Njia nzuri yakumuacha mtu unayempenda

Njia nzuri yakumuacha mtu unayempenda

Mshumaa_Tz

JF-Expert Member
Joined
Mar 20, 2020
Posts
681
Reaction score
2,503
Habari JF

Kuna binti niko naye kwenye mahusiano kwa kipindi kama cha miezi 3

Sasa kiukweli mimi nampatia vitu baadhi ambavyo viko katika ndani ya uwezo wangu takribani kama wiki 8 hivi.

Sasa Mimi huyu binti simpendi ila ndo hivyo kama mnavyojua mapenzi yanakuaga hayana Ujanja. Hivyo basi Mimi uyu binti ananipenda at the great extent lakini mimi bado na ile sitaki nataka.

Sasa naomba mnipe advice, njia bora yakuachana naye kimya kimya ili nisimuumize moyo.

Kitu cha mwisho sitaki kuweka maisha yangu kwenye hatari kwasababu huyu ni mtoto wa mtu Flani mzito Serikalini japo vitu vidogo vidogo nilikuwa nampatia.

NB: Nimeishi Mara 1 tu
 
Jipe muda. Mwambie kuna mambo yametokea yamevuruga kichwa changu kabisaaa, natamani nikaishi peke yangu kisiwani for a while. Naomba unipe muda nipate utulivu.

Atakuelewa tu.

Akisisitiza kutaka kujua wewe mwambie tu nipe muda nitulie.
 
Mpige kalenda mkuu kwamba uko busy au umesafiri punguza mawasiliano ila usiache kumtafuta japo Mara tatu kwa siku msipoonana kwa miezi mi3 atakubaliana na hali

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom