ofisi

  1. Kasomi

    JamiiForums Tanzania CAG Acha kitete sema ukweli

    Wakuu habari zenu mimi ni mtoto wenu Emmanuel Kasomi leo hii nataka kuongea na CAG aache kitete, asiogope na Afunge. Ukifuatilia report za CAG anazo toa kuna sehemu anazilinda. Kwa wanao fuatia report za CAG amelaani sehemu nyingi kua zilijiendesha kwa Hasara. Swali kwa CAG Je, katika report...
  2. Sarikiaeli

    JamiiForums Tanzania Maoni: Je, ni wakati sahihi wa kuanzishwa ofisi ya mamlaka ya mkaguzi mkuu wa hesabu ya serikali (Controller and Audit General Authority)?

    Ndugu Abbas Mwalimu , anafikiri sasa kuna haja ya kuipandisha hadhi Ofisi ya Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) kuwa Mamlaka kamili yaani Controller and Audit General Authority (CAGA). Kwa nini anasema hivi? Kwa sababu kwa mtazamo wake, anaamini ikiwa mamlaka kamili...
  3. Idugunde

    JamiiForums Tanzania Mbunge Hamis Kigwangalla ashitakiwe kwa matumizi mabaya ya ofisi

    Hakuna aliye juu ya sheria hapa nchini, maana kuna watanzania wengi walishahukumiwa na kupoteza kazi sababu ya matumizi mabaya ya ofisi. Sasa huyu ndugu Kigwangalla ambaye alikuwa Waziri wa Maliasili na Utalii na alitumia vibaya ofisi kulipa mabilioni kulipa aliodai kuwa wadau wa utalii na...
  4. Chendembe

    JamiiForums Tanzania Hakika nimeelewa kwa Nini Maraisi waliotangulia waliiweka TAMISEM katika ofisi ya Waziri Mkuu

    Hakika nimekuwa najiuliza maranyingi kuhusu Nani Waziri Mkuu katika Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Nimekuwa nafuatilia shughuli mahususi wanazozifanya mawaziri wakuu katika pande zote mbili zilizoungana na kubaini kuwa wanawajibika zaidi katika kusimamia shughuli za serikali bungene na...
  5. B

    JamiiForums Tanzania Jalada au jina la Mwesiga liliingia vipi ofisi hii takatifu?

    Kuna Jambo halipo sawa ofisi ya Mhe. Rais. Kwanza huyu kwa cv yake alipataje kuwa DSO? Na Kama Mwesiga jalada lake limeingia ikulu Hadi likafika mikononi kwa Mhe. Rais Kama moja ya mtu anayefaa kuwa Katibu Mkuu wa Wizara, Naibu katibu Mkuu au mkuu wa moja ya taasisi zilizopata viongozi wapya...
  6. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania Mabango yenye picha za Hayati Magufuli yaanza kuondolewa barabarani na kwenye ofisi za chama

    Hii siyo namna nzuri ya kuondoa mabango ya Dr Magufuli , wala haikubaliki na ninaipinga hata kama mimi si mwanaccm .
  7. TODAYS

    JamiiForums Tanzania Vigogo ndani ya ofisi hawataki kijana afanye maamuzi kupitia baba yake

    Legacy ya maisha ya kijana wako unaiandaa mzazi na wazazi wengi mnawekeza kwenye elimu na siyo assets, ila asset kijana huzikuta kama matokeo katika utendaji wako. Mpambano wa legacy unaanzia ulipoonjeshwa utamu wa mali, mzazi umekuwa meneja mkubwa, leo kijana bado hajawa na mali tayari umempa...
  8. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania Godless Lema amuomba Rais Mpya Samia Suluhu kuchunguza ofisi ya DPP na BoT

    Ameomba BOT ifanyiwe uchunguzi Maalum kutokana na dhuluma kwa wenye maduka ya kubadilisha fedha za kigeni , huku akiomba Ofisi ya DPP imulikwe kutokana na kashfa ya Muda mrefu ya kubambikia watu kesi.
  9. T

    JamiiForums Tanzania Rais Samia Suluhu Hassan ampa onyo Waziri wa OR-TAMISEMI, Selemani Jafo

    Mh. Rais amesema Wizara ya Tamisemi ina matumizi ya ovyo ya pesa za Serikali, yenyewe haikusanyi ni mwendo wa matumizi kwa kwenda mbele hivyo kamwagiza Waziri Jafo afuatilie vizuri matumizi ya wizara yake na kama akishindwa Basi asaidiwe(atumbuliwe) Ushauri. Mh Seleman Jafo jipange...
  10. Kabende Msakila

    JamiiForums Tanzania CCM - baada ya kifo, maombolezo na mazishi ya Hayati Dkt John Pombe Magufuli - tutawakabili CHADEMA, ACT, NCCR, CUF - Ofisi zao watafugia kuku

    Ndugu Wana - CDM, ACT, NCCR, CUF hii ni taarifa kwenu kwamba baada ya kuhitimisha siku 21 za maombolezo ya kiongozi wetu Hayati Dkt John Pombe Magufuli sasa tutaelekeza nguvu zetu ktk kuwashughulikia kisiasa. Demokrasia mnazoimbia Tanzania, Ubelgiji na Canada hatutataka kuzisikia - mkitaka...
  11. W

    JamiiForums Tanzania BSMO & SBI Wafungua Ofisi Kuhusu Magari Tanzania

    Kifupi ni kwamba kufuatia agizo la magari yanayoagizwa nje kukaguliwa hapa TZ sijui na gereji ya UDA kwa gharama za muagizaji. Hizi kampuni 2 zimefungua ofisi DSM kutoa huduma hiyo bure kabisa kwa wataoagiza kutoka kwao Dar es Salaam. BSMO Company Ltd and SBI Africa Company Ltd have...
  12. C

    JamiiForums Tanzania Wafanyakazi wa ofisi za serikali acheni roho mbaya

    Mwaka huu nilikua nafatilia maswala ya mirath ya mzee, so ilinifanya nikatembelea ofisi nyingi za kiserikali. Kwa kawaida ukiwa unafatilia mirathi hizi ofisi lazima ufike zote au chache: Mtendaji Vizazi na vifo Mahakama ya mwanzo Mahakama kuu Bank PSSF Na nyingine ambazo inategemea carrier ya...
  13. mwanzo wetu

    JamiiForums Tanzania Ofisi za ngazi ya kata, Tarafa na, wilaya tabu sana

    Habari za wakati wakuu. Mimi nimejifunza jambo, Nimetembelea karbuni ofis nyingi apa nchini kuanza na ofis za Chini yaan kata,Tarafa, Wilaya, Mkoa mpaka zile za ngazi ya juu, nilichojifunza watu wanaoishi ktk ofis za Kuanzia kata, Tarafa, Wilaya Hawa watu hawpo charming kwa mteja wao ni watu...
  14. encyclopaedia Tanzaree

    JamiiForums Tanzania Leseni mbili za biashara kwenye ofisi moja

    Habari wakuu, kutokana na hali ya biashara kuwa ngumu imetulazimu baadhi ya wafanyabiashara kufanya biashara zaidi ya moja kwenye jengo moja ili kuongeza kipato na kupunguza gharama za uendeshaji. Jambo hili linatuweka matatani baadhi yetu kwa kugombana sana na watu wa leseni wakidai kwamba...
  15. Patriot

    JamiiForums Tanzania Mhe. Rais uliyoyaona Morogoro Manispaa yako Ofisi zote za Serikali

    Maafisa wa manispaa ya Morogoro wamejimilikisha ’vizimba’ na kupangisha upya kwa gharama ya juu! Kwa ujumla kilichotokea Morogoro ni matumizi mabaya ya ofisi ambayo ktk serikali, yako kila sehemu. 1. Ukiwa Afisa Ardhi, unapima viwanja na kujimilikisha viwanja vingi ili uwauzie wengine. 2...
  16. J

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli anaweka jiwe la msingi ujenzi ofisi ya halmashauri ya Malunga Kahama - Shinyanga!

    Tukio liko mubashara TBC, Channel ten na ITV. Up dates; Rais Magufuli ameweka jiwe la msingi na sasa anapiga picha ya pamoja na viongozi wa mkoa na wilaya. Rais Magufuli amewashukuru viongozi hao kwa utekelezaji mzuri wa ilani ya CCM na ameagana nao na kuondoka. Maendeleo hayana vyama!
  17. Stroke

    JamiiForums Tanzania Wanaoning'iniza vitambulisho vya kazi nje ya ofisi zao huwa wanamaanisha nini?

    Huwa nashindwa kuwaelewa jamaa ambao huwa wanatoka mazingira ya ofisi zao wakiwa bado wamening'iniza vitambulisho vyao. Yaani utawakuta mtaani wanatembea navyo hata huko migahawani bado wanavyo tu. Huwa inakua ni mikwara tu. Au ni Usongo baada ya kusota mtaani Bila ajira kwa muda mrefu Ama...
  18. Ta Muganyizi

    JamiiForums Tanzania Mtandao - Jini linalosumbua ofisi za Serikali Tanzania, TANESCO hawakosi

    Habari Wadau. Imenibidi niseme tena maana najua imeshasemwa sehemu kibao. Kwa serikali yetu hii ilivyo kasi katika kutuletea maendeleo naona suala la mtandao wa internet limekuwa tatizo kubwa hata katika awamu hii. Mfano unaenda TANESCO kujaza fomu ili uwekewe umeme lakini inamaliza hadi wiki...
  19. S

    JamiiForums Tanzania Tahadhari dhidi ya corona: Tigo waanza kuchukua hatua, ukiingia katika ofisi zao unapimwa joto mlangoni

    Naona Watanzania wameamka na kuanza kuchukua tahadhari ambapo uvaaji wa barakoa sasa umeanza kurudi mitaani. Kwa upande wa kampumi ya simu za mkononi ya Tigo, wao wameenda mbali zaidi ambapo ukitaka kuingia katika ofisi zao, unapimwa kwanza joto mlangoni na askari kabla ya kuruhusiwa kuingia...
  20. M

    JamiiForums Tanzania IGP Sirro, mulika Ofisi ya OCD Musoma

    Kiongozi Wangu IGP Nyankoro Sirro, kuna malalamiko ambayo yamekuwepo miongoni mwa jamii za wavuvi katika wilaya ya Musoma Vijijini wakituhumu POLISI wako kuhusu masuala ya rushwa na uonevu. Wananchi wengi wa Musoma Vijijini wanategemea Shughuli za uvuvi ndani ya Ziwa Victoria kuendesha maisha...
Back
Top Bottom