Laptop nzuri ni ipi? Nataka ya Tsh. 400,000

ngotho

Senior Member
Jun 18, 2021
119
225
Wakuu nawasalimia kwa jina la Yesu

Wale wenzetu waislamu salaam aayqum.

Wakuu ivi kwa mtu anayesomea Bachelor of Science in Business Information Technology anafaa awe na PC gani?

Budget yangu ni 400,000/= je naweza kupata inayoendana na kozi yangu hiyo?

Naombeni ushauri.
 
mathsjery

JF-Expert Member
Sep 26, 2015
1,969
2,000

Tembea na mtumba wa aina hiyo hapo kwa Mkwawa wala usiumize kichwa.
 
Chillah

JF-Expert Member
Oct 12, 2016
5,991
2,000
Mtafute huyu jamaa hutokosa PC...

Ongea nae ni kijana mwenzio ni mwanafunzi mwenzio una weza kutana na fursa ya kufanya nae biashara...

Kuwa huru kuongea nae

IMG-20210723-WA0039.jpg

IMG-20210723-WA0040.jpg

IMG-20210723-WA0038.jpg

IMG-20210723-WA0041.jpg
 
ngotho

Senior Member
Jun 18, 2021
119
225
Soma comment ya Chief-Mkwawa ukielewa hapo basi umenielewa mimi lasivyo tutaangalia mbadala
aaah. sawa mkuu..
halaf kingine... iv short course ya data and programming inawezakana niisome ndani ya miezi miwili hii kabla sijaingia chuoni mwezi wa kumi??
na vip .. gharama yake inaweza kuwa shingapi kwa mfano, mimi ni mkaazi wa hapa dareselam..
 
MC44

JF-Expert Member
Mar 1, 2019
2,110
2,000
Kwa laki 4 hapo ni mtumba tu, huna ujanja.

Angalau upate Intel Gen ya 4, i5 4200m ama i5 4300M.
Vipi zile za alixpress wanazouza 300's?
TZS 363,817.00 34%OFF | Newest Portable 14 Inch Laptop Intel four core CPU N3350 2.4Ghz Ram 6GB+ Rom 64GB High Definition Computers Window 10 Notebook
 
mathsjery

JF-Expert Member
Sep 26, 2015
1,969
2,000
aaah. sawa mkuu..
halaf kingine... iv short course ya data and programming inawezakana niisome ndani ya miezi miwili hii kabla sijaingia chuoni mwezi wa kumi??
na vip .. gharama yake inaweza kuwa shingapi kwa mfano, mimi ni mkaazi wa hapa dareselam..
Unahitaji muongozo mzuri kuhusu hilo maana haya uliotaja ni too general kwani unataka usome tu wewe kama wewe au unataka usome ili uende chuo ukiwa unajua baadhi ya vitu?

Kama ni option ya pili lazima ujue course structure ya fani katika chuo hicho kama ni option ya kwanza hapo lazjma ujue unavhotaka kusoma kwenye hiyo data na programming Mfano kwenye data Kuna normal data na complex yaami structured na non structured data kwa lugha raisi ni aina gani ya data course unataka au hizi za kawaida zisizohusjaha programing Kama spreadsheet ? Au Artificial intelligence na machine learning?.

Mimi nachoshauri kwa kuwa huna msingi wowote wa computer nenda first semester hapi ndo utaelewa nini unataka otherwise computer architecture iwe inaeleweka kwa saaa
 
mkuu inakuwa ivii..
kozi niliyojaza mimi ni bachelor of science in information technology pale udzm.. lakini unluckly enough sina basic foundation yoyote ya it.. yaani computer in general.
Ndo nimeona niulize ni sehemu gani naweza kusomasoma ili niweze kujua hata baadhi ya vitu.. mdau mmoja akajitokeza akaniambia et nisome data na programming.. ndo kama ivoo yaani..

kao kama wewe nawe unaweza kunilisha madini kuhusu hilo nitashukuru sana mkuu.. karibu
 
Ulimuuliza chochote kuhusu data na programming akassmaje?
 
mathsjery

JF-Expert Member
Sep 26, 2015
1,969
2,000
amna mkuu.. sikumuuliza deeply..
kama kuna ushauri juu ya hil naomba mkuu..
naomba mwanga kakaangu
Kwa sasa sioni umuhimu wa kutafuta hizo elimu, wewe Subiri uende chuo semester ya kwanza ukiwa makini utaweza make choice nzuri tu na utakuwa na uelewa sasa hivi utakuwa unataguta ujuaji tu ambao utakufelisha au kukupa matokeo yasiyopendeza.

Kule utakutana na wanachuo walioanza certificate na diploma hao ndouongozo wako wewe A so level vinginevyo kama tu umeuliza aina ya pc maana yake hata nilikuambia nenda udemy au lynda katafute course flani utakuwa unakalili tu bila mpangilio maalum labda kama kuna mtu anayeweza kukumenta hapo Daslamu.
 
OllaChuga Oc

JF-Expert Member
Jul 4, 2016
17,150
2,000
Ipo ya kwangu nauza nashida na hiyo pesa nimekwama nina mgonjwa mzee anaumwa. Hivyo karibu.
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom