Mwenye kalio kubwa sura ya kawaida VS hana kalio kubwa (pasi) sura nzuri...kapuku afu anajua kazi kazi au tajiri ila hajui chochote?

muneera75

Senior Member
Oct 12, 2019
190
318
Boys ..
Yupi we una mfeel sana just be honest
Mwenye kalio kubwa sura mbaya au ya kawaida tu..au yule hana kalio (pasi)ila sura nzuri

Girls
Yupi we unampenda sana?

Kapuku ila anajua kufanya mapenzi vizuri mpaka unachanganyikiwa? Au yule handsome,ana hela ila kufanya mapenzi kawaidaa yaan..yupi we unamfeel?
 
Sura na chura vyote vinajenga muonekano tu wa nje wa mwanamke ambao wanaume wote rijali tunatamani. Ila ukiongelea kupenda, hapa kuna vitu vingi sana tofauti na muonekano ambavyo vinatuvutia kupenda. Kwa mfano, mimi sipendi mwanamke kilaza. Hata ukiwa na sura ya kuchora plus tako kama mlima, nitakutamani tu kutii urijali wangu ila sahau kuhusu kupendwa. Kuna tofauti kubwa kati ya kupenda na kutamani.
 
Boys ..
Yupi we una mfeel sana just be honest
Mwenye kalio kubwa sura mbaya au ya kawaida tu..au yule hana kalio (pasi)ila sura nzuri

Girls
Yupi we unampenda sana..?
Kapuku ila anajua kufanya mapenzi vizuri mpaka unachanganyikiwa? Au yule handsome,ana hela ila kufanya mapenzi kawaidaa yaan..yupi we unamfeel??
Unaweza kuwa na kalio kubwa kumbe hata kulitumia hujui jamaa akila mzigo harudii tena, utawavutia wanaume lakini watakukimbia
 
Back
Top Bottom