ofisi

  1. peno hasegawa

    JamiiForums Tanzania Mbunge wa jimbo la Hai ofisi ya CCM ulikochukulia na kurudishia fomu za Ubunge haifanani na hadhi yako

    Kichwa cha habari kinajitosheleza. Mh mbunge Saashisha Mafue mbunge wa Jimbo la Hai. Kwa masikitiko makubwa CCM inakushanga na inashindwa kukupima nafsi yako na ubora wa kazi yako pale ambapo ulichukulia fomu ya kugombea ubunge na kushinda uchaguzi huo hapafanana na wewe mbunge kijana wa CCM...
  2. Jamii Opportunities

    JamiiForums Tanzania Ofisi ya CAG yatangaza Nafasi za Kazi 104 kwa Kada mbalimbali

    Katibu wa Sekretarieti ya Ajira Katika Utumishi wa Umma kwa niaba ya Ofisi ya Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali anakaribisha maombi ya kazi kutoka kwa Watanzania wenye sifa na uwezo wa kujaza nafasi mia moja na nne (104) kama ilivyoainishwa katika tangazo hili.
  3. peno hasegawa

    JamiiForums Tanzania TAMISEMI:- Idadi kubwa ya walimu walio kuwa wamejificha kwenye Ofisi za Elimu Msingi, Sekondari na TSD ndani ya Halmashauri kutimuliwa hawako vituoni

    Idadi kubwa ya walimu waliokuwa hawana barua Za uteuzi kutoka Tamisemi , walipangiwa vituo vipya vya kazi hawajaripo kwenye vituo vyao vya Kazi vipya. Walioripoti kwenye vituo vipya walirudishwa tena kwenye Ofisi Za Halmashauri bila maelekezo kutoka Tamisemi. Source: TBC habari
  4. Njaa kali30

    JamiiForums Tanzania Huyu afisa elimu wa wilaya Songwe awajibishwe kwa matumizi mabaya ya ofisi

    Huyu afisa elimu ana mapungufu mengi nashangaaa kwanini Serikali inamucha mpaka leo amekuwa kero kubwa kwa watumishi anaowangoza mpaka basi.Mara kwanza alikuwa afisa elimu yule aliehamishiwa tabora naye alikuwa msumbufu balaaa. Lakini huyu alieachwa ana mapungufu balaaa na sijui hivi vyeo uwa...
  5. Anna Mwandosya

    JamiiForums Tanzania Kazi za Sensa: Fomu Na. 1 inakusanywa wapi kati ya ofisi hizi?

    Nimeomba kazi za sensa. Nimepata ile fomu namba 1. Je, ili fomu baada ya kusainiwa inakunywa ofisi za kata su serikali za mtaa?
  6. Tony254

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kampuni hii itaajiri Wakenya 4,000 pindi tu ujenzi wa ofisi yake utakapokamilika

    Kuna hii kampuni ya call centre na BPO inayojenga headquarters yake Kenya ndani ya Tatu city. Ujenzi utakapokamilika, wataajiri Wakenya 4,000 kufanya kazi ya call centre na BPO. Biashara hii ya BPO India na Phillipines ndio zimedominate. ========= CCI Global, the largest international...
  7. B

    JamiiForums Tanzania Rais, ikikupendeza irudishe TAMISEMI ofisi ya Waziri Mkuu; Waziri Mkuu Majaliwa atakusaidia zaidi ya ulivyo muundo wa sasa

    Mhe. Edward Lowasa alipokuwa Waziri Mkuu alikuwa msimamizi wa TAMISEMI na alitumia vyema nafasi hiyo kujijenga kisiasa na kuwa na network Kila Kona. Mzee Pinda na Mawaziri wengine wakuu waliowahi kuhudumu nchini awakufanya kama Mzee Lowasa. Lowassa alifanya vile Kwa sababu alikuwa amejipanga...
  8. K

    JamiiForums Tanzania Ofisi ya Mwendesha Mashtaka wa Serikali ifumuliwe, iondolewe jukumu walilozoea la kuahisrisha kesi hata pale ambao wanaona ushahidi umekamika

    Taifa linawatafuta akina Jaji Samata wa Leo Lakini awaonekani, tunatafuta wakina Waryoba no where to be seen. Nadhani makosa yanatokana na mfumo wa kupata majaji, mfumo wa kupandisha vyeo mahakimu na mfumo wa Mahakama kujitaftia Uhuru wake pamoja na mfumo wa kupandisha vyeo mawakili wa serikali...
  9. D

    JamiiForums Tanzania Ofisi ya Kurugenzi ya Mwendesha Mashtaka Nchini inafaa iundwe upya

    Hii ni moja ya ofisi au Taasisi nyeti Sana lakini inayoitia serikali aibu kubwa Sana. Ukiangalia kesi nyingi zinazoendeshwa na waendesha mashtaka wetu utaona yafutayo:- - nyingi serikali au jamhuri hushindwa kutokana na ushahidi mbovu. Kwa maana ya upelelezi wa kulipia lipua, au wa kubambika na...
  10. Bushmamy

    JamiiForums Tanzania Wenyeviti wa mitaa kutolipwa mishahara ndio chanzo cha Rushwa katika kutoa Huduma, na pia kukosa ofisi ya kufanyia kazi

    Wenyeviti wa serikali za mitaa, wamekuwa wakiweka mazingira ya Rushwa katika utendaji wao kwa madai kuwa wanafanya kazi ya bure na hakuna malipo yoyote wanayopata kutoka serikalini. Hali hii ni tofauti kutokana na kuwa kuna baadhi ya halmashauri wenyeviti wa mitaa wanalipwa na Halmashauri...
  11. Nyankurungu2020

    JamiiForums Tanzania Ofisi ya DPP na Mahakama zimegeuka vitovu vya Rushwa, wenye pesa ndio wanaachiwa na wasio na pesa wanaozea jela na mahabusu

    Sasa hivi ni rushwa na pesa yako ndio itakufanya usiende gerezani. Dpp na mahakama ndio imekuwa kitovu cha kuachia wenye pesa hata kama wanamakosa. Hayati JPM alidhibiti kabisa hii hali ya rushwa hasa mahakamani na ofisi ya Dpp. Dpp anafuta kila siku kesi za watu ambao ipo wazi kabisa wana...
  12. Kang

    JamiiForums Tanzania Google imeanza kuajiri ofisi yao mpya ya Nairobi

    Mda si mrefu uliopita Google walitangaza kufungua ofisi yao ya kwanza ya product development Africa jijini Nairobi, kazi ndo hizo engineers, UX experts, researchers mnaweza mkakamata! Google to set up first Africa product development centre in Nairobi Build for Everyone - Google Careers
  13. J

    JamiiForums Tanzania Kinana atembelea ofisi za Programu ya Urithi wa Ukombozi wa Bara la Afrika

    KINANA ATEMBELEA OFISI ZA PROGRAMU YA URITHI WA UKOMBOZI WA BARA LA AFRIKA. Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Tanzania Bara, Kanali Mstaafu Abdulrahman Kinana, ametembelea ofisi za Programu ya Urithi wa Ukombozi wa Bara la Afrika, na kujionea hatua mbalimbali zilizofikiwa katika...
  14. Q

    JamiiForums Tanzania Ofisi ya Msajili wa Vyama vya Siasa: Umoja Party hakijapata usajili wa muda. Anayetumia bendera, nembo au alama ya chama hicho anakiuka Sheria

    Marufuku mtu yoyote au taasisi kutumia jina, nembo, rangi na alama ya chama cha siasa cha "Umoja Party" hadi mchakato wa kupata usajili wa muda utakapokamilika.
  15. N

    JamiiForums Tanzania Ofisi ya Waziri Mkuu inachezea akili za wanetu mafunzo VETA kila MWaka

    Hawa watu wamekuwa na utaratibu wa kutangaza kozi zinazodhaminiwa na wao kupitia VETA na vyuo vingine hivi. Nilifikiri Ndalichako ataboresha lkn kama alivyokuwa Jensiter huyu mama pia ni hovyo tu. Kwenye Tangazo lao wanaoomba kujiunga hawatakiwa kuwa na Fomu za Hospitalini kucheki afya zao...
  16. Wilhelm Johnny

    JamiiForums Tanzania MSAADA KUNA ULAZIMA WA KUCHANGIA UJENZI WA OFISI ZA KISERIKALI

    Wakuu niko dodoma mjini hapa mitaa ya changombe kuna kijana anapita akichangisha fedha za kujenga ofisi ya serikali za mitaa anataka buku kila frame za kubeba matofali naomba kujuzwa nikimtimua kisheria ni kosa au maana buku ni ndogo ila hii serikali imeshatuona wananchi wake ni nyumbu kuna...
  17. MK254

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Visa yafungua ofisi yao ya kwanza Afrika, hapa hapa Nairobi

    Kainchi ka Kenya rasmi kamekua kitovu cha Afrika, hauwezi kufanya lolote kwenye hili bara bila kubisha hodi Kenya kwanza..... Kampuni kubwa duniani ya malipo imegundua hili na kuwekeza Kenya... ========================== Global digital payments giant Visa has opened an innovation studio in...
  18. Alfred

    JamiiForums Tanzania Huduma za internet kwa ajili ya ofisi

    Niaje wadau, nahitaji internet service providers kwa ajili ya shughuli za kiofisi. Ni kampuni gani iko vizuri na huduma zake ni nafuu! cc Chief-Mkwawa Extrovert kelphin kepph Behaviourist Asanteni.
  19. peno hasegawa

    JamiiForums Tanzania Baada ya walimu walio kuwa wamejificha kwenye Ofisi za Elimu Msingi, Sekondari na TSD ndani ya Halmashauri kutimuliwa sasa Idadi ya walimu Waongezeka

    Nianze kwa kumpongeza Prof Adolf Mkenda kwa kazi nzuri aliyoifanya Baada ya walimu walio kuwa wamejificha kwenye Ofisi za Elimu msingi, sekondari na TSD ndani ya Halmashauri kutimuliwa sasa Idadi ya walimu wa kufundisha madarasa ni Waongezeka. Hii ni baada ya malalamiko mengi kuandika Jf sasa...
  20. J

    JamiiForums Tanzania WanaCHADEMA waliobambikiwa kesi ya kuchoma moto ofisi ya chama Arusha wafutiwa kesi

    ..fuatilia hapa chini
Back
Top Bottom