Tetesi: Mtumishi wa NSSF alilipwa milioni 26 za uhamisho akitokea HQ Posta kwenda ofisi za NSSF Kinondoni Dar

MPUNGA MMOJA

JF-Expert Member
May 30, 2015
304
401
Wakati wa uongozi wa aliyekua DG wa NSSF William ERIO NSSF ilijaa matumizi mabaya ya fedha za shirika mpaka kufikia kumlipa mfanyakazi sh milioni 26 za UHAMISHO akitoka makao makuu Posta akihamia ofisi ya Kinondoni DSM.

Maajabu kama haya unayapata nchi zenye mfumo wa hovyo katika Taasisi.
 
Mkuu Infantry Soldier, samahani nimeona hii nikakukumbuka 🤣🤣🤣
 
Wakati wa uongozi wa aliyekua DG wa NSSF William ERIO NSSF ilijaa matumizi mabaya ya fedha za shirika mpaka kufikia kumlipa mfanyakazi sh milioni 26 za UHAMISHO akitoka makao makuu Posta akihamia ofisi ya Kinondoni DSM.

Maajabu kama haya unayapata nchi zenye mfumo wa hovyo katika Taasisi.

Halafu milioni zetu fudenge hawataki kutoa mpaka ufikishe miaka 55 halafu wao wanapewa mili 26 kutoka posta hadi kinondoni wakati pale ukichukua fuso haizidi laki usafiri.
 
Ee bwana ee,
Hebu tulia weka mambo vizuri.
Tuwekee jina la huyo mtu tulale nae mbele

Back
Top Bottom