Afghanistan: Mamia wajitokeza ofisi ya kutoa passport baada ya Taliban kutangaza kurejesha huduma

beth

JF-Expert Member
Aug 19, 2012
3,877
6,326
Siku moja baada ya kutangazwa kuwa Hati za Kusafiria (Passport) zitaanza kutolewa, mamia ya wananchi wamejitokeza katika Ofisi hiyo

Huduma hiyo ilisitishwa baada ya Taliban kuchukua madaraka mwezi Agosti, hali ambayo ilipelekea wengi waliotaka kuondoka Nchini humo kushindwa

Kwa mujibu wa UN watu takriban 500,000 wamekimbia makazi yao miezi ya karibuni, na idadi inatazamiwa kuongezeka ikiwa huduma muhimu kama Afya zitaendelea kudorora

OT3DOAG7KJIV5G6X52UZZO6XPU.jpg

ZR7U2BVMIFNUFHEORCYXCTSUK4.jpg


======

Hundreds of Afghans flocked to the passport office in Kabul on Wednesday, just a day after news that it would re-open this week to issue the documents, while Taliban security men had to beat back some in the crowd in efforts to maintain order.

Taliban officials have said the service will resume from Saturday, after being suspended since their takeover and the fall of the previous government in August, which stranded many of those desperate to flee the country.

"I have come to get a passport but, as you can see here, there are lots of problems, the system is not working," one applicant, Mahir Rasooli, told Reuters outside the office.

"There is no official to answer our questions here to tell us when to come. People are confused."

A spokesman for the Taliban officials running the passport department did not immediately respond to requests for comment.

Poverty and hunger have worsened since the Islamist movement took over Afghanistan, which already suffered from drought and the COVID-19 pandemic.

Half a million people have been displaced in recent months, the United Nations says, and the number will only grow if health services, schools and the economy break down.

Source: Reuters
 
Kuna siku afghanistan itabaki na raia 20000 tu kwa mtindo wao.

Serikali ya taliban kujiongeza hakuna utazani wapo miaka ya 1300.
 
Mbona wakati Marekani walikuwapo hao wananchi hawakutaka kuondoka nchini kwao?
unafuatilia habari kweli?

Kwa data za UN kuna wakimbizi 35,400 toka Marekani atangaze kuondoka Afghanistan.

Pia kuna wakimbizi milioni 6 toka Marekani aanzishe Vita 2001.

Fanya Mahesabu rahisi.

Wanaokimbia Taliban hawafikii hata asilimia 1 ya waliokimbia Marekani.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom