SUV gani nzuri kwa Milioni 40?

Duksi

JF-Expert Member
Mar 20, 2019
217
526
Baada ya kupambana na toyota/mjapani kwa muda mrefu (tunajua anasaidia kujenga barabara zetu lakini yeye pia anapata $$ $ za kutosha kutoka ununuzi wa magari yake).

Ni wakati wa kuabdili upepo na kujaribu wazungu haswa ulaya. Wajuvi hebu mtusaidie ni SUV gani nzuri kwa matumizi ya kawaida mazingira ya mjini Tz, kwa kuzingatia vigezo vya ubora wa chombo, gharama nafuu za matunzo na uendeshaji.

Kwa haraka haraka kuna muingereza na discovery, merkel na VW toureg (diesel), BMW, Audi Q5 na wengine...

Maoni tafadhali.
 
 
Baada ya kupambana na toyota/mjapani kwa muda mrefu (tunajua anasaidia kujenga barabara zetu lakini yeye pia anapata $$ $ za kutosha kutoka ununuzi wa magari yake)...
Audi Q5, kama ni mtu wa speed, hapo umefika haswaaa
 
Baada ya kupambana na toyota/mjapani kwa muda mrefu (tunajua anasaidia kujenga barabara zetu lakini yeye pia anapata $$ $ za kutosha kutoka ununuzi wa magari yake)...
Kama ni muumini wa Toyota anza na Vanguard 2010, Harrier 2010, na Rav 4 2010. Unaweza ku opt Ford Escape 2012, VW Tiguan, BMW X5
 
Kwa mimi naona Volvo XC60 na XC90 ni nzuri sana kwa ulaji mdogo wa mafuta
Ila pia ukitaka smoothest drive ni Hyundai Santa Fe au Range Rover kwa safari ndefu raha tupu
Ila ongeza dau

nimescreenshot hii msg nataka niangalie hiyo volvo ina features gani nitafutie hela this year...si haili sana wese ?
 
This is the best SUV hasa kwa barabara zetu za kiafrica

DB5ECF16-AAB9-490F-B73E-D5DBA7E66FC3.jpeg
 
Back
Top Bottom