ofisi

  1. pista

    JamiiForums Tanzania Natafuta kazi kwa yeyote mwenye ofisi au kampuni

  2. Kamanda Asiyechoka

    JamiiForums Tanzania Kuhusu Katiba Mpya tumeshakwama tujikite kujenga ofisi ya Makao Makuu

    Kwa hali inavyoenda katiba mpya hatuwezi kuipata kirahisi labda tukomae kama wakenya walivyokomaa. Tujikite kujenga ofisi ya makao makuu. Tunazo rasilimali nyingi na michango ya kidigital imemiminika. Aibu sana kuwa kwenye ofisi kama hii tuliyonayo.
  3. Shujaa Mwendazake

    JamiiForums Tanzania Polisi wavamia Ofisi za jimbo ACT Mbagala Kuu na kukamata Viongozi na Mawakala

    Ofisi ya Jimbo la Mbagala Kuu ya ACT Wazalendo imevamiwa na Polisi Mida ya jioni jana jumamosi na wakalazimisha kuwakamata watu wote waliopo ambao ni pamoja na viongozi na Mawakala kwa hoja kuwa wameweka mkusanyiko usio halali. Kwa hiyo Sasa RASMI mikusanyiko kote nchini HAIRUHUSIWI? Mkusanyiko...
  4. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania Kiongozi wa BAVICHA Iringa, Vitus Nkuna aitwa ofisi ya RC kwa mahojiano

    Katibu wa Bavicha Iringa Vitus Nkuna leo ameitwa ofisini kwa Mkuu wa Mkoa wa Iringa ili ahojiwe , tambua kwamba RC wa Iringa anaitwa Queen Sendiga . Bila shaka Mahojiano hayo yanahusiana na kauli yake ya kizalendo kutokana na kuzidiwa kwa Mkoa wa Shinyanga na wagonjwa wa Corona huku kukiwa...
  5. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania Freeman Mbowe azindua ujenzi wa Ofisi ya CHADEMA Jimbo la Segerea

    Huu ndio ule mwendelezo wa ile kampeni ya kudai Katiba mpya na Tume huru ya Uchaguzi inayoitwa OPERESHENI HAKI , Ambayo tayari imeingia Kanda ya Pwani . Pichani : ni Mwamba mwenyewe akiwa jimbo la Segerea
  6. P

    JamiiForums Tanzania Muundo wa Ofisi za Bunge ukoje kiutendaji? Naona kama kuna kitu kinamshusha Ndugai

    Mara kwa Mara nimesikia matamko ya Spika akiwa kwenye ufalme wa kiti chake. Kuna mambo mengine sioni kama anastahili/kulazimika kujibiajibia hata masela kwenye mitandao. Muundo wa Watendaji wa Ofisi ya Bungeni ukoje?
  7. chiembe

    JamiiForums Tanzania Je, Mkuu wa Wilaya ya Morogoro ataweza kusimamia vita ya ukimwi, mimba mashuleni, heshima kwa wanawake na kuitaka jamii iishi kwa maadili?

    Nimeona video mtandaoni ya DC Morogoro akiwa kalewa chakari huku anashikashika sehemu za siri za binti/mwanamke. Inafahamika kwamba huyu DC ameoa, na aliyekuwa naye akimpapasa uchi sio mkewe. Huyu ndio anatakiwa kusimamia kampeni dhidi ya ukimwi, mimba mashuleni,maadili katika jamii ya...
  8. A

    JamiiForums Tanzania Siku 100 za Rais Samia ndani ya ofisi

    Ni dhahili mh. Rais ameamua kuuzima mjadala kwa makusudi wa kudiscuss Siku mia moja katika ofisi ya jumba jeupe. Bila shaka katika kuelekea siku 100 kwenye madaraka mh rais ameamua kutangaza mkeka wake wa madc ili tujikite kuujadili badala ya kudiscuss utendaji wake ndani ya Siku 100. Kwanini...
  9. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Ushauri wa bure kwa 'Walioteuliwa' kutoka katika Ofisi zao walizopo sasa

    Nawashaurini nyote ambao mtaaga hizo Ofisi zenu mlizopo sasa kwamba andikeni Barua za Kusema kuwa mtarajea tena hapo, kwani kwa Watu walioteuliwa huku wengine tabia zao zikijulikana kuna Uwezekano mkubwa baadhi yao wakadumu kati ya Miezi 6 au hata mwaka tu na watafurumushwa ( watatumbuliwa )...
  10. Hajto

    JamiiForums Tanzania Natafuta ofisi ya kutengeneza kadi za mchango wa harusi Dar

    Habari zenu waungwana, Nataka kutengenezewa kadi za kuomba mchango wa harusi. Je, ni wapi naweza kupata kwa bei rahisi? Nipo Dar
  11. B

    JamiiForums Tanzania Ofisi ya Waendesha Mashtaka kugeuka kuwa ofisi ya wafuta mashtaka kunatia doa mfumo wa haki nchini

    Ofisi ya DPP imegeuka kuwa ofisi ya wafuta mashtaka badala ya ofisi ya waendesha mashtaka. Haya madaraka mapya yakufuta mashtaka wameyatoa wapi? Kwanini imeacha jukumu la Msingi la kuanzishwa kwake? Kama wamebaini walikosea, hao waliokosea kifungua mashtaka wanasubiri nini kushtakiwa?
  12. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania CHADEMA yatangaza kumwaga mishahara kwa watendaji wake wote kuanzia ngazi ya chini Kabisa

    Kauli hii ya kishujaa imetolewa na Mwamba Mwenyewe Freeman Mbowe alipokuwa anahitimisha mpango wa Operesheni Haki Mkoani Morogoro. Mbowe ambaye sasa anaitwa Mtemi Isike, baada ya kusimikwa huko Tabora , amesema kwamba Chama chake sasa kinataka viongozi wake wafanye kazi moja tu ambayo ni...
  13. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania Mwanza: Chalamila akabidhi ofisi kwa RC mteule

    Mkuu wa Mkoa wa Mwanza, Robert Gabriel leo Ijumaa Juni 11, 2021 amewasili jijini Mwanza kwa ajili ya makabidhiano ya ofisi na mtangulizi wake, Albart Chalamila ambaye uteuzi wake umetenguliwa. Amefika katika ofisi za mkuu wa mkoa leo saa 4:50 asubuhi na kupokelewa na wajumbe wa kamati ya amani...
  14. peno hasegawa

    JamiiForums Tanzania Baada ya serikali kupunguza bei ya kuunganishiwa umeme kuwa Tsh 27,000 Mkoa wa Kilimanjaro ofisi ya Tanesco mkoa yakabiliwa na upungufu " Surveyor"

    Baada ya Serikali kupunguza kulipia umeme Hadi 27,000 tanesco kwenye baadhi ya mikoa ,limeibuka tatizo la kukoseka kwa watumishi wanaojulikana kama ' surveyor, mfano kule Kilimanjaro ofisi ya tanesco mkoa ,kuna surveyor wawili, anaohudumia ofisi ya mkoa . Hii imechangia kuongezeka kwa...
  15. BABA Dillish

    JamiiForums Tanzania Nawejaze kuonana na Katibu Mkuu Ofisi ya Rais TAMISEMI?

    Wakuu naomba mrejeeTitle ya uzi Wangu huu mfupi sana. Binafsi nahitaji kuonana Na Katibu Mkuu Ofisi ya Rais TAMISEMI kwa muda muafaka na kwa uhakika zaidi juu ya ratiba zake za kikazi kabla sijafika . Naogopa usumbufu wa kufika Ofisini kwake na kupewa jibu la kutokuwepo kwake. Nia yangu ni...
  16. Mung Chris

    JamiiForums Tanzania Kampuni au ofisi inayofanya Marketing na Promotion

    Wana JF naomba kuulizia ni kampuni au ofisi ipi yenye uwezo wa kufanya Marketing na promotion ya bidhaa kama ya mafuta ya kula wawe wamesajiliwa na wana uwezo wa kutoa document za risiti, proforma invoice na delvery note. Promotion inatakiwa ifanyike Arusha, Dar, Kilimanjaro na Manyara kama...
  17. T

    JamiiForums Tanzania Mwandosya tuliambiwa asiye na Wizara maalum, Mkuchika kazi maalum. Kazi zipi hizo?

    Ninakumbuka Jk alipounda baraza lake la kipindi cha pili cha uongozi wake, alimteua pro. Mark Mwandosya akatuambia kuwa amemteua kama waziri asiyekuwa na wizara maalum. Sasa hivi tena ameteuliwa waziri Mkuchika ambaye tunaambiwa kuwa ni waziri kazi maalumu. Kwa uelewa wangu mambo yote ya...
  18. Area 56

    JamiiForums Tanzania Jeshi la Polisi Shinyanga lavamia eneo ambalo Mbowe alipanga kuweka jiwe la msingi wa ofisi ya CHADEMA

    Mapema leo, jeshi la polisi mkoani Shinyanga limevamia katika eneo ambalo Mwenyekiti wa Chama hiko alikuwa aweke jiwe la msingi ili kuzindua ujenzi wa ofisi za CHADEMA. My take: Nyani wapya msitu wa zamani
  19. jitombashisho

    JamiiForums Tanzania Hii kasi ya ujenzi wa ofisi za CHADEMA Nchi nzima tena kwa michango ya kawaida ya wanachama wao ni ya kupongezwa

    Ni kasi na mwitikio wa ajabu! Kusini hadi Kaskazini,Mashariki hadi Magharibi jamaa wanajenga kwa kujitolea kabisa tena ofisi zenyewe ni za kisasa kabisa. Jambo hilo si tu linashtusha bali pia ni muhimu lipongezwe!
  20. M

    JamiiForums Tanzania TRA ni SHIDA: Wavamia Ofisi hapa Viwandani

    Ninaambiwa kila siku TRA ni majambazi sijawahi kuamini. Leo wamevamia Kampuni moja hapa ITV, nimeshtushwa. Wameingia kama Majambazi na kufunga geti, wametoka na nyaraka pamoja na computer mpakato 4. Lengo sijui ni nini, ila hii inaogopesha sana. Hatuji tunaelekea wapi. TRA ni hida. Mama inabidi...
Back
Top Bottom