Msaada: Kupata Idea nzuri kwa ajili ya Title project

Top gun maverick

JF-Expert Member
Dec 10, 2017
2,018
2,599
Habari za asubuhi, naenda straight to the point Niko mwaka wa mwisho nachukua Multimedia Technology and Animation. Nilikuwa naomba kupata idea nzuri ambayo inaweza ikawa tatizo katika jamii yetu ya sasa.

Ili niwe kudemostrate kwa kutumia 2DAnimation au Content Development maana niliweza kufikiria title kuhusu kutengeneza Animation inayo husu Title Covid-19, imekataliwa Jana.

Maoni yako ni muhimu kwa Faida ya Taifa kwa Ujumla Asante.
 
Project tittle.
“ The use of innovative methodology (multimedia technology) in increase teaching and learning process in secondary education in Tanzania.

Haya chambua hapo upate heading nzuri au project tittle
 
Project tittle.
“ The use of innovative methodology ( multimedia technology) in increase teaching and learning process in secondary education in Tanzania.

Asante mkuu,
 
Ila hii itabase Kwenye content development in instructional design na sio animation.
 
Na jana tiyari kuna watu walishapita na hii mkuu.
 
Jinsi TRA inayochangia kudumaza au kuharibu biashara za wafanya biashara.

Hiyo ndo title jiongeze maswali mengine ni tshs 200,000/=
 
Na jana tiyari kuna watu walishapita na hii mkuu.

Duh! Afu hiyo tittle naona sio unique sana.
Ila title hata zikifanana haina shida isipokuwa
Atafute “ problem statement” nzuri and unique kutoka kwenye heading
 
Tengeneza content yenye animation inayohusu au inayoelezea chuo chenu yale infrastructures zote apo chuoni kiasi kwamba itawasaidia wageni wakifika chuo app
 
Project tittle.
“ The use of innovative methodology (multimedia technology) in increase teaching and learning process in secondary education in Tanzania.

Haya chambua hapo upate heading nzuri au project tittle
Nilitaka kumshauri similar na hii kitu...
"Paradigm shift, Adoptation of alternative ict based teaching methodologies in secondary schools"

Paradigm shift,: Post Covid 19-Adoptation of alternative ict based teaching methodologies in secondary schools in tanzania"

Humu sasa unaweza kutoa various easy to manage options, kwa mfano the use of animation kudemonstrate teaching learning process, ukabandikizia na matumizi ya vikorokoro kama padlets, google forms, online meeting platforms, edpuzzle ama chochote utalachoona kinafaa...
Ila michakato yote hiyo vikaragosi vyalo ndio vinakuwa vinapiga pindi kwa namna isiyochosha na bunifu
 
Habari za asubuhi, naenda straight to the point Niko mwaka wa mwisho nachukua Multimedia Technology and Animation. Nilikuwa naomba kupata idea nzuri ambayo inaweza ikawa tatizo katika jamii yetu ya sasa.

Ili niwe kudemostrate kwa kutumia 2DAnimation au Content Development maana niliweza kufikiria title kuhusu kutengeneza Animation inayo husu Title Covid-19, imekataliwa Jana.

Maoni yako ni muhimu kwa Faida ya Taifa kwa Ujumla Asante.
Mfano kutengeneza content juu ya mfumo wa kidigitali wa kusaidia parenting kwa kids au youth, kumonitor movements au kusimamia ratiba mliyojiwekea na mtoto/kijana.
 
Ila hii itabase Kwenye content development in instructional design na sio animation.
Kwanini usiigeuze, ukaperuzi hizo mbinu alizoshauri jamaa ni zipi, halafu uwasilishaji wake ukazitengenezea stori ya animation
 
Hahaaaa kwa kuangalizia hivi kweli tukihitimu tutaweza kujiajiri kweli

Back
Top Bottom