ofisi

  1. msovero

    JamiiForums Tanzania Waziri wa nchi, ofisi ya Rais-Tamisemi anavunja sheria za nchi mchana kweupe

    Mawaziri wote kwenye viapo vyao huwa wanaapa kuhifadhi, kuitetea na kuilinda katiba ya jamhuri ya muungano wa Tanzania. Kiapo hicho ni sheria na hupaswa kufuatwa kwa mtu yeyote anayepewa dhamana ya uwaziri kwani anakuwa anafanya kazi kwa niaba ya Rais wa nchi. Jambo la kushangaza badala ya...
  2. Ileje

    JamiiForums Tanzania Ofisi ya DPP ifumuliwe wanakula mishahara bure

    Rais Samia ana kila sababu ya kuivunja ofisi ya DPP na kuisuka upya kwa sababu imeshindwa kukidhi mahitaji ya Taifa na kuonyesha umahiri wake. Itakumbukwa kuwa Mbowe alikamatwa yapata mwezi mmoja na nusu uliyopita na kuunganishwa katika kesi ya ugaidi inayowakabili watuhumiwa watatu...
  3. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania CHADEMA kuongea na Waandishi wa Habari kwenye ofisi za Makao Makuu ya Chama

  4. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania Musoma: Polisi Wazingira ofisi ya CHADEMA kulikopangwa kufanyika kongamano la Katiba Mpya

    Hii ndio taarifa mpya inayosambaa duniani kwa sasa , kwamba Baada ya polisi kutumwa na RC kufanya usafi kwenye ofisi za Chadema , walipofika wakaizingira ofisi hiyo na kuiweka chini ya ulinzi na kuzuia kongamano hilo muhimu kufanyika . Mungu ibariki Chadema
  5. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania Rungwe: Wananchi Wahamasishana kuchanga milioni 100 kujenga ofisi ya Kata ya CHADEMA

    Wananchi wa kata ya Ndato wamekubaliana kwa kauli moja bila kujali itikadi zao kuchangia ujenzi wa Jengo hilo la kata la Chadema ambalo ndani yake kumepangwa kuwa na Maktaba ya kusomea wanafunzi wote wa kata hiyo. Diwani mstaafu wa kata hiyo, Mh Paulo Zambi ndiye aliyeandaa harambee hiyo...
  6. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania Mbarali, Mbeya: CHADEMA yaanza ujenzi wa Ofisi zake kila Kata

    Baada ya Ofisi ya Jimbo la Mbarali kuelekea mwisho mwisho kukamilika, Chama hicho sasa kimeanza ujenzi wa ofisi zake kila kata kwa kutumia nguvu ya umma. Nachukua nafasi hii kuipongeza Chadema Mbarali kwa uamuzi huu wa Maendeleo Mungu ibariki Chadema Swali: Unamkumbuka huyu dogo wa Mbarali?
  7. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Kenani Kihongosi: Jumatatu 16.8.2021 kuanzia saa 3 Asubuhi nitakuwepo ofisi za UVCCM Upanga Jijini Dar

    KATIBU MKUU WA UVCCM TAIFA NDUGU KENANI LABANI KIHONGOSI ATENGA MUDA WA KUSIKILIZA NA KUPOKEA MAONI NA USHAURI. KESHO JUMATATU 16.08.2021 SAA 3 ASUBUHI KATIBU MKUU WA UVCCM TAIFA NDUGU KENANI LABANI KIHONGOSI ATAKUWEPO OFISI NDOGO ZA UVCCM UPANGA DAR ES SALAAM VIJANA WOTE MNAKARIBISHWA SANA...
  8. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania Zambia: Ofisi za chama cha Edgar Lungu cha PF zaanza kushambuliwa na wananchi

    Hii ni baada ya Taarifa kuanza kuzagaa nchini humo kwamba Rais huyo anayemaliza muda wake kutoka chama cha Patriotic Front ameangukia pua . Edgar Lungu Rais aliyejipa utukufu wa kimungu kwa kupenda kuabudiwa kama walivyo Marais wengi duni wa Nchi za kiafrika, anayesifika kwa kuleta umasikini...
  9. MZALENDO TZ

    JamiiForums Tanzania Mara: Wawekezaji wakabidhi Jengo la Ofisi ya Serikali ya Mtaa kwa Joshua Nasari

    Bunda, Mara 08/08/2021. Siku ya Tarehe 8/8/2021 kundi la wadau wa maendeleo Mkoa wa Mara wanaoishi na kufanya kazi sehemu mbali mbali hapa nchini (Mara Investors) limekabidhi jengo kwa ajili ya ofisi ya Serikali ya Mtaa ili kusaidia huduma za kiutawala kwa wakazi wa mtaa wa Serengeti Kata ya...
  10. U

    JamiiForums Tanzania Nukuu ya Mzee Abdulhaman Kinana kwenye hafla ya kumkabidhi ofisi ya Ukatibu Mkuu mrithi wake Dkt Bashiru Ally Kakurwa

    Ilikuwa Juni 20,2018 kwenye hafla iliyoandaliwa na Watunga sheria kumuaga & kumkaribisha ( Abdulhaman Kinana & Dkt Bashiru Ally Kakurwa)
  11. peno hasegawa

    JamiiForums Tanzania Simu za maofisini (land line) hazifanyi kazi kwenye ofisi za Serikali na Mashirika ya Umma na Taasisi zake Tanzania

    Ninaandika mada hii kwa masikitiko makubwa sana,ofisi za umma,mashirika ya umma na taasisi zake tanzania hazitumia simu za land line ili kuwahudumia wananchi. Matokeo yake viongozi,watendaji wa serikali wanatembea na ofisi zao mifukoni mwao. Wawekezaji wanatafuta simu za maofisi wakiwa nje...
  12. Reginald L. Ishala

    JamiiForums Tanzania Ofisi za Zantel zinapatikana wapi Mwanza?

    Mwenye kufahamu ofisi za Zantel kwa hapa Mwanza anifahamishe. Kabla ya kuhamishwa zamani ilikuwa pale mataa mkabala na jengo la BOT. Nina Modem nahitaji wanipatie huduma fulani. Lakini pia nahitaji wanipatie special number. Natanguliza shukrani wakuu.
  13. M

    JamiiForums Tanzania Polisi yavamia na kuvunja ofisi za CHADEMA Dodoma na kupora nyaraka

  14. B

    JamiiForums Tanzania Matunguli au uchawi uliocha ofisini na mtangulizi wako unautoaje kuitakasa ofisi?

    Kuna watu wanapokea ofisi binafsi au ya umma kutoka mikononi mwa watu waliokuwa wanaamini ushirikina na ambao walikuwa wanapeleka wachawi na waaguzi kufanyia ibada zao ofisini. Ofisi kama hizi kiimani inaaminika hata Mwenye ofisi akiondok aidha kwa kuamishwa, kustaafu au kufa mizimu ile ubaki...
  15. S

    JamiiForums Tanzania Mnyika: Kuna njama zinasukwa na Ofisi ya Msajili wa Vyama vya siasa kuifuta CHADEMA

    Sio siri CCM wameivuruga CUF na kumuua Seif Sharif ila Maalim hakukubali kufariki baada ya siku tatu akafufukia ACT (Jesus of Zanzibar). Sasa baada ya kushindwa na Maalim Seif (Marehemu) CCM wamekusudia kuiuwa Chadema na kuivunja nguvu wakiamini ,uwanja wa siasa utakuwa mwepesi. Suali Je...
  16. B

    JamiiForums Tanzania Kurugenzi ya Sheria ofisi ya Rais msaidie Jaffar kuweka "citations" za sheria aliyotumia pale anapotekeleza majukumu yake, kuondoa utata wa press zake

    Press release za serikali ya Tanzania zimekuwa na story tu, zinakosa Jambo kuu ambalo ni msingi wa sheria pale hoja inapohusuJambo la kisheria. Rais anapofanya uteuzi Kuna sheria iliyompa hiyo mamlaka, lakini press zote hazina sheria inayoonyeshwa. Rais anapofuta umiliki wa ardhi au anapotengua...
  17. Idugunde

    JamiiForums Tanzania Kama hayati Magufuli alimtuma Ole Sabaya kudhibiti wahujumu uchumi, Je huu ulikuwa ujambazi au matumizi mabaya ya ofisi?

    Najua kuna wanaCHADEMA kindakindaki ambao kwao mwamba ni kama masihi wao wa kisiasa hapa Bongo. Tokea anigi'nie nyavuni wamekuwa wapole sana. Maana walidhani kuwa Sabaya kwenda lupando basi furaha yao ndio imejaa pomoni. Kwa sasa sakata la Sabaya kupandishwa kizimbani hawataki kusikia tena...
  18. Hance Mtanashati

    JamiiForums Tanzania Ofisi nyingi hazitaruhusu watu kuingia bila kuwa na chanjo

    Japo kwa sasa wanasema chanjo ni hiyari, lakini ninapenda kuwahakikishia huko mbeleni hakuna ofisi yoyote ya Serikali utakayoweza kuingia bila ya kuwa na kibali cha chanjo. Kwa namna moja au nyingine itatulazimu na sisi tusiotaka kuchanjwa tuchanje bila kupenda maana hatutakuwa na jinsi. Kwa...
  19. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Shaka ateta na Naibu Waziri ofisi ya Waziri Mkuu

    SHAKA HAMDU SHAKA ATETA NA NAIBU WAZIRI OFISI YA WAZIRI MKUU. Leo Ijumaa 23 Julai 2021 Katibu wa Halmashauri Kuu ya Taifa Ndugu Shaka Hamdu Shaka amekutana na kufanya mazungumzo na Naibu Waziri, Ofisi ya Waziri Mkuu anayeshughulikia Wenye Ulemavu Mhe. Ummy Nderiananga Ofisini kwake Makao Makuu...
  20. TTCL Customer Care

    JamiiForums Tanzania ZIARA: Waziri wa TEHAMA wa Rwanda, Paula Ingabire atembelea ofisi za TTCL

    ZIARA: Waziri wa TEHAMA na Ubunifu wa Rwanda Mhe. Paula Ingabire atembelea ofisi za TTCL ikiwa ni ziara ya kuimarisha Mahusiano katika sekta ya Mawasiliano na kukuza biashara...
Back
Top Bottom