya SMZ jana usiku walivamia Barza ya Mwanakombo; hii ni Ofisi ya Ngome ya Vijana wa @ACTwazalendo. Vitu walivyoiba ni Tv na Viatu, pia waliondoka na Mlingoti wa Bendera.
Aidha leo hii Naibu Katibu Mkuu wetu upande wa Zanzibar ametekwa na watu wanaosemakana kuwa ni Vijana wa Jeshi...
VIONGOZI wa dini ya kiislamu wa mkoa wa kusini Pemba, wametakiwa kutodhihirisha kwa wafuasi wao mahaba, upendo na kuvipigia chapuo vyama vyao vya siasa, wanapokuwa wanahubiri kwenye nyumba za ibada, kwani athari yake ni kusabisha mgawanyiko.
Ushauri huo umetolewa na Afisa Fat-tuwa na Utatuzi wa...
Mwanamama mtetezi wa siku nyingi wa haki za binadamu hususan za wanawake mama Kijo Bisimba, amelaani vikali kauli za Rais Magufuli anazozitoa mara kwa mara juu ya wanawake.
Akihojiwa na redio moja ya nje, Mama Bisimba amesema, kauli hizo za Magufuli zisichukuliwe kimizaha mizaha kwa sababu hizo...
Mererani kunachafuka baada ya sintofahamu ya mlinzi wa ofisi ya bilionea Laizer kuuawa kimizengwe ambapo inadaiwa aliuliwa na vyombo vya ulinzi. Hii ni kutokana na msimamo wa ndugu zake ambao wamekataa kuchukua mwili kwa ajili ya maziko
Labda huyu msajili atuambie Chama cha TLP kinachomnadi Mgombea wa CCM ndugu Magufuli sio chama cha Siasa.
Kwa tafsiri ndogo ya kifungu cha 11A cha sheria ya vyama vya siasa Sura 258 iliyonukuliwa na msajiri hapo, ni kwamba sheria inahusu KUUNGANA KWA VYAMA yaani kwa kizungu wanaita...
Vijana wanaosadikiwa kuwa wa CCM, usiku wa kuamkia leo majira ya saa saba za usiku wamevamia tawi la Tutani (Mkombozi) la chama cha ACT-Wazalendo Nungwi mkoa wa Kaskazini Unguja na kuchana bendera za ACT-Wazalendo na kubandika picha za Mwinyi.
Ilani za vyama ni mawakilisho ya mahitaji ya Wananchi kupitia vyama vyao vya siasa.
Ofisi ya Rais na Waziri Mkuu chukueni ilani za vyama vyote vya siasa chukueni humo yale yanayoonekana Yana mantiki na yawezekanayo kufanyiwa kazi haraka yafanyiwe.
Wapeni wakuu wa Idara na Taasisi husika...
Ninatafuta ofisi hapa Dar es Salaam ambazo naweza kusambazia chakula cha mchana 🥗 🥘
Nina Wali, Pilau, Ugali & Ndizi kwenye MENU . (Ila unaweza kuhitaji kingine ambacho hakipo kwenye MENU na ukatengenezewa)
Sample ipo kwenye picha hapo chini 👇🏿
Bei zangu ni 3,000/- TZS tu
Call/Text/WhatsApp...
Habari za jioni wana jf,
Naomba kufahamu ofisi za Nacte kwa mkoa wa Dodoma zipo wapi? Mimi ni mgeni mkoa huu nahitaji kufika ktk ofisi zao siku ya kesho Jumanne.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.