Kuna ofisi zozote za kuaminika kwa ambao wananunua vitu E. bay

Richmoto Kushmoto

JF-Expert Member
Jan 18, 2021
549
557
Nilikuwa na nampango wakununua simu e bay aina ya google pixel lakiji sina card ya banki hivi kwa hapa Dar hakuna ofisi zozote zile mabazo ni trusted zinajihusisha na uagizaji wa mizigo e bay.

Kama kuna mtu anazijua anifahamisha na kama alaishawahi kuagiza kupitia hizo ofisi.

Muwe na jumapili njema.
 
Kuna jamaa wapo nimesahau jina lao.

Ila issue ni simple tu. Unatumia M pesa or Airtel money mastercard + PayPal.

Vya kuzingatia.
1. Hakikisha seller unayenunua kwake analeta huku Tz. Ukijaza address yako kule eBay watakuambia kma hyo bidhaa inaletwa huku bongo au lah

2. Angalia bei za shipping. Isije ikawa bidhaa bei ndogo ila shipping cost ni mara mbili ya bei. eBay watakuandikia bei pale

3. Angalia feedback ya muuzaji. Utaiona uki scroll kule chini.

4. Hakikisha seller ana offer Money back guarantee. Hii itakupa uwezo wa kurudishiwa 100% ya hela yako kma mzigo ukija mbovu au usipofika. Hii utaiona kule chini pia kma nilivyoonesha kwenye screenshot hapo.

5. Usiogope kumtumia message seller kma una swali kuhusu bidhaa yake. Atakujibu na kukupa maelezo yote. Na hata kma inaonesha hawaship huku Tz unaweza ongea na seller akakutumia kwa njia inayofikisha huku.

6. La mwisho, usikubali kulipa hela nje ya eBay hata siku moja. Seller anaweza akakumbia umlipe directly, usikubali hili hata siku moja. Payment zako zote zipitie eBay + PayPal

Mm niliagiza Google Pixel 4 na ilifika ndani ya 2 weeks.
Screenshot_20210523-171124.jpg
 
Nilikuwa na nampango wakununua simu e bay aina ya google pixel lakiji sina card ya banki hivi kwa hapa dar hakuna ofisi zozote zila mabazo ni trusted zinajihusisha na uagizaji wa mizigo e bay

Kama kuna mtu anazijua anifahamisha na kama alaishawahi kuagiza kupitia hizo ofisi

Muwe na jumapili njema
Woot wana offer za pixel sasa hivi (ni branch ya Amazon) pixel 2 kuanzia dola 60, pixel 3 kuanzia dola 99.

Mwl.RCT ana agizishia humu jukwaani

Alternative tumia parcel forwarder kama myus, Shop and ship etc.
 
Nilikuwa na nampango wakununua simu e bay aina ya google pixel lakiji sina card ya banki hivi kwa hapa dar hakuna ofisi zozote zila mabazo ni trusted zinajihusisha na uagizaji wa mizigo e bay

Kama kuna mtu anazijua anifahamisha na kama alaishawahi kuagiza kupitia hizo ofisi

Muwe na jumapili njema
Mcheki huyu ndugu Mwl.RCT kuna shuhuda mbalimbali humu JF za walioagiza kupitia yeye
 
Nilikuwa na nampango wakununua simu e bay aina ya google pixel lakiji sina card ya banki hivi kwa hapa dar hakuna ofisi zozote zila mabazo ni trusted zinajihusisha na uagizaji wa mizigo e bay

Kama kuna mtu anazijua anifahamisha na kama alaishawahi kuagiza kupitia hizo ofisi

Muwe na jumapili njema
Wacheki Jamaa Instagram wanaitwa Dikena Online ofisi yao ipo Masaki. Hawa wanaaminika.
 
Uagizaji wa Bidhaa nje ya nchi na Tozo la kodi hapa nchini.

Pitia hii Thread: Kukatwa kodi kwa mizigo

Pata makadilio ya kiasi utakacholipia kwa kutumia huu mfano hapa chini.

A = Bei ya kitu pamoja na ghalama ya kusafirishia.

A X 25%= B ( kiasi utakachotozwa kama IMP )

A + B + (EX + CPF + RDL) = C (itatafutwa asilimia 18 yake)

C X 18% = G ( Ni kiasi cha VAT utakachotozwa ) =

Keywords

- IMP - Import Duty ( 25% ya A )

- EX - Excise Duty ( _% ya A )

- RDL - Railway Development levy ( 1.5% ya A )

- CPF - Customs processing fee ( 0.6% ya A )

- VAT - Value Added Tax ( 18% ya C)

Changamoto zinazojitokeza hapa nchini, soma hizi thread Tatu

#1. Kama ni adhabu ya kutoa mzigo pale airport ni hii, poleni wafanyabiashara

#2. Calculation ya kodi iangaliwe upya

#3. Hili Halijapata Ufumbuzi kuhusu Ununuzi wa Vitu kwa Njia ya Mtandao (Online Purchase) (Angalia posti yangu namba 26)
 
Airport siku hizi wanakata mpaka Import duty?
 
Mwl.RCT

Nina mzigo nataka kununua uko China utaingia kwenye container la futi20 naomba msaada Kodi zake zipoje hata kwa makadirio tu
 
Back
Top Bottom