nzuri

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Raia Mpenda Misifa: Ukiambiwa umefanana na mtu wa usalama usifurahie. Hiyo sio sifa nzuri. Unaweza ukadhurika kwa bahati mbaya (Mistaken Identity)

    Shikamooni wakubwa zangu wote wa hapa JamiiForums. Ndugu yangu; Mtanzania Raia Mpenda Misifa: Ukiambiwa umefanana na mtu wa usalama wa taifa usifurahie wala kuchekelea. Hiyo sio sifa njema hata kidogo. Unaweza ukadhurika au kuuwawa kwa bahati mbaya (Mistaken Identity); Huko mtaani mnapoishi...
  2. JamiiForums Tanzania GE2020 Sijauona ‘u-kibaraka’ wala ‘ubeberu’ kwa Lissu mpaka sasa

    Najaribu kuutafuta Ukibaraka wa Lissu siuoni. Nautafuta Ubeberu wake siuoni. Nampekua na namchimba zaidi ninachokiona ni kua Tundu Lissu ni Mzalendo wa Kweli na wa kuigwa. Eti oooh, anatumika na Wabeligiji, swali la kujiuliza hapa Je, Lissu alifikajefikaje huko Ubeligiji (Jibu Risasi zenu...
  3. JamiiForums Tanzania Software ipi nzuri kuhifadhi data na kurestore data pale computer inapocorruot ama window ku espire??

    Wakubwa, Natafuta software kwa ajili ya kuhifadhi data zikae kama mafile ya aina zote yakae humor ili siku labda PC vitu vikifutika bahati mbaya ama nikipiga window niitumie hiyo kurestore vitu vyote vya mwanzo kama kawaida. Natumia window 7 32 bit system. Pia nikiwa narestore data zote iwe...
  4. JamiiForums Tanzania Naomba ushauri: Simu gani nzuri ya Samsung kwa bajeti yangu

    Nataka kununua Simu. Naomba ushauri toleo gani zuri la Samsung. Bajeti yangu 300,000/= ~ 400,000/=. Nazingatia zaidi good camera na muonekano. Update Niliongeza pesa kidogo nikachukua Samsung A 51, nimeipenda ni nzuri. Asanteni.
  5. JamiiForums Tanzania Benki Gani Nzuri Kufungua USD acc na Vigezo Vipoje Wakuu...? Nipo Arusha.

    Heshima kwenu wakuu. Naulizia ni benki gani nzuri kufungua account ya USD na gharama au vigezo vyao vikoje au natakiwa kuwa na nini...? Zipi faida na hasara zake...? Inachukua muda gani kuwa tayari...? Ni kwa ajili ya kuingiziwa mshahara wanatulipa kwa dollar ila wanahitaji uwe na account...
  6. R

    JamiiForums Tanzania Car4Sale Mitsubishi Fuso Bus inauzwa bei nzuri

    Mitsubishi Fuso Bus inauzwa shiling Milion 52. Specification: -Mitsubishi Fuso Bus - Engine type : D17 - Millage : 110,000KM - Capacity: 47 Seat -Interior Condition : Grade A -Exterior Condition: Grade A Gari imeshalipiwa ushuru wiki moja imepita. Kwa Maongezi zaidi ni DM au tuma message kwenye...
  7. JamiiForums Tanzania Msaada Lodge nzuri maeneo ya Makumbusho Dar

    Wakuu msaada naomba kujua lodge nzuri maeneo ya makumbusho isiozidi 25,000 Jina.......... Bei............ Asante
  8. JamiiForums Tanzania Asanteni sana PSU chini ya TISS kwa kazi nzuri na iliyotukuka mlioifanya kwa huyo aliyekuwa 'mtoto mpendwa'

    Kuna Watu nakumbuka hapa hapa Jamvini JamiiForums GENTAMYCINE niliposema kuwa aliyekuwa 'Mtoto Mpendwa' wa Mkoa wa Dar es Salaam Mr. Taulo la Christina Linanikondesha hana chake tena katika Mfumo (System) ya nchi hii hawakunielewa na wapo walionihakikishia kuwa Baba yake hatomuacha na bado...
  9. JamiiForums Tanzania Ripoti ya benki ya Dunia inaonesha Zimbabwe ina nafasi nzuri kwa mazingira ya uwekezaji kuliko Tanzania

  10. JamiiForums Tanzania Basi gani luxury barabara ya Dar-Arusha?

    Wakuu habari. Nina safari ya kwenda Arusha siku ya Jumatano ama Alhamisi. Sasa naomba kujua basi ambalo ni luxury au basi semi luxury zuri lenye uhakika. Ni muda sijasafiri hiyo barabara, hivyo naomba kujua ni basi gari zuri na lenye huduma nzuri na zenye uhakika. Ahsante.
  11. JamiiForums Tanzania Oktoba 28 ni mashindano kati ya Reality vs Ahadi Hewa? Je, Watanzania watachagua nini kati ya visible, tangible Deliverables vs The Empty Promises?

    Wanabodi, Kama kawaida yangu, kila nipatapo fursa, hutoa zile makala zangu za "Kwa Maslahi ya Taifa", Watanzania tunajiandaa kwa Uchaguzi Mkuu wa rais, wabunge na madiwani hapo Oktoba 28, Watanzania tunakwenda kuingia kwenye uchaguzi uchaguzi wa 2020 ambao ni uchaguzi wa mashindano kati ya...
  12. M

    JamiiForums Tanzania Sehemu nzuri ninayoweza fanya biashara ya mitumba ya watoto Mbeya tofauti na Kabwe

    Habari wakuu naomba ushauri nataka kufungua biashara ya kuuza mitumba ya watoto mkoani Mbeya na sehemu nzuri ambayo ina mitumba mingi Ni kabwe Ila changamoto ni upatikanaji wa frame au meza kwa eneo hilo. Kwa wazoefu wa hii biashara mbeya je eneo gani lingine naweza fanya hii biashara kwa hapa...
  13. JamiiForums Tanzania Tetesi: Kilichomponza Balozi Adadi Rajabu hiki hapa

    Kama mtakumbuka, kipindi hiki cha miaka mitano ya utumwa ya bwana yule kulitokea upuuzi wa Polisi kukamatakamata watu hasa upinzani kipuuzipuuzi. Kuna siku Balozi Adadi alisimama bungeni na kueleza kuwa kilichokuwa kinafanyika ni uhuni na kwamba kuna taratibu zake za kumkamata mtuhumiwa na...
  14. JamiiForums Tanzania Je, kupotea kwa Makonda ni kazi nzuri ya kitengo kumpiga misinformation agombee Kigamboni ili kuliondolea taifa adha ya viongozi wa hovyo?

    Kama ni kitengo basi wamefanya kazi bora kabisa Najua kitengo wana uwezo mkubwa wa kipropaganda kumuaminisha mtu kuhusu jambo na kwamba watamsaidia kulifanikisha na ikibidi kumwambia kwamba sponsor yuko pamoja naye. Nadhani kwa makonda,kama wamefanya hivyo,basi wamefanya jambo bora kabisa...
  15. JamiiForums Tanzania GE2020 Serikali ya Marekani yaonya "Vitisho na mabavu dhidi ya upinzani si dalili nzuri ya Uchaguzi Huru Tanzania Oktoba 2020"

    MATAGA msidhani haya mambo yako gizani. Dunia nzima inayaona - tumieni walau hata asilimia 25% tu ya ubongo ili mpone na kiama ya dunia inayowajia Haya endeleeni tu lakini msijelalamika hatukuwaambia yakiwakuteni ya kuwakuteni!
  16. S

    JamiiForums Tanzania Nataka nianze kunywa pombe bia gani ni nzuri ya kujifunzia?

    Wana Chitchat habari ya mchana Kama kichwa cha habari kinavyojionyesha hapo juu, nataka nianze kunywa bia, kwa maana sijawahi kunywa pombe yoyote ile, sasa naomba mnishauri ni bia gani ambayo ni rahisi, na rahisi kwa kujifunzia kwa sisi 'beginners' Asanteni karibuni sana wana chitchat.
  17. JamiiForums Tanzania Hotuba za Mgombea urais kupitia CHADEMA ni nzuri sana, haziwezi katu kurushwa live!

    Kwa mnaofuatilia YouTube channel ya CHADEMA MEDIA TV utakubaliana nami, kila atakaposimama Lissu, unaona nyuso za tabasamu kwa wananchi. Wananchi wanakuwa wakimsikiliza kwa makini kana kwamba yeye ndiye Rais, hanunui jogoo wala hatoi zawadi kwa wananchi maskini lakini wote wanatabasamu. Kila...
  18. J

    JamiiForums Tanzania Benki nzuri kwa masuala ya Mastercard payments and refunds

    Napenda nianze kufanya manunuzi mitandaoni lakini NMB wamenikwamisha. Mimi ni mteja wa NMB lakini kadi zao za mastercard, hazina hiyo functionality naweza kusema. Nishajaza form yao wiki iliyopita ya kuniwezesha kununua mtandaoni (achana na form ya kulata Mastercard) lakini nikienda kujaribu...
  19. JamiiForums Tanzania Msaada wa dawa nzuri ya mafua/kikohozi kwa mama mjamzito

    wadau, Ninaomba ushauri wa dawa nzuri za mafua au kikohozi kwa mama mjamzito wa mimba ya week 37-38. Dalili ni; kikohozi kikavu kubanwa na kifua pua kuziba natanguliza shukrani zangu. regards.
  20. JamiiForums Tanzania Watanzania tumshukuru Mwenyezi Mungu kwa kutupatia Nchi nzuri na yenye kila kitu

    Tunayo mito, maziwa na bahari. Tunayo Madini ya aina karibu zote na mengine hayapatikani popote hapa Ulimwenguni. Raia tunaishi kwa amani na raha kabisa! Tumejaaliwa ustaarabu wa kiwango kisicho elezeka! Shime wana siasa yawapasa nyote muisaidie Nchi yetu kusonga mbele daima kwa kutumia...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…