Hotuba za Mgombea urais kupitia CHADEMA ni nzuri sana, haziwezi katu kurushwa live!

PAZIA 3

JF-Expert Member
Jan 30, 2018
1,074
1,853
Kwa mnaofuatilia YouTube channel ya CHADEMA MEDIA TV utakubaliana nami, kila atakaposimama Lissu, unaona nyuso za tabasamu kwa wananchi.

Wananchi wanakuwa wakimsikiliza kwa makini kana kwamba yeye ndiye Rais, hanunui jogoo wala hatoi zawadi kwa wananchi maskini lakini wote wanatabasamu.

Kila anachozungumza Lissu ni ukweli mtupu ila inabaki kwa wapinzani wake kuukataa ukweli.
 
Kizuri chajiuza na kibaya chajitembeza
 
Hotuba za kusema Tanzania kuna korona huku nae akiwa hana barakoa, hakai umbali wa mita moja.. Kama ipo si atulie kwake huko.. mbona vyama vyengine havisemi hivyo..? Huko ni kutafuta Kiki tu...

Halafu hotuba za kuisema serikali tu ni hotuba au michambo!
Hawezi mwaga sera zake bila kuitaja CCM au kumtaja Rais.. Sasa unapiga kampeni kwa kupaka tope wengine ili.. kwanini asisimame kwa hoja zake tu mpaka aponde ni Kama vile mtu mwenye kisasi!

Hizo hotuba zake zimejaa uchambaji tu na ndio maana vyombo vya habari vinamkimbia.. kwanini kina Membe hawakimbiwi..? Huyu mshikaji anatafuta tu huruma ya watu.. siasa Tanzania hazijaanza leo huo Uhuru wa kuchamba hawezi upata na kama Uhuru wa habari ndio upo hivyo basi kazi ipo!!..

Mbona mwenyekiti wake hupewa kipaza sauti hata kwenye sherehe za kitaifa na huwa hateti kama yeye!.. yule anakaa la moto mdomoni.

Nakubali Lissu anazo hoja za mashiko kabisa ila tatizo uwasilishaji wake tabu tupu.. atulie ajue anasema nini kwa lugha ipi na kivipi hoja anazo tatizo wenge Sasa
 
Ukienda kanisani au msikitini lazima tu utamsikia mchungaji au sheikh akimtaja shetani...hilo haliepukiki. Unataka asiitaje CCM kwani mpinzani wake ni nani? Atamwagaje sera zake bila kutaja ubaya wa sera za aliyepo madarakani?
Hotuba za kusema tz kuna korona huku nae akiwa hana barakoa,hakai umbali wa mita moja.. Kama ipo si akatulize mmbichwa wake kwake huko.. mbona vyama vyengine havisemi hivyo..? Huko ni kutafuta Kiki tu..
Halafu hotuba za kuisema serikali tu ni hotuba au michambo!
Hawezi mwaga sera zake bila kuitaja ccm au kumtaja rais.. Sasa unapiga kampeni kwa kupaka tope wengine ili.. kwanini asisimame kwa hoja zake tu mpk aponde ni Kama vile mtu mwenye kisasi!.
Hizo hotuba zake zimejaa uchambaji tu na ndio maana vyombo vya habari vinamkimbia.. kwanini kina membe hawakimbiwi..? Huyu mshikaji anatafuta tu huruma ya watu.. siasa tz hazijaanza leo huo Uhuru wa kuchamba hawezi upata na kama Uhuru wa habari ndo upo hivyo basi kazi ipo!!..

Mbona mwenyekiti wake hupewa kipaza sauti hata kwenye sherehe za kitaifa na huwa hateti kama yeye!.. yule anakaa lamoto mdomoni.

Nakubali lissu anazo hoja za mashiko kabisa ila tatizo uwasilishaji wake tabu tupu.. atulie ajue anasema nini kwa lugha ipi na kivipi hoja anazo tatizo wenge Sasa..😅
 
Ukienda kanisani au msikitini lazima tu utamsikia mchungaji au sheikh akimtaja shetani...hilo haliepukiki. Unataka asiitaje CCM kwani mpinzani wake ni nani? Atamwagaje sera zake bila kutaja ubaya wa sera za aliyepo madarakani?
Ukitaka twende kwa mifano hiyo Basi pia ni halali kumtongoza mke wa mtu kwa kusema mabaya ya mume wake..!

Hapa hatuzungumzii dini maana kwenye dini huyo shetani ni adui.. Sasa kwenye siasa mbona hata wao waliyachanganya 2015 lowasa walimteta hapo kabla Kama ni fisadi lkn alipohamia kwao wakamsafisha na kumpa nyadhiza kubwa ya kugombea urais!.. Sasa ipi ilikuwa mantiki yao ya kuupigia kelele ufisadi Kama baadae wakaja kumkumbatia fisadi..??

Kikubwa sio tu kuisema serikali ya ccm bali unaisemaje..? Yeye amekomalia kila siku ccm na rais!.. Sasa wenyewe ccm wamseme nani..?

Hotuba zake zielekee zaidi kutatua shida tulizonazo kama taifa na sio kila siku kutuhubiria ccm.. kwani anafanya kampeni kwaajili ya ccm au ya taifa..?
Ccm kachukua nchi kafanya yake hata Kama ni kuikosoa si kwa michambo.. tz siasa hazijaanza leo na kuikosoa serikali hakujaanza leo achunge kauli zake namna ya ukosoaji ambao Mimi nauita ni uchambaji.
 
Hotuba za kusema Tanzania kuna korona huku nae akiwa hana barakoa, hakai umbali wa mita moja.. Kama ipo si atulie kwake huko.. mbona vyama vyengine havisemi hivyo..? Huko ni kutafuta Kiki tu...

Halafu hotuba za kuisema serikali tu ni hotuba au michambo!
Hawezi mwaga sera zake bila kuitaja CCM au kumtaja Rais.. Sasa unapiga kampeni kwa kupaka tope wengine ili.. kwanini asisimame kwa hoja zake tu mpaka aponde ni Kama vile mtu mwenye kisasi!

Hizo hotuba zake zimejaa uchambaji tu na ndio maana vyombo vya habari vinamkimbia.. kwanini kina Membe hawakimbiwi..? Huyu mshikaji anatafuta tu huruma ya watu.. siasa Tanzania hazijaanza leo huo Uhuru wa kuchamba hawezi upata na kama Uhuru wa habari ndio upo hivyo basi kazi ipo!!..

Mbona mwenyekiti wake hupewa kipaza sauti hata kwenye sherehe za kitaifa na huwa hateti kama yeye!.. yule anakaa la moto mdomoni.

Nakubali Lissu anazo hoja za mashiko kabisa ila tatizo uwasilishaji wake tabu tupu.. atulie ajue anasema nini kwa lugha ipi na kivipi hoja anazo tatizo wenge Sasa
Tuliza mshono maisha yasonge wewe taga
 
Wewe ni mchochezi na huna leseni toka TCRA.. nakupiga faini ya Bil 10
Kwa mnaofuatilia YouTube channel ya CHADEMA MEDIA TV utakubaliana nami, kila atakaposimama Lissu, unaona nyuso za tabasamu kwa wananchi.

Wananchi wanakuwa wakimsikiliza kwa makini kana kwamba yeye ndiye Rais, hanunui jogoo wala hatoi zawadi kwa wananchi maskini lakini wote wanatabasamu.

Kila anachozungumza Lissu ni ukweli mtupu ila inabaki kwa wapinzani wake kuukataa ukweli.
 
Ana uwezo mkubwa wa kushawishi, anajua kuongea presidential material. Ndio maana wamezuia vyombo vya habari kurusha habari zake, atamaliza kampeni kabla kampeni hazijaanza
Tumejipanga, kila anapoongea makamanda watarekodi kwenye simu zao na kurusha you tube na Chadema in blood Facebook.
 
Yamesha nyoosha mikono baada ya kiboko yao kuyashinda mauti
Acheni utani Tundu Lissu anatisha. Ni nani ashawahi kuchukua Mic na kusema hadharani tena zaidi ya mara moja kuwa "Magufuli asituone wajinga" isipokuwa Lissu? Nani ashawahi kusema hadharani kuwa Magufuli ni mbinafsi na kajenga uwanja wa ndege kijijini kwakwe na kufuga wanyama pori kwake isipokuwa Lissu? ( naamanisha hadharani na sio bungeni wala kwenye mitandao. Lissu akiongea tu mara moja TCRA, Abbas, Msigwa, Polepole, Kichaa Musiba, TBC, wakuu wote mikoa na wilaya pomoja na Kafulila (Tumbili) wanahaha kujibu lakini mwisho wa siku wooote wanajikuta wametofautiana. Yaani wanachanganyikiwa wanakurupuka tu.
 
Tumejipanga, kila anapoongea makamanda watarekodi kwenye simu zao na kurusha you tube na Chadema in blood Facebook.
Jamaa anavutia kumsikiliza. Muwe mnatuma humu tumsikilize. Pia hakikisheni viongozi wenu na wanachama wenu na wapenda demokrasia wanashare hizi hotuba kwenye social media zao ambazo zina followers wengi.
 
Back
Top Bottom