Rais Magufuli: Mna sura nzuri, mmetisha

Rais Magufuli: Mna sura nzuri, mmetisha

Haha hata Zuchu aliitwa Chuchu,mzee aliyeleta jogoo alimpa mama yake,mama samia anampa motisha sababu ni mweupe,aliuliza Jokate mbona haolewi na ni mzuri.Mkuu wetu bila mada ihusuyo kwichi kwichi bado haijawa hotuba.

Unaweza kuta yupo kule kwenye uzi pendwa wa kula kimasihara.

Mungu ibariki Tanzania Yetu.
 
Dah ety kwenye uzi wa kula kimasihara
 
Chadema tuna kikao mkuu, ila hakuna aliyevaaa barakoa. Tumekubali Corona imeishaa
IMG_20200802_182641.jpg
 
Haha hata Zuchu aliitwa Chuchu,mzee aliyeleta jogoo alimpa mama yake,mama samia anampa motisha sababu ni mweupe,aliuliza Jokate mbona haolewi na ni mzuri.Mkuu wetu bila mada ihusuyo kwichi kwichi bado haijawa hotuba.

Unaweza kuta yupo kule kwenye uzi pendwa wa kula kimasihara.

Mungu ibariki Tanzania Yetu.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Back
Top Bottom