Msaada kuhusu rangi nzuri ya picha kwenye hisense Tv vidaa

kamikaze

JF-Expert Member
Jan 25, 2011
312
500
Ndugu wana jamvi kama thread inavyojieleza,
Naomba mdau ambaye anatumia au ameishawahi kutumia tv aina hii, naomba aniambie mchanganyiko mzuri wa rangi
ili niweze kupata picha nzuri katika hisense vidaa 55''
Naomba mchanganyiko wa rangi, kwa mfano
Picture mode nichague ipi kati ya hizi-Standard, Dynamic,Natural,Theatre
Brighteness niweke namba gani ? mfano 47,48, 50 nk
Contrast niweke namba ngapi?
Color niweke namba ngapi?
Backlist niweke on au off?
Advanced picture setting niset vp?

Natanguliza shukrani kwa yeyote atakae nisaidia kwenye hili.
 

Samcezar

JF-Expert Member
May 18, 2014
9,451
2,000
Hizo Tv za hiyo kampuni ukishakaaa nayo baada ya muda inaanza kupoteza ubora.
 

masafi

JF-Expert Member
Aug 4, 2015
545
500
Mimi nikishaona tv inauzwa kila kona najua hamna ubora. Tembelea instagram kila mtu anauza tv za hisense nikajiuliza mbona zinauzwa sana kuliko lg na samsung baadaye nikajua tu hamna kitu hizi tv.
 

Chief-Mkwawa

Platinum Member
May 25, 2011
25,960
2,000
Hivi mkuu ubora wa TV huwa unapimwa kwa kitu gani?
Kikubwa kabisa quality ya kioo, mengine ni ziada tu.

Una Angalia
-tech ya kioo kama ni led, lcd, plasma, Qled, oled, mini led, micro led etc
-resolution ya kioo kama ni HD, full HD, 4k, 8k etc
-tech za ziada kama HDR 10, HDR ya kawaida, Dolby vision etc.
 

Behaviourist

JF-Expert Member
Apr 8, 2016
34,831
2,000
Kikubwa kabisa quality ya kioo, mengine ni ziada tu.

Una Angalia
-tech ya kioo kama ni led, lcd, plasma, Qled, oled, mini led, micro led etc
-resolution ya kioo kama ni HD, full HD, 4k, 8k etc
-tech za ziada kama HDR 10, HDR ya kawaida, Dolby vision etc.
Shukrani mkuu.Vipi kuhusu yale mambo ya refreshing rate?
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom