ofisi

  1. Mowwo

    JamiiForums Tanzania Uzoefu kwa wale waliowahi kujitolea katika ofisi uliyojitolea ulifanikiwa kuajiriwa moja kwa moja?

    Mimi ni mwalimu wa secondary najishughulisha na shughuli ndogo ndogo huku natafuta kazi. Katika mojawapo ya shule ninazoomba naambiwa kama kujitolea nafasi ipo. Sijawahi kujitolea tokea nimemaliza chuo(3years ago). Naomba kufahamu kutoka kwenu wadau, kuna uwezekano wa kupata kazi husika kama...
  2. Kurunzi

    JamiiForums Tanzania Kampuni ya Simu ya Xiaomi yafungua ofisi zake Tanzania?

    Kampuni ya China inayotengeneza vifaa vya Electronic hasa simu janja ya Xiomi wamefungua ofisi zao Tanzania. Ofisi hizo ninapatikana mtaa wa Uhuru, Jijini Dar es Salaam. Hi ni kwamujibu wa page yao kwenye mtandao wa Facebook.
  3. Ngaliba Dume

    JamiiForums Tanzania NSSF mnawatesa Wajawazito wa Fao la Uzazi; Customer Care mbovu ofisi za Ubungo

    Ni week ya sasa Wajawazito katika ofisi mbalimbali za jiji la Dar es Salaam hawapati huduma,iwe Ubungo au Ilala kwa wakazi wa Dar es Salaam. Inaenda karibu week ya pili sasa kwa wajawazito ukienda kwenye ofisi za NSSF kwa ajili ya Fao la Ujauzito ni kero tupu,sababu mara mtandao unasumbua mara...
  4. S

    JamiiForums Tanzania Naibu Spika aliesema ofisi yake haina taarifa ya wanaoitwa wa CHADEMA kuvuliwa Uanachama, kumbe alikuwa muongo?

    Siku chache zilizopita, Naibu Spika, Tulia alisiika akisema Bunge halina taarifa rasimi ya wanaoitwa Wabunge wa CHADEMA kuvuliwa uanachama, akimanisha wao kama Bunge hawajapata barua kutoka kwa Katibu Mkuu wa CHADEMA ya kuwavua uanachama. Sasa kauli tata ya Spika ya leo ya kutaka vithibitisho...
  5. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Ugumu wa Maisha Tanzania wasababisha AAR kufunga ofisi zake Tanzania

    Hii ndio taarifa mpya inayozunguka mitandaoni kwa sasa kwamba ile Taasisi inayotoa huduma bora za afya imeamua kusitisha huduma zake nchini Tanzania kutokana na anguko la biashara na uchumi. Tuendelee kutega sikio kwa taarifa zaidi.
  6. MPUNGA MMOJA

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Mtumishi wa NSSF alilipwa milioni 26 za uhamisho akitokea HQ Posta kwenda ofisi za NSSF Kinondoni Dar

    Wakati wa uongozi wa aliyekua DG wa NSSF William ERIO NSSF ilijaa matumizi mabaya ya fedha za shirika mpaka kufikia kumlipa mfanyakazi sh milioni 26 za UHAMISHO akitoka makao makuu Posta akihamia ofisi ya Kinondoni DSM. Maajabu kama haya unayapata nchi zenye mfumo wa hovyo katika Taasisi.
  7. LAZIMA NISEME

    JamiiForums Tanzania Comoro: Ofisi za ATCL Mjini Moroni zimevunjwa na mauzo yote kuporwa

    ATCL Mjini Moroni imevunjwa na kuibwa fedha zaidi Milioni 400 za Kicomoro Jumapili ya tarehe 18/4/2021 Taarifa zinabaini Ofisi hizo hazina ulinzi wala kamera. Dulu zinabaini milango minne ya ofisi hizo hadi kuifikia Safe imevunjwa inaamika wafanyakazi wa kampuni ya uwakala wa Shirika hili la...
  8. beth

    JamiiForums Tanzania Peru: Kashfa ya Chanjo yapelekea Rais wa zamani kupigwa marufuki kushika wadhifa katika ofisi ya umma kwa miaka 10

    Rais wa zamani wa Peru, Martín Vizcarra amepigwa marufuku kushika wadhifa wa umma kwa muda wa miaka 10 kufuatia madai kuwa aliruka foleni kupokea Chanjo ya COVID19 Bunge iliidhinisha marufuku yake ya muda kwa Kura 86 za kukubali huku kukiwa hakuna aliyepinga. Vizcarra amekutwa na hatia ya...
  9. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania MKEMIA kutoka ofisi ya Mkemia mkuu wa Serikali, Faustin Malamula atoa Ushahidi kesi ya Madawa(Bangi) inayomkabiri Paul Ikumbi

    MKEMIA kutoka ofisi ya Mkemia mkuu wa Serikali, Faustin Malamula, amedai baada ya kufanya uchunguzi wa kete 43, zizaniwazo kuwa ni bhangi alibaini kwamba ni bhangi ambazo zilikuwa na kemikali ya Tetrahydrocannabinol(THC), ambayo husababisha ulevi usiopoonyeka kirahisi. Malamula ambaye ni...
  10. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania Vigogo wa Gazeti la Tanzania Daima wafika ofisi za Wizara ya Habari na Michezo kwa Majadiliano kuhusu hatima ya gazeti hilo

    Baada ya Rais mpya kuamuru vyombo vya habari vilivyofungiwa kwa chuki na husda vifunguliwe , baadhi ya vyombo hivyo vimaeanza kufika wizarani ili kufahamu hatma zao . Leo ilikuwa zamu ya Tanzania Daima kuonana na Waziri Bashungwa ili kutatua utata kuhusiana na Gazeti hilo kufutiwa leseni...
  11. Nyendo

    JamiiForums Tanzania TAKUKURU: Faili la Uchunguzi wa aliyekuwa Mkurugenzi wa TPA lakamilika, imebaki ofisi ya CAG kumaliza mchezo

    Dar es Salaam. Taasisi ya Kuzuia na Kupamabana na Rushwa (Takukuru) imesema imekamilisha faili la uchunguzi kuhusu tuhuma zinazomkabili aliyekuwa Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Bandari Tanzania (TPA), Deusdedit Kakoko. Machi 30, mwaka huu taasisi hiyo ilimkamata Kakoko ili kuhojiwa kuhusu tuhuma...
  12. Kurzweil

    JamiiForums Tanzania Twitter kufungua Ofisi zake nchini Ghana

    Sababu ambazo Twitter wamezitoa Kwanini wameamua kuanza na Ghana na sio sehemu nyingine yoyote barani Afrika ni:- Ghana ukomavu wa Demokrasia ikiwemo uwepo wa Uhuru wa Kujieleza, Uhuru wa Mtandaoni Twitter wamesema kuwa wameanza kutengeneza 'team' nchini humo kabla ya kufungua Ofisi rasmi...
  13. goroko77

    JamiiForums Tanzania Mwambieni CAG, sisi tumeridhika kwa kuwa tumezoea kuibiwa

    Sasa najiuliza ikiwa ripoti ya CAG imeonesha madudu je, ni jinsi gani sasa kama taifa tumeingiaje uchumi wa Kati? Ikiwa tumeibiwa Sana namna hii. Kuna bandiko linatembea nazani ni kutoka timu Sukuma Gang kujibu tuhuma za Msoga gang. ===== MWAMBIENI CAG, SISI TUMERIDHIKA! 1. Mwambieni CAG...
  14. Kasomi

    JamiiForums Tanzania CAG Acha kitete sema ukweli

    Wakuu habari zenu mimi ni mtoto wenu Emmanuel Kasomi leo hii nataka kuongea na CAG aache kitete, asiogope na Afunge. Ukifuatilia report za CAG anazo toa kuna sehemu anazilinda. Kwa wanao fuatia report za CAG amelaani sehemu nyingi kua zilijiendesha kwa Hasara. Swali kwa CAG Je, katika report...
  15. Sarikiaeli

    JamiiForums Tanzania Maoni: Je, ni wakati sahihi wa kuanzishwa ofisi ya mamlaka ya mkaguzi mkuu wa hesabu ya serikali (Controller and Audit General Authority)?

    Ndugu Abbas Mwalimu , anafikiri sasa kuna haja ya kuipandisha hadhi Ofisi ya Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) kuwa Mamlaka kamili yaani Controller and Audit General Authority (CAGA). Kwa nini anasema hivi? Kwa sababu kwa mtazamo wake, anaamini ikiwa mamlaka kamili...
  16. Idugunde

    JamiiForums Tanzania Mbunge Hamis Kigwangalla ashitakiwe kwa matumizi mabaya ya ofisi

    Hakuna aliye juu ya sheria hapa nchini, maana kuna watanzania wengi walishahukumiwa na kupoteza kazi sababu ya matumizi mabaya ya ofisi. Sasa huyu ndugu Kigwangalla ambaye alikuwa Waziri wa Maliasili na Utalii na alitumia vibaya ofisi kulipa mabilioni kulipa aliodai kuwa wadau wa utalii na...
  17. Chendembe

    JamiiForums Tanzania Hakika nimeelewa kwa Nini Maraisi waliotangulia waliiweka TAMISEM katika ofisi ya Waziri Mkuu

    Hakika nimekuwa najiuliza maranyingi kuhusu Nani Waziri Mkuu katika Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Nimekuwa nafuatilia shughuli mahususi wanazozifanya mawaziri wakuu katika pande zote mbili zilizoungana na kubaini kuwa wanawajibika zaidi katika kusimamia shughuli za serikali bungene na...
  18. B

    JamiiForums Tanzania Jalada au jina la Mwesiga liliingia vipi ofisi hii takatifu?

    Kuna Jambo halipo sawa ofisi ya Mhe. Rais. Kwanza huyu kwa cv yake alipataje kuwa DSO? Na Kama Mwesiga jalada lake limeingia ikulu Hadi likafika mikononi kwa Mhe. Rais Kama moja ya mtu anayefaa kuwa Katibu Mkuu wa Wizara, Naibu katibu Mkuu au mkuu wa moja ya taasisi zilizopata viongozi wapya...
  19. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania Mabango yenye picha za Hayati Magufuli yaanza kuondolewa barabarani na kwenye ofisi za chama

    Hii siyo namna nzuri ya kuondoa mabango ya Dr Magufuli , wala haikubaliki na ninaipinga hata kama mimi si mwanaccm .
  20. TODAYS

    JamiiForums Tanzania Vigogo ndani ya ofisi hawataki kijana afanye maamuzi kupitia baba yake

    Legacy ya maisha ya kijana wako unaiandaa mzazi na wazazi wengi mnawekeza kwenye elimu na siyo assets, ila asset kijana huzikuta kama matokeo katika utendaji wako. Mpambano wa legacy unaanzia ulipoonjeshwa utamu wa mali, mzazi umekuwa meneja mkubwa, leo kijana bado hajawa na mali tayari umempa...
Back
Top Bottom