Uzoefu kwa wale waliowahi kujitolea katika ofisi uliyojitolea ulifanikiwa kuajiriwa moja kwa moja?

Mowwo

Member
Aug 15, 2015
40
95
Mimi ni mwalimu wa secondary najishughulisha na shughuli ndogo ndogo huku natafuta kazi. Katika mojawapo ya shule ninazoomba naambiwa kama kujitolea nafasi ipo. Sijawahi kujitolea tokea nimemaliza chuo(3years ago).

Naomba kufahamu kutoka kwenu wadau, kuna uwezekano wa kupata kazi husika kama mtu akijitolea? Naweza kusitisha vishughuli vyangu vidogo vidogo nijitoe lakini ningependa kupata uzoefu kutoka kwenu.

Natanguliza shukrani🙏🙏
 
jina halisi

JF-Expert Member
Oct 12, 2016
2,262
2,000
Kama ni shule binafsi naamini ipo siku watakuajiri kama mkienda sawa.
Na ipo hivo kwa sehemu nyingi za kujitolea kama ni binafsi.

Ila kama ni serikalini mwendo wa ajira ni ule ule na namna ya kuapply ni ile ile Hapo kwa serikali ni ngumu bora kuendelea na shughuli zako au kutengeneza cv ila sio kusubiri kuajiriwa kisa kujitolea hasa kwa serikalini.
 
Hazchem plate

JF-Expert Member
Feb 25, 2011
10,547
2,000
Kama ni shule binafsi naamini ipo siku watakuajiri kama mkienda sawa.
Na ipo hivo kwa sehemu nyingi za kujitolea kama ni binafsi.

Ila kama ni serikalini mwendo wa ajira ni ule ule na namna ya kuapply ni ile ile Hapo kwa serikali ni ngumu bora kuendelea na shughuli zako au kutengeneza cv ila sio kusubiri kuajiriwa kisa kujitolea hasa kwa serikalini.

Umejibu vyema
 
Mowwo

Member
Aug 15, 2015
40
95
Nashu

Nashkuru sana mkuu
Nimeomba serikalini pia, naomba Mungu nifanikiwe. Nitajitolea aise, was was ulikua apoo nisije kuishia njiani
 
May 5, 2021
16
45
Kama nilivojuzwa na wafanyakazi pale kujitolea haiwi kwa muda mrefu sana mpaka ufundishe mwaka mzima. Ni mieze miwili au mitatu

Mimi ni mwalimu wa secondary najishughulisha na shughuli ndogo ndogo huku natafuta kazi. Katika mojawapo ya shule ninazoomba naambiwa kama kujitolea nafasi ipo. Sijawahi kujitolea tokea nimemaliza chuo(3years ago).
Naomba kufahamu kutoka kwenu wadau, kuna uwezekano wa kupata kazi husika kama mtu akijitolea? Naweza kusitisha vishughuli vyangu vidogo vidogo nijitoe lakini ningependa kupata uzoefu kutoka kwenu.
Natanguliza shukrani🙏🙏
Ni kweli, kuna mwalimu alikuwa anajitolea shule moja ya sekondari huku niliko, hata mwaka hajamaliza ameshaajiriwa. Tena nafasi nyingine hutoka moja kwa moja shuleni bila kutangazwa. Nimeshuhudia hii kwa kuwa rafiki yangu ni mkuu wa hiyo shule,
 
Shukrani sana mkuu🙏🙏, ngoja nijitolee tu
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom