Hizi kozi za uongezaji thamani madini naona kama ni nzuri sana

Red Giant

JF-Expert Member
Mar 9, 2012
15,658
20,889
Kituo cha Jemolojia Tanzania (TGC) ni Kituo cha Serikali chini ya Wizara ya Madini, Kinatoa mafunzo na huduma mbalimbali katika fani za uongezaji thamani madini. Kituo kinatangaza nafasi za mafunzo ya muda mrefu ngazi ya stashahada katika fani madini ya vito na usonara (Diploma in Gem and Jewellery Technology) na muda mfupi katika fani za ukataji na ung’arishaji madini ya vito(Lapidary), Sayansi ya madini ya vito(Gemmology), usonara (jewellerydesign and jewellery manufacturing)

Fungua document kusoma zaidi
 

Attachments

  • Tangazo-la-nafasi-za-mafunzo-TGC-2019-2020-with-Ada.pdf
    217.8 KB · Views: 48
Back
Top Bottom