nzuri

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. T

    Wataalamu: Bangi sio salama kwa moyo wa binadamu

    Wataalamu na watafiti nchini Marekani wameonya wavuta bangi kua sio salama kwa moyo wako. Chama cha madaktari wa Moyo Marekani wamesema uvutaji bangi sio salama kwa moyo wa binadamu, hivyo kabla hujaanza kuvuta bangi shauriana kwanza na wataalamu wa afya. Weed is not good for your heart...
  2. T

    Sehemu nzuri ya kufungua Car Wash kwa hapa Dar es Salaam

    Wazee natafuta sehemu nzuri ya kufungua Car wash hapa Dar. Mwenye wazo/eneo zuri tafadhali.
  3. Rais Magufuli: Mna sura nzuri, mmetisha

    Dah! Hii sijui ndo linaitwa tamasha la mwanamke wa nguvu... Rais Magufuli naona aliwavutia waya na kuongea nao mubashara. Ni tamasha la wanawake wa CCM au nonpartisan event?
  4. Uhuru Kenyatta jirani mwema, atupenda Watanzania, amkubali sana JPM. Asisitiza upendo, umoja na ushirikiano kati Wakenya na Watanzania tujenge EAC 1

    Wanabodi, Kila nipatapo fursa, huwa ninaandika kitu kupitia safu yangu ya "Kwa Maslahi ya Taifa" zenye kuhimiza patriotism kwa Watanzania kuwa wazalendo kwa taifa letu, kwa kutanguliza mbele maslahi ya taifa. Pia niliwahi kusisitiza humu kuwa unaweza kuchagua marafiki lakini huwezi kuchagua...
  5. Dar es Salaam ya Kunenge ni raha sana

    Niwe mkweli nimpongeze RC Aboubakar Kunenge Mkuu wa mkoa wa Dar Es Salaam ambaye ni mwenyekiti wa kamati ya ulinzi na usalama kwa kuruhusu wana CHADEMA na wafuasi wao kumpokea Makamu Mwenyekiti Mh.Tundu Lisu.. Niwapongeze wanachadema kwa utulivu wao wote kwa kipindi chote walichokuwa...
  6. Hizi kozi za uongezaji thamani madini naona kama ni nzuri sana

    Kituo cha Jemolojia Tanzania (TGC) ni Kituo cha Serikali chini ya Wizara ya Madini, Kinatoa mafunzo na huduma mbalimbali katika fani za uongezaji thamani madini. Kituo kinatangaza nafasi za mafunzo ya muda mrefu ngazi ya stashahada katika fani madini ya vito na usonara (Diploma in Gem...
  7. Ni ipi njia nzuri ya kupunguza uvutaji wa sigara?

    Hallo wakuu, na imani mpo salama kabisa time hii. Samahani naomba kuuliza kwenye uelewa wa swala hili. Ni hivi tangu nikiwa advance level nilikuwa napenda sana na kuvutiwa na cigarette, lakini kutokana na mazingira ya school zetu hizi za boarding nikashindwa kufanya nachotaka na ninachopenda...
  8. Tarehe 20/07/2020 sitaisahau, mbaya kwa watia nia nzuri kwangu

    Wakuu natumaini mko salama Niende moja kwenye mada. Tarehe 20/07/2020 ilikuwa mbaya sana kwa watia nia hasa Kigamboni. Nami upande wangu kabla jua halijazama ilikuwa mbaya sana. Kwanza kabla ya hapo COVID-19 ilikuwa imeniathiri, nilikatwa mshahara ili kuwasaidia watu wa chini yangu nao wapate...
  9. K

    Maoni yako kwa ufaulu huu akasome kozi gani nzuri Chuo?

    Mdau wa JF hebu to maoni yako kwa ufaulu huu akasomee kozi gani nzuri chuo? History=C Biology=C Chemistry=C English=C Civics=C Kiswahili=C Geography=D Math=F Division I I I. 22. Form Four 2019 Tumpe ushauri tafadhali
  10. GE2020 Wingi wa wagombea CCM ni uthibitisho kazi nzuri ya Rais Magufuli kwa taifa letu. Je, Oktoba ni kuchagua au kuthibitisha tu taratibu?

    Wanabodi, Tunapoelekea kwenye hatua ya kwanza ya uchaguzi kwa uchukuaji wa fomu za kugombea kwenye vyama vya siasa, kumejitokeza, uwingi wa mkubwa, wa wagombea kupitia CCM. Huu ni uthibitisho wa kazi kubwa na nzuri iliyofanywa na Rais, Dr. John Pombe Joseph Magufuli na awamu yake ya 5, na...
  11. T

    GE2020 Hesabu nzuri inachezwa - Wapinzani kupata zaidi ya 50% ya Wabunge

    Nimempenda sana Membe. Ukweli nakipenda sana Chama changu cha Mapinduzi yaani CCM. Lakini pia sioni ubaya wa upinzani na zaidi Membe kanibadilisha. Nilikuwa nikimpalilia mno Tundu Lissu lakini kwa sasa ni Benard Membe na Tundu Lisu ndiyo wanashindania kura yangu. Ninajua sana kuwa ni kura moja...
  12. Roho nzuri ilivyomtajirisha mtu aliyempenda kuhudumia Mteja mwenye roho mbaya aliyesuswa na wahudumu wote

    Kuna watu hususa kuhudumia wateja wakorofi na wenye roho mbaya Huyu mhudumu alijikuta akipata utajiri kwa kuhudumia mteja mwenye roho mbaya.Kuna la kujifunza kwa wahudumia wateja
  13. House4Sale Njoo nikujengee nyumba ndogo flat ya makazi au biashara, nakupa na bajeti yake

    Wakuu mko salama! Ninaweza kukujengea nyumba kama utanipa ramani au nitakupa mimi ramani pamoja na kukuandalia bajeti kwa kila hatua. kuanzia msingi mpaka finishing. Nikisema flat nina maana ya kujenga nyumba ambayo siyo ghorofa bali ni single roofing, isiyo na many floor. Mfano nina design...
  14. GE2020 Rais Magufuli azungumzia wapinzani wanaohamia CCM na kupewa kipaumbele cha uongozi na kugombea

    Rais Magufuli akijibu swali la Sojo, MNEC kutoka Songwe aliyesema kwamba ametumwa na wanasongwe kuwasemea kuwa wanasononeka pale ambapo wapinzani wanapohamia CCM na kupewa kipaumbele cha uongozi na kuwaacha wanachama ambao walikipigania chama kufa na kupona 2010-2015, wanavunjika moyo wanapoona...
  15. Ni simu gani nzuri nayoweza kununua kwa bajeti ya 150,000/=

    Poleni na mapambano ya kila siku, naomba mapendekezo ya simu nzuri ya smart ninayoweza kununua kwa budget ya 150,000/=
  16. Sehemu gani nzuri ya maombi Arusha

    Wakuu Naomba kuuliza kwa hapa Arusha wapi tutapata Nabii, Padre atakaeweza kuombea mtu na akapona shida yake. Asante
  17. J

    Wadau kitimoto nzuri napata wapi Dar?

    Wadau naomba tushare sehemu nzuri kwa hapa Dar ambazo zinawapishi wazuri wa kitimoto tuweze kuwa tuna badili viwanja. Majina ya sehem na location itapendeza zaidi. -------- Pitia link hizi Walaji wa kitimoto tujuzane kijiwe kipi kizuri kwa hapo ulipo Tujuzane machimbo yetu pendwa ya nyama ya...
  18. Wakuu sogeeni mjionee finishing nzuri katika nyumba zenu

    Nashugulika na urembo wa Mouldings katika nyumba kama ionekanavyo hapa. Nipo DSM na nafanya kazi popote alipo mteja. karibuni sana 0719999526
  19. K

    Msaada kwa ufaulu huu unaweza kusomea kozi gani nzuri

    Civics=C History=C. Biology=C Chemistry=C English=C. Kiswahili=C. Geography=D. Math=F. Div(III) point 22. 2019. Ushauri wenu muhimu wadau katika kufanya maamuzi
  20. Course Gani nzuri kusoma kuanzia Certificate kwa matokeo haya?

    Mdogo wangu amemaliza kidato cha nne na kupata DvsnIII 25 CIVICS - 'C' HISTORY - 'C' GEOGRAPHY - 'C' KISWAHILI- 'C' ENGLISH - 'D' BIOLOGY - 'D' B/MATH - 'F' tukasubiria labda anaweza kupata selection ya Advance lakin hajachaguliwa, baada ya kushindikana hapo tukaona bas sio vibaya ikiwa ataenda...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…