ofisi

  1. M

    JamiiForums Tanzania TRA ni SHIDA: Wavamia Ofisi hapa Viwandani

    Ninaambiwa kila siku TRA ni majambazi sijawahi kuamini. Leo wamevamia Kampuni moja hapa ITV, nimeshtushwa. Wameingia kama Majambazi na kufunga geti, wametoka na nyaraka pamoja na computer mpakato 4. Lengo sijui ni nini, ila hii inaogopesha sana. Hatuji tunaelekea wapi. TRA ni hida. Mama inabidi...
  2. Q

    JamiiForums Tanzania CHADEMA itajengwa na wenye moyo safi. Waanza kujenga ofisi zao za Majimbo kwa kujitolea

    Kanda ya Serengeti KARATU BUNDA MJINI SERENGETI NJOMBE MAKAMBAKO
  3. JamiiForums Tanzania Kuna ofisi zozote za kuaminika kwa ambao wananunua vitu E. bay

    Nilikuwa na nampango wakununua simu e bay aina ya google pixel lakiji sina card ya banki hivi kwa hapa Dar hakuna ofisi zozote zile mabazo ni trusted zinajihusisha na uagizaji wa mizigo e bay. Kama kuna mtu anazijua anifahamisha na kama alaishawahi kuagiza kupitia hizo ofisi. Muwe na jumapili...
  4. JamiiForums Tanzania Umoja ni Nguvu: Ujenzi wa ofisi ya CHADEMA Mkoa wa Njombe wafikia pazuri

    Pamoja na njama zote za kuhujumu Chama hiki lakini bado wananchi wamepeleka Matumaini yao kwa Chadema, wanaendelea kukichangia ili kukamilisha kujenga ofisi zake nchi nzima. Hili Jengo unaloliona hapo ni ofisi iliyokaribia kwisha ambayo ikikamilika itakuwa ofisi ya Chadema Mkoa wa Njombe...
  5. JamiiForums Tanzania Naanzaje kumtongoza huyu msichana aliyekuja ofisini kwetu?

    Ndugu zangu tusaidiane swaga apa kidogo. Leo ofisini kuna msichana alikuja, mimi nilitoka ile narudi ndo nikamuona pale. kwa ule uzuri nikashindwa hata kusalimia sasa baada ya yeye kuondoka ikabidi nikaangalie namba yake kwenye daftari la maudhurio niko nayo apa sjui nianzaje.
  6. JamiiForums Tanzania Ofisi za Redcross

    Habari zenu mabibi na mabwana,napenda kujua na kufahamu zilipo ofisi za Redcross kwa hapa Dar ama kama kutakuwa na staff wa redcross humu ndani kuna kitu nataka nimuulize
  7. JamiiForums Tanzania Anadolu Agency yatoa Ofisi zake za Gaza kwa Al Jazeera na AP

    Shirika la Habari linalomilikiwa na Serikali ya Uturuki, Anadolu Agency (AA) limetoa kibali cha kutumiwa kwa ofisi zake katika mji wa Gaza kwa Mashirika ya Habari ya Al Jazeera na Associated Press (AP) baada ya ofisi zao kuharibiwa na shambulio la kombora la Israel siku ya Jumamosi...
  8. JamiiForums Tanzania Video: Kombora la Israel lilivyoangusha jengo la ofisi za Al Jazeera

    Mashambulizi ya makombora katika eneo la Gaza yanaingia siku ya sita mfululizo, huku idadi ya vifo ikiongezeka kufikia watu 140, wakiwamo watoto 39. Israel imeendelea kutumia makombora kushambulia majengo marefu katika eneo la Gaza, ikilenga jengo la ofisi za Shirika la Habari la Al Jazeera na...
  9. JamiiForums Tanzania Bandari zetu nazo ziwe chini ya Ofisi ya Rais kwa Usalama wa Taifa

    Naona sasa ni muda muafaka bandari zetu zikawa 'monitored directly' kutoka ikulu na special branch of IT graduate and highly motivated TISS operatives. ... hii itasaidia kupunguza safari za kushtukiza ambazo, naanza kuona, hazileti tija yeyote katika kudhibiti upigaji na kuongeza ufanisi! Picha...
  10. B

    JamiiForums Tanzania Kasi ya CHADEMA kujenga ofisi za majimbo kwa nguvu ya umma itufunze umuhimu wa kuwekeza kwa watu

    CHADEMA kwa Sasa inaendeleza operesheni achia wafungwa wa kisiasa inayoambatana na ujenzi wa ofisi za majimbo kote nchini. Ujenzi unafadhiliwa kwa 100 na wananchi wa kipato cha chini. Niwapongeza wanaofanya kazi hii na kuwatakia kila la heri kukamiliza mradi huu ndani ya miaka mitatu iliyopangwa.
  11. JamiiForums Tanzania Pendekezo: Francis Mutungi na Sisty Nyahyoza waondolewe Ofisi ya Msajili wa Vyama vya Siasa, wametumika kupandikiza migogoro kwenye vyama vya siasa

    Maadam sasa tumeamua kufanya mabadiliko basi ni vema Ofisi ya msajili wa vyama vya siasa ikaletewa watu wapya ili kuondoa manung'uniko. Mutungi ametumika mara kadhaa kupandikiza migogoro kwenye vyama vya siasa kwa kuyalinda makundi ya wahalifu , huku akisimamia kugawa ruzuku halali ya Cuf kwa...
  12. JamiiForums Tanzania Uzoefu kwa wale waliowahi kujitolea katika ofisi uliyojitolea ulifanikiwa kuajiriwa moja kwa moja?

    Mimi ni mwalimu wa secondary najishughulisha na shughuli ndogo ndogo huku natafuta kazi. Katika mojawapo ya shule ninazoomba naambiwa kama kujitolea nafasi ipo. Sijawahi kujitolea tokea nimemaliza chuo(3years ago). Naomba kufahamu kutoka kwenu wadau, kuna uwezekano wa kupata kazi husika kama...
  13. JamiiForums Tanzania Kampuni ya Simu ya Xiaomi yafungua ofisi zake Tanzania?

    Kampuni ya China inayotengeneza vifaa vya Electronic hasa simu janja ya Xiomi wamefungua ofisi zao Tanzania. Ofisi hizo ninapatikana mtaa wa Uhuru, Jijini Dar es Salaam. Hi ni kwamujibu wa page yao kwenye mtandao wa Facebook.
  14. JamiiForums Tanzania NSSF mnawatesa Wajawazito wa Fao la Uzazi; Customer Care mbovu ofisi za Ubungo

    Ni week ya sasa Wajawazito katika ofisi mbalimbali za jiji la Dar es Salaam hawapati huduma,iwe Ubungo au Ilala kwa wakazi wa Dar es Salaam. Inaenda karibu week ya pili sasa kwa wajawazito ukienda kwenye ofisi za NSSF kwa ajili ya Fao la Ujauzito ni kero tupu,sababu mara mtandao unasumbua mara...
  15. S

    JamiiForums Tanzania Naibu Spika aliesema ofisi yake haina taarifa ya wanaoitwa wa CHADEMA kuvuliwa Uanachama, kumbe alikuwa muongo?

    Siku chache zilizopita, Naibu Spika, Tulia alisiika akisema Bunge halina taarifa rasimi ya wanaoitwa Wabunge wa CHADEMA kuvuliwa uanachama, akimanisha wao kama Bunge hawajapata barua kutoka kwa Katibu Mkuu wa CHADEMA ya kuwavua uanachama. Sasa kauli tata ya Spika ya leo ya kutaka vithibitisho...
  16. JamiiForums Tanzania Tetesi: Ugumu wa Maisha Tanzania wasababisha AAR kufunga ofisi zake Tanzania

    Hii ndio taarifa mpya inayozunguka mitandaoni kwa sasa kwamba ile Taasisi inayotoa huduma bora za afya imeamua kusitisha huduma zake nchini Tanzania kutokana na anguko la biashara na uchumi. Tuendelee kutega sikio kwa taarifa zaidi.
  17. JamiiForums Tanzania Tetesi: Mtumishi wa NSSF alilipwa milioni 26 za uhamisho akitokea HQ Posta kwenda ofisi za NSSF Kinondoni Dar

    Wakati wa uongozi wa aliyekua DG wa NSSF William ERIO NSSF ilijaa matumizi mabaya ya fedha za shirika mpaka kufikia kumlipa mfanyakazi sh milioni 26 za UHAMISHO akitoka makao makuu Posta akihamia ofisi ya Kinondoni DSM. Maajabu kama haya unayapata nchi zenye mfumo wa hovyo katika Taasisi.
  18. JamiiForums Tanzania Comoro: Ofisi za ATCL Mjini Moroni zimevunjwa na mauzo yote kuporwa

    ATCL Mjini Moroni imevunjwa na kuibwa fedha zaidi Milioni 400 za Kicomoro Jumapili ya tarehe 18/4/2021 Taarifa zinabaini Ofisi hizo hazina ulinzi wala kamera. Dulu zinabaini milango minne ya ofisi hizo hadi kuifikia Safe imevunjwa inaamika wafanyakazi wa kampuni ya uwakala wa Shirika hili la...
  19. JamiiForums Tanzania Peru: Kashfa ya Chanjo yapelekea Rais wa zamani kupigwa marufuki kushika wadhifa katika ofisi ya umma kwa miaka 10

    Rais wa zamani wa Peru, Martín Vizcarra amepigwa marufuku kushika wadhifa wa umma kwa muda wa miaka 10 kufuatia madai kuwa aliruka foleni kupokea Chanjo ya COVID19 Bunge iliidhinisha marufuku yake ya muda kwa Kura 86 za kukubali huku kukiwa hakuna aliyepinga. Vizcarra amekutwa na hatia ya...
  20. JamiiForums Tanzania MKEMIA kutoka ofisi ya Mkemia mkuu wa Serikali, Faustin Malamula atoa Ushahidi kesi ya Madawa(Bangi) inayomkabiri Paul Ikumbi

    MKEMIA kutoka ofisi ya Mkemia mkuu wa Serikali, Faustin Malamula, amedai baada ya kufanya uchunguzi wa kete 43, zizaniwazo kuwa ni bhangi alibaini kwamba ni bhangi ambazo zilikuwa na kemikali ya Tetrahydrocannabinol(THC), ambayo husababisha ulevi usiopoonyeka kirahisi. Malamula ambaye ni...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…