Tractor gani nzuri kwa biashara New Holland, John Deer au Massey Ferguson?

maase2020

Member
May 12, 2020
6
0
Wana bodi ? naomba ushauri nataka kuwanunulia ndugu zangu wasio na ajira na tegemezi kifaa cha kazi ambacho watafanyia biashara wajikimu na kirudishe hela yangu mapema with minimum risk, nimewaza kuhusu tractor cause nina access na tractor john deer ku nilipo zipo nyingi na nzuri ila sijui kama bongo spare zinapatikana kirahisi kwa sababu ,

Naomba mchango wenu kuhusu ipi bora 2 W au 4 * 4 ?

Pli engine size ipi zpo vizuri range from 55 HP to 105 HP ninafikiria 80 above?

Tatu Maeneo gani yana demand kubwa sana ya matractor na mashamba makubwa yapo?

For guiding tips kuna uwezo wa kuingiza millioni 5- 10 kwa msimu kama tractor nzima?
 
4 wd ni nzuri unalima hadi kwenye sehemu za matope! HP kuanzia 75 hadi 100 sio mbaya. Kwa upande wa Tractor Importer newholland ni nzuri sana ikiwa mpya ili ikianza kuchoka sio nzuri.

Massey ferguson ni nzuri kwasababu inahimili muda mrefu. Huo ni uzoefu wangu,naomba tuwasiliane tuongee mawili matatu +255753988935,+255653212417

Sent using Jamii Forums mobile app
 
4 wd ni nzuri unalima hadi kwenye sehemu za matope! HP kuanzia 75 hadi 100 sio mbaya. Kwa upande wa Tractor Importer newholland ni nzuri sana ikiwa mpya ili ikianza kuchoka sio nzuri. Massey ferguson ni nzuri kwasababu inahimili muda mrefu. Huo ni uzoefu wangu,naomba tuwasiliane tuongee mawili matatu +255753988935,+255653212417

Sent using Jamii Forums mobile app
Sawa ndugu number ipi inapatikana whatsup?
 
Kama ni john deer isiwe ya India. Kufuatana na ulichokiandika hapa nahisi hauishi Tz kwa sasa. Unaweza wachukulia hiyo jd ila uwe tayari pia kuwanunulia spare kutokea huko ulipo maana kwa hap bongo spare za jd adimu na wanaouza sasa bei wanaweka wanayotaka wao

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kama ni john deer isiwe ya India. Kufuatana na ulichokiandika hapa nahisi hauishi Tz kwa sasa. Unaweza wachukulia hiyo jd ila uwe tayari pia kuwanunulia spare kutokea huko ulipo maana kwa hap bongo spare za jd adimu na wanaouza sasa bei wanaweka wanayotaka wao

Sent using Jamii Forums mobile app

Ni kweli sipo Tz mpaka 2026 JD zipo nyingi sana Canada na bei sio mbaya kivileee
 
Basi jd inafaa pia, hp kuanzia70 mpaka 85. Kwa kazi za kulima inatosha sana na hata kubeba mizigo inafaa. Usimamizi wa trekta uwe wa hali ya juu sana bila hivyo matengenezo ya trekta ni gharama mno. Service kwa wakati(hasa oil change na greasing).

Shamba likaguliwe kabla ya kulima, mashamba yetu ni machafu sana kwa visiki na mawe makubwa yalioachwa. Sasa ukipita na kisiki kikubwa kama cha mpingo hivi utalia damage itakayotokea hapo if you are unlucky

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Basi jd inafaa pia, hp kuanzia70 mpaka 85. Kwa kazi za kulima inatosha sana na hata kubeba mizigo inafaa. Usimamizi wa trekta uwe wa hali ya juu sana bila hivyo matengenezo ya trekta ni gharama mno. Service kwa wakati(hasa oil change na greasing). Shamba likaguliwe kabla ya kulima, mashamba yetu ni machafu sana kwa visiki na mawe makubwa yalioachwa. Sasa ukipita na kisiki kikubwa kama cha mpingo hivi utalia damage itakayotokea hapo if you are unlucky

Sent using Jamii Forums mobile app
Ahsante sana kwa hii point ni muhimu sana, USIMAMIZI nadhani bora nikomae knye schemes za umwagiliaji mashamba ya mpunga
 
Bora uelekee huko kuliko kuwa na tractor la kulima vibarua. Hiyo biashara imepitwa na wakati. Ni bora ukawekeza huko ni biashara nzuri na endelevu.

Naongea kwa uzoefu
 
Wana bodi ? naomba ushauri nataka kuwanunulia ndugu zangu wasio na ajira na tegemezi kifaa cha kazi ambacho watafanyia biashara wajikimu na kirudishe hela yangu mapema with minimum risk, nimewaza kuhusu tractor cause nina access na tractor john deer ku nilipo zipo nyingi na nzuri ila sijui kama bongo spare zinapatikana kirahisi kwa sababu ,

Naomba mchango wenu kuhusu ipi bora 2 W au 4 * 4 ?

Pli engine size ipi zpo vizuri range from 55 HP to 105 HP ninafikiria 80 above?

Tatu Maeneo gani yana demand kubwa sana ya matractor na mashamba makubwa yapo?

For guiding tips kuna uwezo wa kuingiza millioni 5- 10 kwa msimu kama tractor nzima?
John deere, jon holland, masseu furgason; hizo zote mi takataka tuu achana nazo. zinakula sana mafuta.
Kamata kitu cha FARMTRACK mpwa. Kwanza unapata brand new na inalima hadi eka 21 kwa masaa 12. Mafuta zinakula lita 2 kwa eka moja.
 
Shukran sana

OTE="Anithape, post: 35467618, member: 520618"]
John deere, jon holland, masseu furgason; hizo zote mi takataka tuu achana nazo. zinakula sana mafuta.
Kamata kitu cha FARMTRACK mpwa. Kwanza unapata brand new na inalima hadi eka 21 kwa masaa 12. Mafuta zinakula lita 2 kwa eka moja.
[/QUOTE]
 
Hizo kweli takataka jon holland,masseu furgason.
 
John deere, jon holland, masseu furgason; hizo zote mi takataka tuu achana nazo. zinakula sana mafuta.
Kamata kitu cha FARMTRACK mpwa. Kwanza unapata brand new na inalima hadi eka 21 kwa masaa 12. Mafuta zinakula lita 2 kwa eka moja.
Ni kweli mkuu Farm track inazizidi MF, JD NH?
Vipi kuhusu Swaraj na Kubota?
Kwangu mimi bora JD au MF.
 
Hapa sijatumia john deere tu. Hizo zingine zote nimeshatumia. Nina miliki farmtrack mwaka wa nane huu. Naweza sema mf ndio lipo reliable zaidi ya trekta zote hapa ulizozitaja. Nh na ft hizo zinaweza karibiana. Ila nh nitaiweka juu ya farmtrack.

Kingine spare za ft zipo juu sana kulinganisha na nh au mf. Jd spare ni expensive zaidi ya ft.

Kingine ft hasa hizi heritage series ambazo ni 6075 model. Hazitaki mazoea yetu ya kupenda mteremko. Au yale mambo ya kusema mbona trekta flani huwa tunafanya hivi. Litakuumbua haraka sana. Lina mfumo wa umeme ambao ni sensitive sana. Mafuta machafu kidogo tu majibu yake unayapata siku hiyo hiyo. Zingua kubadilisha filters na oil. Humalizi mwaka litakupa majibu chap. Hujui matunzo ya turbo wala haikubembelezi inakupa majibu fasta.

Mwisho wa siku massey ferguson(mf), new holland(nh), john deere(jd) na farmtrack(ft). Hizo zote spare zinapatikana hapa hapa nchini na mafundi wanaweza kuzitengeneza. Trekta zote hizo zinataka huduma nzuri, zote zina ukomo wa uvumilivu. Usipoijali lazima ikupe msongo wa mawazo.

Karibu kwenye uwanja wa matrekta. Usiogope vitisho vya watu.
NB: kama biashara haina faida au hailipi mbona watu wanaendelea kuifanya!
 
Asante sana, huwa napenda sana elimu itokanayo na uzoefu (siyo kukalilishana kama elimu yetu ya kibongo ilivyo).

Nashukuru sana kwa details zako, nipo nacheli trekta hapa mambo yakiwa mazuri baadaye nami nitavuta langu. New Holland TN 80 F - Tractor - 2003 - 77 HP | E-FARM
 
Wana bodi ? naomba ushauri nataka kuwanunulia ndugu zangu wasio na ajira na tegemezi kifaa cha kazi ambacho watafanyia biashara wajikimu na kirudishe hela yangu mapema with minimum risk, nimewaza kuhusu tractor cause nina access na tractor john deer ku nilipo zipo nyingi na nzuri ila sijui kama bongo spare zinapatikana kirahisi kwa sababu ,

Naomba mchango wenu kuhusu ipi bora 2 W au 4 * 4 ?

Pli engine size ipi zpo vizuri range from 55 HP to 105 HP ninafikiria 80 above?

Tatu Maeneo gani yana demand kubwa sana ya matractor na mashamba makubwa yapo?

For guiding tips kuna uwezo wa kuingiza millioni 5- 10 kwa msimu kama tractor nzima?
Nikuuzie la kwangu New Holland 75hp 4WD, nilinunua mwaka juzi lakini nimeshindwa kulima.

If you are interested tuwasiliane
 
Asante sana, huwa napenda sana elimu itokanayo na uzoefu (siyo kukalilishana kama elimu yetu ya kibongo ilivyo).

Nashukuru sana kwa details zako, nipo nacheli trekta hapa mambo yakiwa mazuri baadaye nami nitavuta langu. New Holland TN 80 F - Tractor - 2003 - 77 HP | E-FARM
Nimelitazama hilo trekta, naona lina vikolombwezo vya ziada kidogo mle. Kama hutozingatia sana vitu vilivyo ongezwa kwenye hiyo trekta, hapa Tz pia unaweza pata new holland ya hp 70 ikiwa katika hali nzuri sana na kwa bei nzuri pia. Wapo wauzaji wengi sana wanauza trekta kwa sasa
 
Back
Top Bottom